FTP
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 514
- 240
sasa kimekuleta nini huku kama sio umbeya,kwa nini mnakuwa wagumu wa kuelewa? Hapa wanahitajika makamanda,basi ungetype poweer hata kinafiki basi sio kutuletea DP sijui ndio kitu gani,chama hakina hata mbunge mmoja na wewe unajiita mwanachama? Aacheni kujiaibisha
Acha kutapika wewe! kadi yako ni no ngapi? ondoa uchuro!