ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,645
- 43,726
- Thread starter
- #161
Sijuiunaujua mwenge wa uhuru?
una nini huo mwenge?
Sijuiunaujua mwenge wa uhuru?
Katika WA Afrika walioenda kupigana vita ya urusi na ukraine, hakuna mtz hata mmoja,!! Sio kwa bshati mbaya,vijana wa tz asilimia kubwa ni mazuzu! Wanawaza iphone 17,subaru, mpira,demu mkali, basi!Morning wana JF
Watanzania tumekuwa tukilalamika kila siku kuhusu uongozi na mambo mbalimbali ambayo hatupendezwi nayo
1. Tumeongea sana tukiomba maboresho ya Katiba
2. Tumezungumza sana kuhusu kupitiwa upya kwa suala la Muungano
3. Tumezungumza kuhusu Mahakama na utendaji kazi wake
(Mpaka sasa tunaona mwenendo wa kesi ya mwenyekiti wa chadema TL inavyoenda huku watu wakiwa na mashaka makubwa )
Na mengine mengi sana
Lakini mpaka sasa hakuna matokeo chanya ya kutosha, licha ya kwamba tulipo leo sio tulipokuwa jana
Kuna mambo yamebadilika, lakini bado kuna mengi ambayo tumekuwa tukiyazungumza kwa miaka mingi bila kuona mabadiliko tunayoyatarajia
Tumeona nchi kadhaa zikifanya jitihada za pamoja
Wananchi wameungana, wameandamana na kudai mabadiliko na katika baadhi ya nchi hata jeshi liliishia kuingilia kati baada ya shinikizo kubwa kutoka kwa wananchi
Hii mifano nimeweka hapa nimesoma huko mitandanoni
👇
Mfano, Philippines mwaka 1986, wananchi waliungana katika maandamano makubwa ya amani yaliyokuja kujulikana kama People Power Revolution, na hatimaye utawala wa Ferdinand Marcos ukaondoka
Tunisia mwaka 2011, wananchi waliingia barabarani kudai mabadiliko na maandamano yakawa makubwa kiasi cha kumfanya Rais Zine El Abidine Ben Ali kuondoka madarakani
Sudan mwaka 2019, wananchi waliandamana kwa miezi kadhaa wakidai mabadiliko, mpaka hatimaye Omar al-Bashir akaondolewa madarakani baada ya miaka takribani 30 ya utawala
Hapa kwetu tulijaribu pia
Kupaza sauti zetu tukiwa na madai mbali mbali
Lakini wote tunajua nini kilitokea October 29 💔
Na wote tunajua mtu anayekwenda kinyume na watawala au anayesema mambo fulani hadharani, mara nyingi kinachoweza kumpata
Ukiongea hadharani unatulizwa
Sasa tutaongea chumbani?
Kama hatuwezi kuongea hadharani, kama hatuwezi kuuliza maswali, kama hatuwezi kukosoa na kudai mabadiliko bila kuogopa, basi tutaikomboaje hii nchi?
Na ninaposema kuikomboa, simaanishi kwamba twende kwenye vurugu au kumwaga damu (nisinukuliwe vibaya)
Ninamaanisha taifa ambalo wananchi wawe waamuzi wa mwisho
Taifa ambalo mwananchi awe na uhuru wa kuzungumza, kuuliza, kukosoa, kuchagua na kushiriki katika kuamua mustakabali wa nchi yake
Kwa sababu sasa tumeongea sana
Tumeandika sana
Tumeomba sana
Tumeilalamikia serikali kwa mambo mengi sana
Lakini swali linabaki pale pale
Nini kifanyike ili tutoke kwenye kulalamika?
Kwa sababu sasa tutalalamika mpaka lini?
Je, tunahitaji nini kama wananchi ili sauti yetu iwe na nguvu na iweze kuleta matokeo?
Na kama nchi nyingine zimewahi kufikia hatua wananchi wakaungana na kudai mabadiliko mpaka yakatokea, sisi tatizo letu ni nini?
Tunashindwa kuungana?
Tunaogopa?
Hatuna imani kwamba tunaweza kubadilisha mambo?
Au bado tunasubiri mtu mwingine aje atufanyie?
ShesRise_1 ✋️
Mkuu nakubaliana nawewe kwenye masuala ya kupenda umbea,trending na ujinga ujinga. Ni kweli watz wanapenda hivi vitu.Katika WA Afrika walioenda kupigana vita ya urusi na ukraine, hakuna mtz hata mmoja,!! Sio kwa bshati mbaya,vijana wa tz asilimia kubwa ni mazuzu! Wanawaza iphone 17,subaru, mpira,demu mkali, basi!
Nimesikiliza mahojiano ya kijsna wa Kenya 31yrs, alikuwa officer wa jeshi Kenya, akaacha, akaenda vitani urusi, kaponea chupuchupu kufa,!! Interectual capacity yake ya kujieleza, hata hawa na general wa jwtz,na vitamin vyao, hawafui dafu!
Mkuu nakazia hayo maneno yako.Viongozi mikundu funuka
Kwa maana hiyo mambo magumu hatuyaweziKatika WA Afrika walioenda kupigana vita ya urusi na ukraine, hakuna mtz hata mmoja,!! Sio kwa bshati mbaya,vijana wa tz asilimia kubwa ni mazuzu! Wanawaza iphone 17,subaru, mpira,demu mkali, basi!
Nimesikiliza mahojiano ya kijsna wa Kenya 31yrs, alikuwa officer wa jeshi Kenya, akaacha, akaenda vitani urusi, kaponea chupuchupu kufa,!! Interectual capacity yake ya kujieleza, hata hawa na general wa jwtz,na vitamin vyao, hawafui dafu!
Exactly 💯Mkuu nakubaliana nawewe kwenye masuala ya kupenda umbea,trending na ujinga ujinga. Ni kweli watz wanapenda hivi vitu.
Lakini pia kuwalaumu watz au kuwafananisha na mataifa mengine utakua unakosea kwa kiasi fulani. Ni lazima tujiulize ni kitu gani kinasababisha watu kupenda hivyo vitu?
Mkuu hii nchi imesukwa katika mifumo mibovu sana, Lowasa aliposema Elimu,Elimu,Elimu hakukosea hata kidogo. Angalia muitikio wa CHADEMA walipoelimisha watu kuhusu No reform No election.
Hii nchi hata wasomi ni WAPUMBAVU, hii nchi mchungaji anaweza kufanya maamuzi makubwa kuliko mume/mke. Yaani kuna ujinga na upumbavu ambao umekithiri.
Tukiondoa CCM tatizo jingine kubwa la hii nchi ni ujinga na ukosefu wa exposure.
Watanzania wengi ni mambumbumbu.
Aiseee!Mkuu nakazia hayo maneno yako.
Hasa viongozi walioamua kuua technical schools like Ifunda.
Wakaamua kuua hadhi ya special schools like Tosamaganga, Kibaha, Tabora boy's ili wafanye biashara ya mashule private.
Walioleta shule za kata ili kuzalisha madereva bodaboda.
Walioshusha hadhi ya elimu ya chuo ya kati STASHAHADA, tumepoteza nguvu kazi kubwa sana hapa.
Special Hilo neno lako limfikie popote alipo J.KIKWETE, NDALICHAKO NA SHUKURU KAWAMBWA hawa wasenge ndio walileta upumbavu unaoitwa BIG RESULT NOW, wakafanya kila mtu aweze kupata degree. Hizo degree ndio zinafanya vijana waamini wanahitaji kuajiriwa tuu pasipo kuangalia option nyingine.
Mbona unasikitika?Aiseee
Wala mkuu sijasikitika nimeshangaa tuMbona unasikitika?
Sahihi brotherMifumo ya hii Nchi ilivyo, haitoi nafasi maoni ya wengi kufanyiwa kazi
Binafsi huwa nasema, Kamati KUU/Mkutano Mkuu wa CCM uliyokuwa na watu wajeuri wa kumbana Mwenyekiti na kujaribu kumrudisha kwenye kufikiri kwa maslahi mapana uliishia Mei, 2015 kurudisha chini
Fikiria boss namba 2 anapotezwa halafu wao wanabariki na hakuna kitu wanafanya
Hali ya utekekaji na kupotezwa watu inaonekana, na wao wamefumba mdomo
Mdororo wa Kiuchumi na kisiasa umefika hapa tulipo na wao wapo kimya
Kisa wamemwachia mtu mmoja awaendeshe anavyotaka
Wananchi walijaribu kufanya waliyofanya Oktoba, 2025
Lakini Jeshi lenye maaskari ambao baada ya kustaafu miaka 5/10 ijayo wanapata Pension ya kikokotoo cha 33% ndiyo wanaamua kutumika
Ni vigumu kupata mabadiriko iwapo Sheikh mmoja anakuwa na jeshi lake na kulitambulisha live kwenye vyombo vya habari wakati Jeshi halisi lipo na Wakuu wake wote wanaangalia 🙌
Ni kuwakatisha tamaa wenye kutaka kuleta mabadiriko, maana Uchawa unatumika kuwagawa Wananchi
Approach kama hizi, ni ya gharama kubwa sana ya pesa na muda.Watu zaidi ya M60 jamani tuna shindwa guys 😢
Tujitafakari
Mkuu hii nchi misingi yake ilishakuwa mibovu na Aya yako ya kwanza inadhihirisha kwamba bado tunaishi katika Karne ya zidumu fikra za mwenyekiti😂😂. Hiyo kauli ilitokana na Nyerere yeye ndie alijimilikisha mawazo mazuri na Nia njema ya nchi yetu, akajimilikisha nchi na chama chake (Rais ndie mwenyekiti wa chama).Mifumo ya hii Nchi ilivyo, haitoi nafasi maoni ya wengi kufanyiwa kazi
Binafsi huwa nasema, Kamati KUU/Mkutano Mkuu wa CCM uliyokuwa na watu wajeuri wa kumbana Mwenyekiti na kujaribu kumrudisha kwenye kufikiri kwa maslahi mapana uliishia Mei, 2015 kurudisha chini
Mkuu Hilo la namba mbili naona ni game plan inachezwa, Kuna chenga za mwili naziona kwa mbaaali ila ngoja tuone mwendelezo wake. Lakini kile kitendo Cha kumfuta uanachama na kumteua mwingine nafikiri ni kete nzuri ikiwa game inachezwa kama ninavyofikiri.Fikiria boss namba 2 anapotezwa halafu wao wanabariki na hakuna kitu wanafanya
Hali ya utekekaji na kupotezwa watu inaonekana, na wao wamefumba mdomo
Hili ni wazo zuri ila utelekezaji sio rahisiApproach kama hizi, ni ya gharama kubwa sana ya pesa na muda.
Kwakuwa CCM wanashinda/ongoza kwa hila, wanatakiwa kupandikiziwa watu ili waje kutumika kinyume na matakwa yao kwenye critical moments.
Exactly 👏👏👏Bandiko zuri sana, kiufupi kama hatutakuwa na umoja na ushirikiano hasa katika masuala muhimu ya kitaifa na kijamii, huku tukiendelea kusema hayo ni mambo ya kisiasa tuwaachie wenyewe au tukiona kwamba ni Kazi ya Lissu, Heche na Chadema tu basi tutalalamika mpaka mwisho wa dunia, bila hatua madhubuti na mikakati makini tutalalamika mpaka mwisho wa ulimwengu, ikibidi violence ihusike, hata lenin na marx walishawahi kusema in order for a changes to occur, violence must be applied if all other necessary and peaceful mean fails to bring the desired results
Fanya utafiti wako kwa kina , kwa marefu na mapana. Hulka ya kulalamika siyo watanzania peke yao. Nadiriki kusema 70% ya wananchi wa mataifa mbalimbali duniani ni walalamikaji hususani kwa mataifa yanayoendeshwa kwa mifumo ya kimagharibi.Watanzania tumekuwa tukilalamika kila siku kuhusu uongozi na mambo mbalimbali ambayo hatupendezwi nayo
Sawa kwahiyo unataka kusemaje ?Fanya utafiti wako kwa kina , kwa marefu na mapana. Hulka ya kulalamika siyo watanzania peke yao. Nadiriki kusema 70% ya wananchi wa mataifa mbalimbali duniani ni walalamikaji hususani kwa mataifa yanayoendeshwa kwa mifumo ya kimagharibi.
Mkuu nakubaliana nawewe katika hili lakini bado hawa upinzani wanakazi kubwa sana ya kuwaelimisha watu wakaelewa.Bandiko zuri sana, kiufupi kama hatutakuwa na umoja na ushirikiano hasa katika masuala muhimu ya kitaifa na kijamii, huku tukiendelea kusema hayo ni mambo ya kisiasa tuwaachie wenyewe au tukiona kwamba ni Kazi ya Lissu, Heche na Chadema tu basi tutalalamika mpaka mwisho wa dunia, bila hatua madhubuti na mikakati makini tutalalamika mpaka mwisho wa ulimwengu,
ikibidi violence ihusike, hata lenin na marx walishawahi kusema in order for a changes to occur, violence must be applied if all other necessary and peaceful mean fails to bring the desired results