Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 46,511
- 38,060
ok.Ukikosa hoja unakimbilia kusema hivi
Asante kwa maoni

ok.Ukikosa hoja unakimbilia kusema hivi
Asante kwa maoni

Si kosa kurudisha mpira na kujipanga upya hapa umenenaHata kwenye mpira mambo yanapokuwa magumu si kosa kurudisha mpira kwa kipa na kujipanga upya.
Hatujui kwa hakikaKwamba mpaka sasa tunalalamika hatuji tunaka nini?
Toto bandidu unavyota linatakaInahitaji nguvu ya pekee kwa hili toto tundu, kiboko kimeshadunda
Asante kwa maoni mkuu karibu tenaAchaneni na hizo habari tafuteni hela na my enjoy maisha..katiba haikunyimi pombe haikunyimi kucheza haikunyimi mapenzi sasa ya nini uhangaike nayo kwani wewe ni mwanasiasa?
Una ulinzi ndugu maana hapa ndo tatizo lilipo???🥲Morning wana JF
Watanzania tumekuwa tukilalamika kila siku kuhusu uongozi na mambo mbalimbali ambayo hatupendezwi nayo
1. Tumeongea sana tukiomba maboresho ya Katiba
2. Tumezungumza sana kuhusu kupitiwa upya kwa suala la Muungano
3. Tumezungumza kuhusu Mahakama na utendaji kazi wake
(Mpaka sasa tunaona mwenendo wa kesi ya mwenyekiti wa chadema TL inavyoenda huku watu wakiwa na mashaka makubwa )
Na mengine mengi sana
Lakini mpaka sasa hakuna matokeo chanya ya kutosha, licha ya kwamba tulipo leo sio tulipokuwa jana
Kuna mambo yamebadilika, lakini bado kuna mengi ambayo tumekuwa tukiyazungumza kwa miaka mingi bila kuona mabadiliko tunayoyatarajia
Tumeona nchi kadhaa zikifanya jitihada za pamoja
Wananchi wameungana, wameandamana na kudai mabadiliko na katika baadhi ya nchi hata jeshi liliishia kuingilia kati baada ya shinikizo kubwa kutoka kwa wananchi
Hii mifano nimeweka hapa nimesoma huko mitandanoni
👇
Mfano, Philippines mwaka 1986, wananchi waliungana katika maandamano makubwa ya amani yaliyokuja kujulikana kama People Power Revolution, na hatimaye utawala wa Ferdinand Marcos ukaondoka
Tunisia mwaka 2011, wananchi waliingia barabarani kudai mabadiliko na maandamano yakawa makubwa kiasi cha kumfanya Rais Zine El Abidine Ben Ali kuondoka madarakani
Sudan mwaka 2019, wananchi waliandamana kwa miezi kadhaa wakidai mabadiliko, mpaka hatimaye Omar al-Bashir akaondolewa madarakani baada ya miaka takribani 30 ya utawala
Hapa kwetu tulijaribu pia
Kupaza sauti zetu tukiwa na madai mbali mbali
Lakini wote tunajua nini kilitokea October 29 💔
Na wote tunajua mtu anayekwenda kinyume na watawala au anayesema mambo fulani hadharani, mara nyingi kinachoweza kumpata
Ukiongea hadharani unatulizwa
Sasa tutaongea chumbani?
Kama hatuwezi kuongea hadharani, kama hatuwezi kuuliza maswali, kama hatuwezi kukosoa na kudai mabadiliko bila kuogopa, basi tutaikomboaje hii nchi?
Na ninaposema kuikomboa, simaanishi kwamba twende kwenye vurugu au kumwaga damu (nisinukuliwe vibaya)
Ninamaanisha taifa ambalo wananchi wawe waamuzi wa mwisho
Taifa ambalo mwananchi awe na uhuru wa kuzungumza, kuuliza, kukosoa, kuchagua na kushiriki katika kuamua mustakabali wa nchi yake
Kwa sababu sasa tumeongea sana
Tumeandika sana
Tumeomba sana
Tumeilalamikia serikali kwa mambo mengi sana
Lakini swali linabaki pale pale
Nini kifanyike ili tutoke kwenye kulalamika?
Kwa sababu sasa tutalalamika mpaka lini?
Je, tunahitaji nini kama wananchi ili sauti yetu iwe na nguvu na iweze kuleta matokeo?
Na kama nchi nyingine zimewahi kufikia hatua wananchi wakaungana na kudai mabadiliko mpaka yakatokea, sisi tatizo letu ni nini?
Tunashindwa kuungana?
Tunaogopa?
Hatuna imani kwamba tunaweza kubadilisha mambo?
Au bado tunasubiri mtu mwingine aje atufanyie?
ShesRise_1 ✋️

