Kama watu ni wafamilia moja,taasisi moja na itikadi zinazofanana,zipo njia za kutambuana.Moja,kwa njia ya mavazi,pili kwa njia ya mazungumzo yaani lafudhi nk.Lakini kwa humu ndani,hatuwezi kutambuana kwa mavazi wala mazungumzo,kwa hiyo naomba makamanda titambuane humu JF.Kama wewe ni kamanda na unaikubali CHADEMA...naanza na kauli mbiu yetu"peoplesssss" comment by typing Poweeeer! Lumumba Fc a.k.a Magamba hawana nafasi,watawachafua makamanda hatutaki kuchanganyikana na machizi ya Lumumba.Hayo tu makamanda