Borat69
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,522
- 1,761
siyo wote wengine hatuna chama. chama chetu ni HELA......!
Naunga mkono Hoja.
kwa hiyo umeletwa nini huku?
Pelekeni jukwaa husika (Jukwaa la Siasa). Sio kila mtu ni mwana siasa hapa JF na ndio maana likawekwa Jukwaa husika kwa watu husika.