Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 44,073
SawaDaah 😃
Mbona hamna tatizo, hii yote ni kwa mujibu wa katiba kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake. Acha uongo wewe
Nimeuliza tu
Usiite muongo
SawaDaah 😃
Mbona hamna tatizo, hii yote ni kwa mujibu wa katiba kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake. Acha uongo wewe
Mi niliuliza tu swali tu jmnKutishana
Hakuna atakae ishi milele
Hakuna shida maa it's okayMi niliuliza tu swali tu jmn
Hatuwajui, hatuna ushahidi usiotia shaka wa nani anahusika na nani ni mmoja wetu, usaliti ni mkubwa baina yetu.Hao wanaoteka na kuua wenzao kwanini tusiwateke na sisi?
Tufungue uelewa kwa jamii juu ya yanayoendelea.Inasikitisha sana na kuogopesha
Sasa tufanye nini?😢
Na unafiki pia unaturudisha nyumaHatuwajui, hatuna ushahidi usiotia shaka wa nani anahusika na nani ni mmoja wetu, usaliti ni mkubwa baina yetu.
Naunga mkono hoja yakoTufungue uelewa kwa jamii juu ya yanayoendelea.
Wenye uwezo wa kupaza sauti mitandaoni tuwape support hata kwa comments, likes na kushare.
Tusiikwepe siasa mtaani, jadili na huyo alie karibu yako kuhusu mwelekeo wa nchi na ni yapi matamanio yake.
Tusiendekeze wale vijana wa "hizo siasa sio mambo zangu" tuwavute wawe pamoja nasi.
Wakifika bei ni rahisi kununulika.Na unafiki pia unaturudisha nyuma
Vishu nguvu ya pesa 😢Wakifika bei ni rahisi kununulika.
Hata wale tuliiona ni vijana machachali, wakemea uovu madhubuti, aloo wamenunuliwa mchana kweupe.
Naomba ni tag kwenye huo uziKuna uzi niliandika niliuliza JE! TUMEAMUA KUMFUGA HUYU CHATU NDANI YA NYUMBA YETU?
Kwa maana hiyo CCM ndiyo final say?Kwakweli tuseme tuu ukweli mpaka sasa karata ya mwisho ameishikilia CCM, CCM wakiamua kuleta mezani mchakato wa katiba mpya/rasimu pendekezwa ya Warioba pia wakaamua kubadili mfumo wa uchaguzi bhasi nchi yetu itarudi katika hali ya usalama ila nje ya hapo sioni njia nyingine ya kututoa hapa kwenye huu mkwamo.
Naunga mkono hojaKwakifupi tumefika hapa tulipo kwasababu ya chama Cha CCM kulea watu ambao wameweka mbele maslahi yao binafsi, Hawa watu wameamua kuibaghaza hii nchi, wameamua kuifanya nchi kama mali Yao, wamejimilikisha mpaka uhai wa watanzania. Hawa watu hawawezi kutoka kwa namna ya kuongea tuu na njia zilizobakia mpaka sasa kwa hawa watu kuondoka ni hizi -:
1. Waamue wenyewe kupunguza maslahi yao na waipe kipaumbele nchi ya Tanzania.
Hii kitu inawezekana ila ni vigumu sana kufanyika kutokana na madudu waliofanya, Wanahisi kwamba vyovyote watakavyofanya kwa kutanguliza maslahi ya watanzania bhasi wataweka maslahi yao hatarini pia maisha yao na familia zao vinaweza kuwa hatarini pia.
Hapa tusubiri na kuona2. Tusubiri shinikizo la kimataifa
Kutokana na yanayoendelea, kesi ya T.A.L pia mauaji ya October 29, utekaji na msukosuko uliopo kati ya TEC na serikali bhasi tunaweza kutegemea msukumo mkubwa wa kimataifa ambao unaweza kuwafanya hawa mabwana wakanyoosha mikono, Japokuwa bado ni vigumu sana ila nalo linawezekana.
Ikiwa kweli Msoga, RA, na wenzao watapigwa vikwazo vizuri kabisa bhasi naamini tutaona serikali ya CCM ikinyoosha mikono kama alivyonyoosha J.K.Nyerere baada ya kupigwa vikwazo kule IMF, kuua bei ya katani, na hata ule mgodi wa almasi pale Mwadui kuwekewa vikwazo vya vipuli, TANCUT ikafa pale Iringa, kiwanda Cha nyama Tanganyika Peakers na mengine mengi. Haya ndio yalimfanya Nyerere akang'atuka hivyo hata CCM wakishikwa vizuri wanaweza kung'atuka pia.
Usisahau kunipa bunduki moja 😞😅3. Umwagaji damu tena.
Hii ndio option kubwa iliopo mpaka Sasa, Kama hayo mambo mawili hapo juu yatashindikana bhasi tutarajie tuu damu kumwagika.
Sisemi hili kwamba nafurahia mambo ya umwagaji damu hapana, nasema hili kwasababu mambo yaliyosababisha umwagikaji wa damu October 29 bado yapo na yanaendelea kufanyika vilevile hivyo pia tutegemee matokeo yaleyale.
