Tutalalamika mpaka lini?

Tutalalamika mpaka lini?

Mwaka 2000 baada ya uchaguzi kukatokea machafuko makubwa sana Zanzibar, wananchi waligomea matokeo ambayo dhahìri kabisa Maalim Seif aliporwa ushindi

Yale maandamano yalifanya vikosi kutoka Tanganyika kupelekwa kutuliza ghasia ambazo ama kwa hakika watu wengi sana walipotezwa.

Toka 2000 mpaka leo wazanzibari wamekuwa wapole sana, hata wakiporwa ushindi wanakaa kimya.

Fast forward 2025 October, mambo yamekuwa kama kule unguja. Hii maana yake nini, Tanzania kama haitakuwa na wanasiasa wenye utashi wa kukaa mezani na kuweka mambo sawa, tutaongozwa kidikteta miaka mingi ijayo, nasema kidiktrta kwa sababu katiba ya 1977 ambayo kimsingi imezeeka, haiendani na maisha ya sasa, inakumbatiwa na watawala kwa sababu tu inawapa favours nyingi kuendelea kutawala.

Raisi ambaye ni mwenyekiti wa chama hawezi kuwa ndio anateua mwenyekiti wa INEC, wakurungenzi wa kusimamia uchaguzi, watendaji wa serikali za kata/mitaa/vijiji halafu useme kuna uchaguzi, hakuna fair grounds hata kidogo.

What to do, watch!!
Hapa umeongea vizuri na hakuna cha nyongeza..

Inapaswa either wajiuzuru or apatikane kiongozi anaye jali welfare ya wananchi
 
Naunga mkono hoja mkuu umeongea vyema sana 🙏🙏🔥

Fire 🔥 watu wowoooo 💪😆
Watu weewe😂😂😂😂, lazima tupate nchi tunayoipenda.

Exactly maarifa kidogo taifa linaangamia
Kuna namna inabidi tuondoe vilaza kwenye hizi taasisi zetu.

Hapa umeniacha
Mwalemi ni sawa na kusema Olakoze au wavenja sana.

Maana yake ni ASANTE, mwalemi ni kihehe, Olakoze ni kiha/waha na wavenja ni kisukuma.

Huwa napenda tuu lugha za makabila yetu.

Uliwahi kusema ni mvivu kuandika nakumbuka 😅
Yaani huwa natamani niandike kitabu ila uvivu ndio unanikosesha hela. Lakini nikiendelea kukoment hivi utaondoka wenyewe.

Shukran kaka
Asante kwa mchango wako makini 🙏
Asante pia🙏♥️
Tuko pamoja kulijenga Taifa letu.
 
Watu weewe😂😂😂😂, lazima tupate nchi tunayoipenda.
Manifest
Kuna namna inabidi tuondoe vilaza kwenye hizi taasisi zetu.
Exactly bro
Mwalemi ni sawa na kusema Olakoze au wavenja sana.

Maana yake ni ASANTE, mwalemi ni kihehe, Olakoze ni kiha/waha na wavenja ni kisukuma.

Huwa napenda tuu lugha za makabila yetu.
Wewe upo wap hapo?
Yaani huwa natamani niandike kitabu ila uvivu ndio unanikosesha hela. Lakini nikiendelea kukoment hivi utaondoka wenyewe.
Hashtag #tokomeza uvivu
Asante pia🙏♥️
Tuko pamoja kulijenga Taifa letu.
🧡
 
💪💪💪🤝
Exactly bro
💯🤝
Wewe upo wap hapo?
Mwalemi

Ila Nyerere alikataza😂😂😂

Hashtag #tokomeza uvivu

🧡
Ndio uniseme tena kwa reli 💔😡.

Ila asante sana, thread zako nyingi huwa zinanivutia na kunifanya niandike. Am in JF since 2012 ila sijawahi kureply as I do.

Hata social media zingine ndio kabisa akaunti zangu ni kama mfu😆😆😆.

Nikiandika kitabu nitakuweka kwenye DIBAJI🤑
 
💪💪💪🤝

💯🤝

Mwalemi

Ila Nyerere alikataza😂😂😂

Ndio uniseme tena kwa reli 💔😡.
Meza dawa acha kudeka hapa 😅
Ila asante sana, thread zako nyingi huwa zinanivutia na kunifanya niandike. Am in JF since 2012 ila sijawahi kureply as I do.

Hata social media zingine ndio kabisa akaunti zangu ni kama mfu😆😆😆.
Shukran mkuu karibu tena kwenye mijadala mingine zaidi 🤝
Nikiandika kitabu nitakuweka kwenye DIBAJI🤑
🫡🫡 bien
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom