Tutaajiri Makatibu CHADEMA nchi nzima-Dr Slaa

Tutaajiri Makatibu CHADEMA nchi nzima-Dr Slaa

chama sio jengo na kama ni jengo basi yaambie maghorofa yote kwenye miji yasimamishe wagombea. utajua akili za kikada tu, we unadhani majengo ya CCM yamejengwa na CCM?

Mweleze huyo mkuu wangu.
 
Nilikuwa nafikiri tayari Chadema wana makatibu wa wilaya na mikoa, kumbe muda wote huo na maandamano kila siku kumbe hata katibu wa wilaya hakuna?. Sasa kadi za chama zinauzwaje huko wilayani na mikoani kama hata ofisi hakuna?. Kuna ofisi za Chadema UK na NY, kumbe hakuna ofisi za chadema Chalinze?, lazima kuna tatizo ndani ya Chadema.

Hata hujui unachokiandika Kidatu, basi tu umeandika ili uonekane nawe upo ukumbini.
Chadema inao makatibu wa mikoa, wilaya na majimbo wa kuchaguliwa ambao wanafanya kazi hizo kwa kujitolea bila kulipwa ujira wowote.

Anachozungumzia Dr. Slaa hapa ni kwamba sasa chama kinaondoka katika utaratibu wa kuwatumia makatibu hao wa kuchaguliwa ambao hawalipwi na kuajiri makatibu ambao watakuwa committed full time katika ofisi za mikoa, wilaya na majimbo.

Lakini pia anazungumzia kujenga ofisi za kudumu, sasa hivi maeneo mengi Chadema inatumia ofisi za kupanga. Sasa haya mawazo yako kwamba chadema haina ofisi sijui umeyaokoteleza wapi.
 
Last edited by a moderator:
- HA! HA! ha! ha! ha! ha! ni The King Of All Bongo Social Network Media! ha! ha1 nashukuru kwamba message sent na imefika! ha! ha! ha!

Le Mutuz!
Huyu ndio (mbunge EA)kupitia CCM loh! Hata kama CCM sio makini,kwenye hilo walishtuka. Mtaani kwetu lilikuwepo zee moja la hovyo hivi hivi likiitwa KJ na sikujua maana yake ni majuzi tuu wamenipa maana. Ni KUBWA JINGA
 
- HA! ha! ha1 ha! saafi sana finally mnacheza ngoma yangu, mimi sina miaka 70 na mke mwenye miaka 30 inaitwa Child Abuse! kwa kiongozi wa taifa kwa leo sitamataja ni nani huyo!! ha! ha!

Le Mutuz!!

My God!
I Feel very sorry for you! Why dont you behave like John Mnyika,January Makamba,Zitto Kabwe,Ben Saanane,Mwita Maranya,Michael P Aweda and others who are members for this forum?
Its very shame..!! Really its very shame for you!!!
 
- HA! ha! ha1 ha! saafi sana finally mnacheza ngoma yangu, mimi sina miaka 70 na mke mwenye miaka 30 inaitwa Child Abuse! kwa kiongozi wa taifa kwa leo sitamataja ni nani huyo!! ha! ha!

Le Mutuz!!

sasa si unamtukana baba yako mwenye miaka 95 ameoa kinda kilango mwenyemiaka 41 mtoto wa kipare anaetisha urithi wako hadi ukamua kurudi bongo
 
Huyu siande akacheze miereka maana akili zake ni hovyo naomba niulize humu jf ni mtoto wanani?
 
- Look here mimi nimegombea na kushinda so sasa ni kiongozi wa Taifa in just miezi kumi tu, nyie Chadema miaka 25 kila mkigombea mnapigwa chini Urais na wananchi, sasa hata udiwani nao mnapigwa chini tena kwa kipigo cha mbwa, sasa wananchi wa Tanzania tuwasaidaje? si mjipime tu muwache siasa maana zina wenyewe hizo!! nyie hamziwezi tena!! ha! ha!

Le Mutuz!!
Wewe ni wangapi kuzaliwa katika watoto wa Mzee Malecela?,au haya maswali huwa hujibu?Kata 29 ni 2 tu zilikuwa za cdm,magamba mlichukua ngapi za cdm,na cdm walibaki na kata ngapi baada ya uchaguzi.Nani alipoteza.Tukirusha pesa chini mimi na wewe,mimi nikarusha sh.2,wewe ukarusha sh.27,tukahesabiwa ili kunyakua,wewe ukanyakua 22,mimi nikanyakua 5,wapita njia wawili wakanyakua sh.1 kila mmoja,Nani amepoteza hapo, na nani ame-gain.Huko ughaibuni hakuna hesabu?Nyambafe we!
 
Big up Dr. Slaa. Tunataka viongozi wanaoona mbali. Hakika bila ya kuwa na ofisi na makatibu walioajiriwa Chama hakiwezi kupiga hatua. Watu watajitolea kwa kutumia muda wao wa ziada huku wakifanya kazi sehemu zingine, CCM wakiona nani ni muhimu anayekipeleka Chama kwa kujitolea Ukatibu basi hutia fitina kazini kwake na kumshughulisha hadi akose muda wa kushughulikia Chama. Naunga mkono mpango huo kwa asilimia 100
 
Mkuu Manyi,

No sikubaliani na wewe hapo ulipoongelea uchuuzi wa dagaa.Hapa umedhalilisha vijana na akina mama wengi ambao ni watanzania wenzetu waliolazimika kujipatia riziki kwa Biashara hii kutokana na hali ngumu na kuwekewa mazingira magumu kisera na serikali corrupt ya CCM.Omba radhi mkuu.


Busara ni kitu muhimu sana katika maisha. Nachelea kusema mfano wangu unaonekana haukuwa sahihi katika hali hii. Mkuu Ben Saanane, Naomba radhi kwa hilo na kwa JF wote!
 
Busara ni kitu muhimu sana katika maisha. Nachelea kusema mfano wangu unaonekana haukuwa sahihi katika hali hii. Mkuu Ben Saanane, Naomba radhi kwa hilo na kwa JF wote!

Manyi

Really you are my star!
 
Naunga mkono hoja 100%.

Kazi ya kuikomboa Tz na kazi ya kuitoa CCM madarakani ni pacha na ngumu/hatari. Hivyo kila hatua ya kujizatiti ktk hizi harakati na mapambano zinapaswa kuungwa mkono na kusaidiwa.

Hata hivyo naiona changamoto kubwa na ngumu sana ya namna ya kuwapata hao watendaji. Kuna watu wana njaa, ni maskini (wa vipato na fikra), wanafiki na wabinafsi sana ambao kwa namna moja au zaidi watataka kuhujumu huu utendaji. Nabaki nikitumaini kuwa Mungu atawaepusha CHADEMA na hao mamluki na maadui ili chama kisonge mbele kwa umoja, upendo na demokrasia.
 
Wamekumbuka shuka kumekucha failing to plan is planning to fail
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!
Le Mutuz; nilitegemea kuwa kuingia kwako kwenye ulingo utakuja na jipya kumbe ni walewale tu. Haya karibu tena ndugu.
 
- yaaani huyu mzee huwa ananishangaza sana, yaani chama hakina wanachama kabisa zanzibar wala songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi ughaibuni na sasa eti atawaajiri makatibu kila mkoa, yaani hawa chadema na huyu mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka ccm, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le mutuz!!


haya ndiyo matatizo ya viongozi wetu kupiga konyagi mpaka bujee na kwenda kuparamia mama zetu ndiyo unapata product kama le mutuz.

Huyu toka anagombea ccm wanampiga chini na diploma engineering ya meli.
 
Huyu ndio (mbunge EA)kupitia CCM loh! Hata kama CCM sio makini,kwenye hilo walishtuka. Mtaani kwetu lilikuwepo zee moja la hovyo hivi hivi likiitwa KJ na sikujua maana yake ni majuzi tuu wamenipa maana. Ni KUBWA JINGA

- Ha! ha! ha! ha! ha! ndio huwa maneno ya wapambe wa Chama kinachoongozwa na Mke wa Rais wao, yaani huzuni tupu ndio makosa ya mtumzima mwenye miaka 70 kuoa mke wenye miaka 30! ni noma sana!!

Le Mutuz!!
 
haya ndiyo matatizo ya viongozi wetu kupiga konyagi mpaka bujee na kwenda kuparamia mama zetu ndiyo unapata product kama le mutuz.

Huyu toka anagombea ccm wanampiga chini na diploma engineering ya meli.

- Kimepigwa chini kile kizee chanya degreee ya kanisani, tena kila wakati kinapogombea kinapigwa chini! ha! ha! ha! tuliza boli jipangeni mnapigwa chini kila kona majuzi udiwani mmekula za uso 22 kwa 5, aibuuu tupu!!

- Muda muafaka huu wa kuchana na siasa cause hamuiwezi tena, kimebakia kivuli chenu tu, si mligomea Rais halafu mkaneda kunywa juice zake, sitani nataka! nyie kazazneni ama sivyo 2015 ndio mwisho wenu!!

KIDUMU CCM!1

Le Mutuz!!
 
Kujenga ofisi kila sehemu zenye hadhi ni jambo jema hongera Dr Slaa.
Duh Mkubwa leo imekuwaje? Kwa mara ya pili nimekugongea li senkyu!!! Ritz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom