Tutambue idadi ya makamanda humu JF

Tutambue idadi ya makamanda humu JF

hakiiiiiiiiii sawa kwa woteeeeeeeeee.powerrrrrrrrr.ccm oyeeeeeeeeeeeeee.
 
Kama watu ni wafamilia moja,taasisi moja na itikadi zinazofanana,zipo njia za kutambuana.Moja,kwa njia ya mavazi,pili kwa njia ya mazungumzo yaani lafudhi nk.Lakini kwa humu ndani,hatuwezi kutambuana kwa mavazi wala mazungumzo,kwa hiyo naomba makamanda titambuane humu JF.Kama wewe ni kamanda na unaikubali CHADEMA...naanza na kauli mbiu yetu"peoplesssss" comment by typing Poweeeer! Lumumba Fc a.k.a Magamba hawana nafasi,watawachafua makamanda hatutaki kuchanganyikana na machizi ya Lumumba.Hayo tu makamanda
Kamanda! JF siyo mali ya Chadema.
 
Kamanda! JF siyo mali ya Chadema.

na wewe siku hizi ni chizi wa Lumumba,ndio maana nimesema tutambuane mimi sijasema Jf ni mali ya chadema,kama unaona vp anzisha na wewe thread ya vichaa wenzio wa buku 7 Lumumba,mijitu mingine inakera kweli.kama sio mali ya chadema umeletwa nini huku?
 
Shemeji taratibu basi.
Japo kichama tuko itikadi tofauti, ila kamanda mwenzangu hajasema Jf ni mali ya Chadema...

Bora umenisaidia,ccm ina vijana vichaa,huwa hawaelewi thread inasema nini,utashangaa lingine litakuja kutaja Dr.Slaa wewe subiri tu utaona.
 
Mi ni mmoja wao,mwenye tindikali aje aone ntakachomfanya!
 
Kama watu ni wafamilia moja,taasisi moja na itikadi zinazofanana,zipo njia za kutambuana.Moja,kwa njia ya mavazi,pili kwa njia ya mazungumzo yaani lafudhi nk.Lakini kwa humu ndani,hatuwezi kutambuana kwa mavazi wala mazungumzo,kwa hiyo naomba makamanda titambuane humu JF.Kama wewe ni kamanda na unaikubali CHADEMA...naanza na kauli mbiu yetu"peoplesssss" comment by typing Poweeeer! Lumumba Fc a.k.a Magamba hawana nafasi,watawachafua makamanda hatutaki kuchanganyikana na machizi ya Lumumba.Hayo tu makamanda
kidumu chama tawala,zidumu fikra sahii za mwenyekiti
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
POWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEER:welcome:
 
Back
Top Bottom