UzuoMorning wana JF

Uzi mzuri sana ,upo na maswali fikirishi mkuuMorning wana JF

Tunashindwa kuungana?Morning wana JF

Nakubaliana na wewe mkuuNadhani swali la msingi sio "kwa nini Watanzania hawajaleta mabadiliko makubwa?" Bali "ni mazingira gani hufanya mabadiliko yatokee?"
Mifano uliyoitoa ya nchi kama
Philippines (1986),Sudan (2019), na Tunisia (2011).
Kwa kuongezea nchi za South Korea mwaka 1987 yalitokea maandamano ya amani yalichangia kurejesha uchaguzi wa moja kwa moja wa rais
Nchini Indonesia ulitokea mgogoro wa uchumi, maandamano ya wanafunzi na shinikizo la Wananchi vikachangia kuondoka kwa Suharto.
Zambia (1991): shinikizo la wananchi na vyama vya upinzani likaishia kwenye uchaguzi uliobadilisha uongozi.
Kwa Tanzania, mazingira hali ni tofauti. Kuna mjadala mkubwa kuhusu Katiba, mfumo wa uchaguzi, uhuru wa kisiasa na mwenendo wa baadhi ya kesi zenye maslahi ya umma, ikiwemo ya Tundu Lissu.
Watu wengi wanaona bado kuna nafasi ya maboresho, na wapo wanaohisi kasi ya mabadiliko haitoshi (hasa mitandaoni)
Wananchi wengi wanajua ni wapi wasimame ila watawala nao wapo makini wanawanyong'onyeza wananchi kwa kuwanyamanzishaPamoja na yote yanayoendelea na yaliyotokea October 29 2025 bado tatizo linaweza kuwa kuendea kutokana hofu ya athari za kisiasa kwa baadhi ya watu, kutokuwepo kwa mwafaka mpana juu ya ajenda moja ( Hili Chadema wamelizungumzia mara nyingi sana)
Tatizo jingine ni imani tofauti kuhusu njia bora ya kufikia mabadiliko. (CCM wamekuwa waongo kukubali mabadiliko na imefikia hatua Chadema wameamua kulipeleka hilo jambo kwa Wananchi, Wananchi nao hawajui wasimamie upande upi.
Haya yote yatawezekana tu kama katiba itaboreshwa tukapata tume huru na watu kuchagua bila wasi wasi nowadays mtu anasema hahangaiki kwenda kuchagua kiongozi maana mshindi anajulikanaMabadiliko ya kudumu mara nyingi hutokea pale ambapo wananchi wanaendelea kushiriki kwa njia za amani na za kisheria zikiwemokupiga kura, kufuatilia uwajibikaji, kushiriki mijadala ya sera, kuelimishana na kuunga mkono taasisi zinazofanya kazi ndani ya sheria.
Nguvu ya sauti ya wananchi huongezeka zaidi inapokuwa ya pamoja, yenye nidhamu na inayolenga suluhisho, sio vurugu.
Sisi sote tujifunze watawala na hata sisi wana nchi piaBado Watanzania hatujui tupo katika njia ipi. Na Mabadiliko kila nchi hutokea kwa njia tofauti. La msingi Watawala wajifunze kupitia historia za mabadiliko kutoka nchi mbalimbali.
Exactly tujipe mudaNi kutokujua tu nature ya binadamu na kupuuza somo la historia.
Asili ya binadamu ukimkandamiza lazima ataretaliate, historia inaonesha dunia imepata kuongozwa na wababe na mwishowe walianguka. Haitakuwa tofauti kwa CCM.
Kwa kilichotokea october 29, watu wamerudi kwenye drawing board, tujipe muda.
Ulinzi kuhusu nini?Una ulinzi ndugu maana hapa ndo tatizo lilipo???🥲
Sawa mkuu ngoja tuoneBandiko lako limegusa hisia za wengi Mkuu, me nafikiri muda ndio muamuzi wa mwisho.. Kuna wengi sana wanafaidika na mfumo, wengine wananunulika kirahisi, wengine waoga wa kupitiliza, wakereketwa ni wengi pia ila ni kama mzani una balance au Kuna namna wanau balansisha kwa njia zao.
Siku wakereketwa wakiwa wengi kupindukia kuliko makundi mengine basi hakuna namna mabadiliko yatakuja.
🔥🔥🔥Now this is the home of great thinkers 💯✌️🤝💪
Karibu sana mkuu 🙏Uzuo
Uzi mzuri sana ,upo na maswali fikirishi mkuu
Aloooo 😢Tunashindwa kuungana?
Ndio.