Queen Nzinga, kiongozi wa Angola aliyewaoa vijana zaidi ya 80 na kuwaua baada ya kushiriki nao tendo

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
Na DaVinci XV

BE5E8175-5422-4834-8A62-2D96FCE99980.jpeg

Naam

Wakati huko duniani Caesarian section (Kuzaliwa kwa mtoto kwa njia ya upasuaji) inaingia kwenye vitabu ya medical na Midwifery kwa mara ya kwanza na kuweka miongozo na rekodi mbali mbali basi huku Afrika kulikuwa na Vitimbi vya jamii za kiafrika juu ya wakoloni mbalimbali ambao walifanya invasion katika jamii za babu zetu wale wa kale.

Wakati Harvey William mwanasayansi huyu wa kiingereza, anachapisha kitabu chake cha De Motu cordis, ambacho kiliprove mzunguko wa damu kwenye mwili wa binadamu (Blood circulation) na maelezeo kedekede juu Organ inayohusika kwenye uskumaji wa damu mwilini (Moyo) basi huku Afrika kulikuwa na jamii mbali mbali zilizosimama na zilizojijengea mihimili yake kama ile ya Ashanti Kingdom kule kwa mzee Kwame Nkurumah Ghana.

Na wakati huo huo Mtaalamu wa kiitaliano Galileo di vicenzo Galilei akiwaprove wrong wazungu juu ya gunduzi zake (Telescopoc Observetions) kuhusiana Solar system , ikiwemo kuona Mabonde na Vimilima Kule mwezini, Ringi (Pete) inayoizunguka sayari ya Satani, na Miezi ya sayari ya Jupiter ambayo sayari hiyo ina miezi zaidi 90 ambayo inaangaza sayari hiyo.,, Ndio wakati huo huo huku kwetu zanzibar ilikuwa chini ya Utawala wa Sultaan wa Oman , maelfu ya Wazanjibar babu zangu wale walisafirishwa mpaka Arabuni kwenye biashara ya utumwa.

72E18D4D-5908-4C51-9305-791DB8B9A2D8.jpeg

Sio hayo tu huko Africa ya magharibi kulisimama Trans Atlantic Slave Trade na ilishamiri sana, ambapo watumwa wengi Wa Africa Magharibi walipelekwa nchi za Magharibi kufanya kazi za watawala wa kikoloni wa Nchi za Ulaya. Katika mashamba yao huko Amerika.

Mambo haya yote hapo juu yalifanyika katika karne ya 16th na 17th sana sana.

Na kwa yakini nyakati hizo hizo ndizo kule Ndongo (Angola) kulikuwako mwanamke mashuhuri aliyeitwa Nzinga/Njiga Mbande aliongoza kabila la Ambundu la watu wa Jamii ya Ndongo.

Alizaliwa ( 1583) katika family ya Kiufalme Baba yake alikuwa mtawala wa Ndongo.
Nayeye alikuja kutawala baadae baada ya kifo cha kaka yake.

Nzinga Mbande mwanamke huyu ngangari na Madhubuti alianza maisha yake ya kisiasa katika taifa lake ambalo alikuwa mtawala hapo lililoitwa Ndongo (Angola ya sasa) wakati huo ikipigana na uvamizi wa wakoloni wa Kireno.

NZINGA, MAUAJI YA KAKA YAKE NA URITHI WA TAWALA.

35A19B89-D348-4E88-9AC9-0C29B00FE37C.jpeg

Naam balaa la mwadada huyu lilianzia pale kaka yake ambaye alionekana ni dhaifu sana kwa wareno katika utawala wake , baada ya wakoloni wale wa kireno kumtumpa jela.

Nzinga alifika eneo la wakoloni na kusema kwamba wanahitaji uhuru wa mateka wao (Kaka yake nzinga) baada ya hapo wataliacha Eneo la Ngondo chini ya Wakoloni.

Katika mashauri na kikao hicho wakoloni wa kireno , hawakuagiza kiti kwa Ajili ya Mwadada Nzinga kuketi kitu kilichotafsiriwa kama ni Uvunjifu wa Heshima kwa Mtawala huyo wa Jamii ya Waafrika.

Sasa Nzinga akaamuru moja ya watumishi wake , kuinama na kuweka mgongo wake ili yeye aweze kuketi, baada ya mazungumzo inadaiwa kwamba aliigawanya (Chinja) shingo ya mtumishi wake huyo hadharani na kunadi ya kwamba Malkia wa Ngondo hawezi kutumia kiti kimoja mara Mbili baadhi ya Nyaraka zinadai haya.

78B22B05-C9C6-4DED-ADCB-9C41F9E37224.jpeg

Wareno wale waliridhia kumwachia huru kaka yake huyo, ambaye pia historia zinadai baada ya kurudi eneo lao, Nzinga alimuua kaka yake na Mtoto wake , usingizini ili sasa aweze kurithi utawala rasmi. na nyaraka zinaenda mbali zaidi kwamba baada ya kuwauwa ndugu zake hao aliwapasua miili yao na kula mioyo ya ili kunyonya nguvu ya ujasiri, Ushujaa na Utawala iliyo ndani ya ndugu zake hao. Lakini nyaraka nyingine zilidai kwamba kaka yake huyo alijiua mwenyewe.

Baada ya hapo Malikia huyu mtata alihamia kusini na kufanya uvamizi , kwenye kabila la Watu wa Jaga na kuwafanya watumwa na wanajeshi wake kupambana vita dhidi ya Wareno na Tawala nyingine za Afrika ambazo zilionekana kumchokonoa.

NZINGA ,NA STAREHE YAKE YA KUWAOA VIJANA NA KUWAUA BAADA YA KULALA NAO.

A439E03D-FCB9-4393-BAAE-523575976876.jpeg

Wakati naandika makala hii nikakumbuka ile movie maarufu kutoka kiwanda cha kutengeneza filamu (Marvel).

Na movie yao iliyokonga nyoyo za wengi kote duniani iliyopewa jina Black Panther wale walinzi wa kike wa karibu wa T'challa kiongozi wa jamii ile ya WAKANDA , walinzi madhubuti ambao walipambana kwa hali na mali karibu na mfalme wao.

kwa waliotazama movie hii tutakuwa tunaenda sambamba.
BB23E707-236D-4FF6-A120-59772B8EBCE4.jpeg

Lakini pia ikanikumbusha walinzi wa karibu wa aliyekuwa kiongozi wa Libya aliyeuwawa mwaka 2011 Muammar Gadaffi, mabikra makamanda wa kike waliomlinda kwa ukaribu sana.

93587A6C-4072-4CC4-8F4B-288F8EF077F8.jpeg

Basi kijiti hiki nacho kilikuwako huko karne ya 16 katika ardhi ya Ngondo (Angola ya Sasa) tofauti na huko juu hivi sasa kijiti hiki kilikuwako chini ya Mwanadada Malikia Nzinga , inasemwa alikuwa na walinzi wa kariibu wa kike na asilimia kubwa ya majenerali wote wakubwa wa jeshi lake walikuwa ni wa jinsi ya kike ambao walikuwa na mafunzo ya mapigano , mbinu mbali mbali za vita na matumizi ya Silaha ambazo inadaiwa Nzinga ujuzi huu wa mapigano aliupata kwa washirika wake kadhaa wa kireno waliofunza jeshi lake mbinu tofauti tofauti za kivita.

Hivyo kufanya Wanaume kuwa kundi la pili tofauti na ilivyokuwa katika jamii nyingi za Afrika za wakati huo, ambazo wanawake lilikuwa tabaka la pili baada ya wanaume.

Katika nyaraka na masimulizi yenye nguvu sana juu ya mtawala huyu wa jamii hiyo ya kale , amabayo inaeonekana kuwa ya ukweli zaidi kuliko nyingine ni hii ya mtawala kumiliki vijana zaidi 60 ambao aliwaoa na kuwavesha mavazi ya kike. Walijulikana kwa jina la Chibados

Chibados kwa tafsiri ya neno hili ni kundi la wanaume ambao wanamjongeo wakike hivi sasa tungeweza kuwaita mashoga, na ukiunganisha dots ni kama ilivyo hivi sasa Mashoga kuvaa nguo za kike na kujifananisha na wanawake basi pia Nzinga aliwavesha hawa Chibados mavazi ya kike na kuwafanyia urembo wa kike.

Si hilo tu ili kulala na malikia huyo ilibidi hawa vijana (Chibados) wawili ambao yeye aliwageuza kuwa wake zake na kuwavesha mavazi ya kike . Kuchuana vikali (kupambana) mpambano wa kifo atakayemshinda mwenzie basi ahakikishe ameuwa ili aweze kupata bahati ya kushiriki tendo katika kitanda cha malikia huyo, na Nzinga atajihusisha nae katika mapenzi katika usiku huo mmoja tu, lakini ajabu ushindi huo hauna faida kwa huyo kijana ni starehe atakayopata mshindi kubahatika kujamiiana na malikia huyo halafu kwa usiku mmoja kukikucha kifo kinakuwa ndio malipo yake.

Dai hili limeonekana kuwa na mashiko sana huku nyaraka nyingi zikidai ya kwamba malikia huyu alipata kulala na Zaidi ya vijana 80 ambao baada ya kushiriki nao tendo , kifo ndio ilikuwa malipo yao,huku baadhi ya jamii nyingi za wakati huo zikipinga dai hili.

Na tabia yake hii aliifanya hadi alipofikisha umri wa Ajuza (75) na hapo ndipo akamuoa kijana mdogo sana , na kutulia nae.

Nzinga aliendelea kua mwiba mkali sana kwa wakoloni wa kireno hadi ilipofikia hatua ya kuweka mazungumzo ya Amaani

UONGONZI WA NZINGA

96D706F9-9863-4575-AE8B-3AEB325BC649.jpeg

Bidada huyu alipokea kijiti kutoka kwa kaka yake baada ya kaka yake kushindwa kuhimili mikiki ya Wareno
Hii ilikuwa mwaka 1624

Na ndio wakati huu biashara ya Utumwa ilishamiri mno huku watumwa weusi wa ukanda huo wakipelekwa zaidi nchi za brazil ambako koloni la Mreno lili dominate hapo na Maeneo jirani.

Lakini tawala hii ya Malikia nzinga ilikuwa ikipokea mashambulizi kutoka kwa wareno na tawala nyingine za kiafrika.

Mwanamama huyu akatumia akili ya ziada baada ya kufanya muunganiko na koloni la kireno ili kupata nguvu zaidi na hii ilimsaidia vilivyo.

Jeshi lake lilipata ujuzi wa hali ya juu wa matumizi ya silaha kama mikuki na Mapanga.

Hivyo kupelekea kuzishinda jamii nyingi sana za kiafrika ambazo zilikuwa adui mkubwa wa Jamii ya Ngondo.

Mwaka 1626 wareno walisaliti tawala ya Nzinga na kupelekea dada huyu kukimbia eneo na kuelekea eneo la magharibi 'Matamba'

Na hapa akajitahidi kuteka sehemu mbalimbali na kutoa mafunzo ya kijeshi na mbinu za vita ili kuimarisha jamii yake na tawala yake tena.

ili kupambana na Koloni la kireno.

Tofauti na matarajio nzinga alishindwa dhidi ya mkoloni hivyo akabadili gia akaacha kupambana na mkoloni na kuwekeza nguvu zake katika kuiifanya Matamba kuwa Eneo lenye nguvu ya kibiashara hili lilifanikiwa.

643448D7-299D-4B23-9B1F-68BDEB75FECD.jpeg

Nzinga alibatizwa na kuwa mkristo kabla ya kifo chake na kupewa jina La Ana Nzinga., na alifariki akiwa na miaka 80. Kifo cha kawaida.

Hivi sasa karibia maeneo kadhaa nchini Angola kuna Sanamu zake Za utambulisho na heshima

Alipata headlines nyingi sana ulaya
Baada ya chapisho la Jean Louis Castilhon’s colorful “biography,” Zingha, Reine d’Angola, in Paris.(1769)

Huyo ndio Ana Nzinga mtawala wa kike wa Angola aliyejizolea umarufu juu ya misimamo yake.
UMEJIFUNZA NINI??