Inshort ni kama vyombo vya ulinzi na usalama vimeshapoteza muelekeo, Yaani usalama wa Taifa hata sijui wanafanya kazi Gani??? {Unless otherwise kama huu mchezo wa Nchimbi wameucheza wao, bhasi nawapa big up inawezekana mbele kukawa na mwanga, yule Ndejembi ni mtoto bado it will be easy kuruka nae}
Lakini kama watamuacha Msoga, Kizimkazi na RA waendelee na hii ngoma mpaka 2030 bhasi tutegemee kuja kumwaga damu zaidi ya October 29.
Binafsi tukifika 2030 mambo hayaeleweki bhasi nitachangia bunduki 50 na risasi alfu tatu(3,000) kwaajili ya wananchi. Sikupendezwa kabisa na vijana kufa namna ile💔💔💔😡
Labda mambo ya Asali mkuu !Mwisho niseme tuu AMANI HAIJI ILA KWA NCHA YA UPANGA.
USALAMA WA TAIFA MLIAPA KUILINDA HII NCHI, SASA KITU GANI KIMEKUA KIGUMU KWENU???
Sorry ni keyboard ime predict tu hapa nilikuwa namaanisha Acha uoga, mbona uongo hapo haingii kabisaSawa
Nimeuliza tu
Usiite muongo
Umenyooka sana 🤝System ya nchi yetu iko rigged(same as uganda), ni vigumu kufanya demonstration au kukosoa ili kupata mabadiliko, on my view option iliyobaki ni infilitration.
Naomba ni tag kwenye huo uzi
Kwa maana hiyo CCM ndiyo final say?
Unaona ni sawa hii watu wachache kua wasemaji wa mwisho dhidi ya wengi?
Naunga mkono hoja
Wanahofia madudu yao kuanikwa
Kwahiyo ni ngumu mno
Hapa tusubiri na kuona
Usisahau kunipa bunduki moja 😞😅
Labda mambo ya Asali mkuu !
Pamoja na yote asante sana kwa comment yako yenye madini na iliyoshi
Haingii hapo 🤣🤣🤣Bado unachapia 😊😃
Naunga mkono hoja mkuu umeongea vyema sana 🙏🙏🔥1. Hapana mkuu CCM sio final say ila kwasasa ndio wameshikilia mpini wa kisu na wananchi tumeshika kwenye makali. Ndio maana nimesema ikiwa tunataka usalama bhasi CCM akubali kurudisha kisu alani kwa kuruhusu mchakato wa katiba mpya, mageuzi ya tume ya uchaguzi na kuacha ujinga wa kuteka watu na kuua.
Kwanza wao sio wasemaji wa wananchi, wao wamepoka madaraka ya wananchi na ndio maana kwasasa hawataki mtu yoyote kuzungumza kinyume chao, hata ukikohoa tuu watakuhisi unaguna. Hiyo ni dhahiri shahiri kwamba wao hawana uhalali wa kuwa wasemaji wa wananchi bali wamepoka madaraka ya wananchi.
2. Wanahofia sana madudu yao kuwekewa hadharani, Sasa shida inapokuja ni kwamba kwasasa wanazidi kukosa uaminifu kati yao hivyo wakati sahihi ukifika mambo yatakua hadharani tuu.
Nakumbuka kipindi Polepole amepewa Uenezi pale CCM akijiita KICHECHE, Aisee yule jamaa alikua arrogant sana lakini mambo yalipobadilika akili ilimrudia hivyo naamini hakuna marefu yasiyo na nchi. Ushirika wa wachawi haudumu, Watakuja kusalitiana tuu.
Fire 🔥 watu wowoooo 💪😆3. Mkuu nikiona dalili tuu ni lazima nikutafute, nikupe chuma na risasi za kutosha bila kusahau shuka la bullet proof 😂😂😂. Maada za kujenga ni lazima ziendelee hapa JF hata baada ya kuikomboa nchi.
Exactly maarifa kidogo taifa linaangamia4. Nafikiri usalama hawakatazwi kulamba asali as long as maslahi ya Taifa yapo mbele. Hofu yangu ni kwamba wale Uvccm ndio wamepewa kipaumbele pale white hausi.
Hao Uvccm ni very arrogant, uwezo wao ni mdogo sana, I can say they are shit. Yaani wanapewa nafasi kwasababu wao ni wakereketwa wa chama Cha kijani. Hili linaumiza sana na kuna mahali nilishawahi kuandika kwamba hizi takataka zinatakiwa kuwa ELIMINATED TOTALLY
Hapa umeniacha5. Mwalemi sana🙏🙏🙏
Uliwahi kusema ni mvivu kuandika nakumbuka 😅Huwa napendezwa na maada zako ndio maana hata uvivu wa kuandika huwa unaniondoka.
Shukran kakaAsante kwa maada nzuri barikiwa sana mrembo wewe.
Sifuti 😅Haingii hapo 🤣🤣🤣
Na weww futa hii reply kuweka rekodi sawa
Mkuu hutaki iingie kwenye answadi😂😂😂🙌Haingii hapo 🤣🤣🤣
Na weww futa hii reply kuweka rekodi sawa
Sifuti 😅