Tuachane na hayo,Cdm ni nuru ya watanzania,na ktk nuru Giza i.e ccm halina nafasi.Tulianza na Mungu,tunaendelea na Mungu na tutamaliza na Mungu,wao wanawaza ni vipi watamfufua sheikh Yahaya ili awa........(nimeanza kuhisi kidhungudhungu)
CCM iungueeeee!!!
Wauwaji kwa tindikali
Wengine hatuna chama, tupo kitaifa zaidi
Pawaaaaa!!
afu mkimaiza hapa mhamie kule Chit Chat mumchague shansarie kuwa miss chit chat 2013..
msisahau makamanda!!!
pawaaaaaaaa...
Kama watu ni wafamilia moja,taasisi moja na itikadi zinazofanana,zipo njia za kutambuana.Moja,kwa njia ya mavazi,pili kwa njia ya mazungumzo yaani lafudhi nk.Lakini kwa humu ndani,hatuwezi kutambuana kwa mavazi wala mazungumzo,kwa hiyo naomba makamanda titambuane humu JF.Kama wewe ni kamanda na unaikubali CHADEMA...naanza na kauli mbiu yetu"peoplesssss" comment by typing Poweeeer! Lumumba Fc a.k.a Magamba hawana nafasi,watawachafua makamanda hatutaki kuchanganyikana na machizi ya Lumumba.Hayo tu makamanda
Yaani wewe unakuja kujidai hapa paawaaaa, kumbe lengo lako umpigie debe huyo shansarie ​eti!!!, tumekushtukia.
Nchi hii haijapata uhuru... Bado nasubiri Uhuru kamili
..hujui kitu ulichoandika..