Na DaVinci XV
 
Na DaVinci XV

View attachment 2693859

Naam

Wakati huko duniani Caesarian section (Kuzaliwa kwa mtoto kwa njia ya upasuaji) inaingia kwenye vitabu ya medical na Midwifery kwa mara ya kwanza na kuweka miongozo na rekodi mbali mbali basi huku Afrika kulikuwa na Vitimbi vya jamii za kiafrika juu ya wakoloni mbalimbali ambao walifanya invasion katika jamii za babu zetu wale wa kale.

Wakati Harvey William mwanasayansi huyu wa kiingereza, anachapisha kitabu chake cha De Motu cordis, ambacho kiliprove mzunguko wa damu kwenye mwili wa binadamu (Blood circulation) na maelezeo kedekede juu Organ inayohusika kwenye uskumaji wa damu mwilini (Moyo) basi huku Afrika kulikuwa na jamii mbali mbali zilizosimama na zilizojijengea mihimili yake kama ile ya Ashanti Kingdom kule kwa mzee Kwame Nkurumah Ghana.

Na wakati huo huo Mtaalamu wa kiitaliano Galileo di vicenzo Galilei akiwaprove wrong wazungu juu ya gunduzi zake (Telescopoc Observetions) kuhusiana Solar system , ikiwemo kuona Mabonde na Vimilima Kule mwezini, Ringi (Pete) inayoizunguka sayari ya Satani, na Miezi ya sayari ya Jupiter ambayo sayari hiyo ina miezi zaidi 90 ambayo inaangaza sayari hiyo.,, Ndio wakati huo huo huku kwetu zanzibar ilikuwa chini ya Utawala wa Sultaan wa Oman , maelfu ya Wazanjibar babu zangu wale walisafirishwa mpaka Arabuni kwenye biashara ya utumwa.

View attachment 2693860

Sio hayo tu huko Africa ya magharibi kulisimama Trans Atlantic Slave Trade na ilishamiri sana, ambapo watumwa wengi Wa Africa Magharibi walipelekwa nchi za Magharibi kufanya kazi za watawala wa kikoloni wa Nchi za Ulaya. Katika mashamba yao huko Amerika.

Mambo haya yote hapo juu yalifanyika katika karne ya 16th na 17th sana sana.

Na kwa yakini nyakati hizo hizo ndizo kule Ndongo (Angola) kulikuwako mwanamke mashuhuri aliyeitwa Nzinga/Njiga Mbande aliongoza kabila la Ambundu la watu wa Jamii ya Ndongo.

Alizaliwa ( 1583) katika family ya Kiufalme Baba yake alikuwa mtawala wa Ndongo.
Nayeye alikuja kutawala baadae baada ya kifo cha kaka yake.

Nzinga Mbande mwanamke huyu ngangari na Madhubuti alianza maisha yake ya kisiasa katika taifa lake ambalo alikuwa mtawala hapo lililoitwa Ndongo (Angola ya sasa) wakati huo ikipigana na uvamizi wa wakoloni wa Kireno.

NZINGA, MAUAJI YA KAKA YAKE NA URITHI WA TAWALA.

View attachment 2693862

Naam balaa la mwadada huyu lilianzia pale kaka yake ambaye alionekana ni dhaifu sana kwa wareno katika utawala wake , baada ya wakoloni wale wa kireno kumtumpa jela.

Nzinga alifika eneo la wakoloni na kusema kwamba wanahitaji uhuru wa mateka wao (Kaka yake nzinga) baada ya hapo wataliacha Eneo la Ngondo chini ya Wakoloni.

Katika mashauri na kikao hicho wakoloni wa kireno , hawakuagiza kiti kwa Ajili ya Mwadada Nzinga kuketi kitu kilichotafsiriwa kama ni Uvunjifu wa Heshima kwa Mtawala huyo wa Jamii ya Waafrika.

Sasa Nzinga akaamuru moja ya watumishi wake , kuinama na kuweka mgongo wake ili yeye aweze kuketi, baada ya mazungumzo inadaiwa kwamba aliigawanya (Chinja) shingo ya mtumishi wake huyo hadharani na kunadi ya kwamba Malkia wa Ngondo hawezi kutumia kiti kimoja mara Mbili baadhi ya Nyaraka zinadai haya.

View attachment 2693863

Wareno wale waliridhia kumwachia huru kaka yake huyo, ambaye pia historia zinadai baada ya kurudi eneo lao, Nzinga alimuua kaka yake na Mtoto wake , usingizini ili sasa aweze kurithi utawala rasmi. na nyaraka zinaenda mbali zaidi kwamba baada ya kuwauwa ndugu zake hao aliwapasua miili yao na kula mioyo ya ili kunyonya nguvu ya ujasiri, Ushujaa na Utawala iliyo ndani ya ndugu zake hao. Lakini nyaraka nyingine zilidai kwamba kaka yake huyo alijiua mwenyewe.

Baada ya hapo Malikia huyu mtata alihamia kusini na kufanya uvamizi , kwenye kabila la Watu wa Jaga na kuwafanya watumwa na wanajeshi wake kupambana vita dhidi ya Wareno na Tawala nyingine za Afrika ambazo zilionekana kumchokonoa.

NZINGA ,NA STAREHE YAKE YA KUWAOA VIJANA NA KUWAUA BAADA YA KULALA NAO.

View attachment 2693864

Wakati naandika makala hii nikakumbuka ile movie maarufu kutoka kiwanda cha kutengeneza filamu (Marvel). Na movie yao iliyokonga nyoyo za wengi kote duniani iliyopewa jina Black Panther wale walinzi wa kike wa karibu wa T'challa kiongozi wa jamii ile ya WAKANDA , walinzi madhubuti ambao walipambana kwa hali na mali karibu na mfalme wao.
kwa waliotazama movie hii tutakuwa tunaenda sambamba.
View attachment 2693865

Lakini pia ikanikumbusha walinzi wa karibu wa aliyekuwa kiongozi wa Libya aliyeuwawa mwaka 2011 Muammar Gadaffi, mabikra makamanda wa kike waliomlinda kwa ukaribu sana.
View attachment 2693866

Basi kijiti hiki nacho kilikuwako huko karne ya 16 katika ardhi ya Ngondo (Angola ya Sasa) tofauti na huko juu hivi sasa kijiti hiki kilikuwako chini ya Mwanadada Malikia Nzinga , inasemwa alikuwa na walinzi wa kariibu wa kike na asilimia kubwa ya majenerali wote wakubwa wa jeshi lake walikuwa ni wa jinsi ya kike ambao walikuwa na mafunzo ya mapigano , mbinu mbali mbali za vita na matumizi ya Silaha ambazo inadaiwa Nzinga ujuzi huu wa mapigano aliupata kwa washirika wake kadhaa wa kireno waliofunza jeshi lake mbinu tofauti tofauti za kivita.

Hivyo kufanya Wanaume kuwa kundi la pili tofauti na ilivyokuwa katika jamii nyingi za Afrika za wakati huo, ambazo wanawake lilikuwa tabaka la pili baada ya wanaume.

Katika nyaraka na masimulizi yenye nguvu sana juu ya mtawala huyu wa jamii hiyo ya kale , amabayo inaeonekana kuwa ya ukweli zaidi kuliko nyingine ni hii ya mtawala kumiliki vijana zaidi 60 ambao aliwaoa na kuwavesha mavazi ya kike. Walijulikana kwa jina la Chibados

Chibados kwa tafsiri ya neno hili ni kundi la wanaume ambao wanamjongeo wakike hivi sasa tungeweza kuwaita mashoga, na ukiunganisha dots ni kama ilivyo hivi sasa Mashoga kuvaa nguo za kike na kujifananisha na wanawake basi pia Nzinga aliwavesha hawa Chibados mavazi ya kike na kuwafanyia urembo wa kike.

Si hilo tu ili kulala na malikia huyo ilibidi hawa vijana (Chibados) wawili ambao yeye aliwageuza kuwa wake zake na kuwavesha mavazi ya kike . Kuchuana vikali (kupambana) mpambano wa kifo atakayemshinda mwenzie basi ahakikishe ameuwa ili aweze kupata bahati ya kushiriki tendo katika kitanda cha malikia huyo, na Nzinga atajihusisha nae katika mapenzi katika usiku huo mmoja tu, lakini ajabu ushindi huo hauna faida kwa huyo kijana ni starehe atakayopata mshindi kubahatika kujamiiana na malikia huyo halafu kwa usiku mmoja kukikucha kifo kinakuwa ndio malipo yake.

Dai hili limeonekana kuwa na mashiko sana huku nyaraka nyingi zikidai ya kwamba malikia huyu alipata kulala na Zaidi ya vijana 80 ambao baada ya kushiriki nao tendo , kifo ndio ilikuwa malipo yao,huku baadhi ya jamii nyingi za wakati huo zikipinga dai hili.
Na tabia yake hii aliifanya hadi alipofikisha umri wa Ajuza (75) na hapo ndipo akamuoa kijana mdogo sana , na kutulia nae.

Nzinga aliendelea kua mwiba mkali sana kwa wakoloni wa kireno hadi ilipofikia hatua ya kuweka mazungumzo ya Amaani

UONGONZI WA NZINGA

View attachment 2693867
Bidada huyu alipokea kijiti kutoka kwa kaka yake baada ya kaka yake kushindwa kuhimili mikiki ya Wareno
Hii ilikuwa mwaka 1624

Na ndio wakati huu biashara ya Utumwa ilishamiri mno huku watumwa weusi wa ukanda huo wakipelekwa zaidi nchi za brazil ambako koloni la Mreno lili dominate hapo na Maeneo jirani.

Lakini tawala hii ya Malikia nzinga ilikuwa ikipokea mashambulizi kutoka kwa wareno na tawala nyingine za kiafrika.
Mwanamama huyu akatumia akili ya ziada baada ya kufanya muunganiko na koloni la kireno ili kupata nguvu zaidi na hii ilimsaidia vilivyo.
Jeshi lake lilipata ujuzi wa hali ya juu wa matumizi ya silaha kama mikuki na Mapanga.
Hivyo kupelekea kuzishinda jamii nyingi sana za kiafrika ambazo zilikuwa adui mkubwa wa Jamii ya Ngondo.

Mwaka 1926 wareno walisaliti tawala ya Nzinga na kupelekea dada huyu kukimbia eneo na kuelekea eneo la magharibi 'Matamba'
Na hapa akajitahidi kuteka sehemu mbalimbali na kutoa mafunzo ya kijeshi na mbinu za vita ili kuimarisha jamii yake na tawala yake tena.
ili kupambana na Koloni la kireno.

Tofauti na matarajio nzinga alishindwa dhidi ya mkoloni hivyo akabadili gia akaacha kupambana na mkoloni na kuwekeza nguvu zake katika kuiifanya Matamba kuwa Eneo lenye nguvu ya kibiashara hili lilifanikiwa.
View attachment 2693868

Nzinga alibatizwa na kuwa mkristo kabla ya kifo chake na kupewa jina La Ana Nzinga., na alifariki akiwa na miaka 80. Kifo cha kawaida.

Hivi sasa karibia maeneo kadhaa nchini Angola kuna Sanamu zake Za utambulisho na heshima

Alipata headlines nyingi sana ulaya
Baada ya chapisho la Jean Louis Castilhon’s colorful “biography,” Zingha, Reine d’Angola, in Paris.(1769)

Huyo ndio Ana Nzinga mtawala wa kike wa Angola aliyejizolea umarufu juu ya misimamo yake.
UMEJIFUNZA NINI??

Na DaVinci XV
Alikuwa Shemale huyo😅😅
 
Hapo dhana kuwageuza wanaume wake zake sio sahihi, ni kwamba alijipatia huduma alipohitaji.... walau angeishi nao akiwalea na kuwahudumia kwa muda ili wamtafune [if that] ingeweza kudhaniwa kuwa aliwaoa.

Lakini bado hiyo haitoshi kumfanya mwanamme kuwa mke, ni yeye ndiye alihitaji mjegejo... simple.
 
Hao vijana wanaodaiwa kuolewa wakiveshwa mavazi ya kike, na kwamba walikuwa na miondoko/mitindo ya kike [ingawa hiyo post ya Mshana Jr hapo inasomeka 'able-bodied men' ambapo kwa tafsiri ni majitu yaliyoshiba]... walikuwa wanaletwa siku wakihitajika ama walikuwa tayari kwenye himaya yake?

Yaani alikuwa anawinda msituni kuchagua ama alikuwa na zizi amewafuga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom