ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,645
- 43,730
- Thread starter
- #201
Sawa mahi 🤗Maombi muhimu my dia....nchi imefikia pabaya...hayo maombi yataamsha ari na ujasiri....
Asante kwa maoni yako na karibu tena
Sawa mahi 🤗Maombi muhimu my dia....nchi imefikia pabaya...hayo maombi yataamsha ari na ujasiri....
Mambo ya wananchi yapi? Wananchi wameuliwa ndugu zao zaidi ya 500 wengine kila leo kutekwa. Wao hawahitaji haki za ndugu zao?Ili kufanikiwa lazima mambo hayo yawe ni mahitaji ya wananchi sio wanasiasa ,
Mvumilivu akichoka anakuwa na roho ya kinyama sana na hajali lolote litakalotokea mbele yake. watanzania wakichoka kuvumilia watawala watatamani kukimbia nchiSawa mkuu ngoja tuone
Kuuliwa tu ndiyo hoja , yaani kama sio kufanya uasi unafikiria wangeuliwa , ona sasa unaenda kufanya vurugu unakufa kwa kufuata mkumbo ....Kule USA watu kila mwaka zaid ya laki tano wanapotea , mbona hawafanyi uasi .Mambo ya wananchi yapi? Wananchi wameuliwa ndugu zao zaidi ya 500 wengine kila leo kutekwa. Wao hawahitaji haki za ndugu zao?
Sawa mkuu ngoja tuoneMvumilivu akichoka anakuwa na roho ya kinyama sana na hajali lolote litakalotokea mbele yake. watanzania wakichoka kuvumilia watawala watatamani kukimbia nchi