Tutaajiri Makatibu CHADEMA nchi nzima-Dr Slaa

Vipi m4c,operation sangara ,vua gamba vaa gwanda nk vimeishia wapi.domo kaya limewazidi utedaji 0
 
Kwi....kwi...kwiiiii...tehe.....teheee.....!
Anajihita manasiasa anashindwa na mzee wa umri wa baba yake Stephen wassira anashindwa na vijana wadogo Kabisa kina January makamba ,shigella Martin mpaka mwana mama mukuranga fenella sasa jamaanii Huyu mtu Kama nilivyosema kuna Tatizo la msingi la hayo matatizo ya Watu wa ulaya sasa jinsi ya kumsaidia mtajua wenyewe Watu wa Ccm mimi nimemaliza Narudi Zangu porini kumbukeni uzee dawa na ngamia mzee ni mkweli Siku zote
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!

Naona umeanza kutekeleza maelekezo ya kujibu mapigo, yaani unashikiwa akili at your late 50s. Elimu haina mwisho kwa kweli.
 
lakini kuna taarifa Kuwa wewe ni shogga Ndiyo maana Ccm Kila uchaguzi wanakupiga chini Kwani wanaogopa kashifa Samahani lakini unaweza nidhibitishia Kwani ni haramu Kwangu kuchat na mashogga na inawezekana humu jamii Watu Wengi walikuwa awakujui hiyo tabia yako pole sana mzee malecela Ndiyo mambo ya America hata Obama karuhusu juzi tu mashogga USA rukusa je kwa Ccm je majitu ya nakwenda nje yanakuja kuwaaibisha wazazi

Ingekuwa ni mimi leo leo jf ningejitoa kwakashifa kubwa kama hii kama mwigulu chemba alivyo toka kimya kimya humu jf kwakashifa ya kutembea na mke wamtu kule igunga lisemwalo lipo kama halipo laja maana lemutuzi mambo yako unayo fanya yanafanania na ukweli usemwao
 
Anajihita manasiasa anashindwa na mzee wa umri wa baba yake Stephen wassira anashindwa na vijana wadogo Kabisa kina January makamba ,shigella Martin mpaka mwana mama mukuranga fenella sasa jamaanii Huyu mtu Kama nilivyosema kuna Tatizo la msingi la hayo matatizo ya Watu wa ulaya sasa jinsi ya kumsaidia mtajua wenyewe Watu wa Ccm mimi nimemaliza Narudi Zangu porini kumbukeni uzee dawa na ngamia mzee ni mkweli Siku zote

Mzee Malecela atamkumbuka milele marehemu mwanae Ipyana.Mungu amrehemu.
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!

wewe ni Mgeni tanzaniahii, na maendeleo ya chadema yanakukera. kamuulize nchimbi atakuambia kama songea chadema inawanachama au la, zanzibar wapo wanachama.
 
All the best CDM, japo kuna mapimbi kama Le Mutuz, nahisi huyu jamaa angezaliwa familia maskni angekuwa mchuuzi wa dagaa, hana akili kabisa, ni kilaza sana huyu jamaa!

Mkuu Manyi,

No sikubaliani na wewe hapo ulipoongelea uchuuzi wa dagaa.Hapa umedhalilisha vijana na akina mama wengi ambao ni watanzania wenzetu waliolazimika kujipatia riziki kwa Biashara hii kutokana na hali ngumu na kuwekewa mazingira magumu kisera na serikali corrupt ya CCM.Omba radhi mkuu.
 
Huwa nikikusoma ujinga unaoandika Namlilia Marehemu Ipyana Malecela(RIP).
Hakika Mzee Malecela alimpoteza mwana wa kweli wa kiume.Ipyana alikuwa na akili na hekima hakuna mfano.Mungu amrehemu.

- HA! HA! ha! ha! ha! ha! ni The King Of All Bongo Social Network Media! ha! ha1 nashukuru kwamba message sent na imefika! ha! ha! ha!

Le Mutuz!
 
All the best CDM, japo kuna mapimbi kama Le Mutuz, nahisi huyu jamaa angezaliwa familia maskni angekuwa mchuuzi wa dagaa, hana akili kabisa, ni kilaza sana huyu jamaa!

Mkuu Manyi,

No sikubaliani na wewe hapo ulipoongelea uchuuzi wa dagaa.Hapa umedhalilisha vijana na akina mama wengi ambao ni watanzania wenzetu waliolazimika kujipatia riziki kwa Biashara hii kutokana na hali ngumu na kuwekewa mazingira magumu kisera na serikali corrupt ya CCM.Omba radhi mkuu.
 
Anajiita kijana huku ana miaka 55 yaani Sumaye kamzidi na miaka 5 tu...!

- HA! ha! ha1 ha! saafi sana finally mnacheza ngoma yangu, mimi sina miaka 70 na mke mwenye miaka 30 inaitwa Child Abuse! kwa kiongozi wa taifa kwa leo sitamataja ni nani huyo!! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!
Miss Le Mutuz anatafutwa lini??? nitachangia pambano!!
 
- HA! HA! ha! ha! ha! ha! ni The King Of All Bongo Social Network Media! ha! ha1 nashukuru kwamba message sent na imefika! ha! ha! ha!

Le Mutuz!

Make simple comparison btn you and your sister Dr Mwele,then give me the results! Shame for you!
 
W.J.Malecele hacha kujibu utoto, sana sana unajiaibisha mwenyewe, kama unagombe nafasi za uongozi wa nchi hii alafu unaandika pumba, haujipatii sifa yoyote kwa watu makini, sana sana utasifiwa na kikwete tu kwa kujibu mapigo lakini sisi uraiani ambo hatukujui tunazidi kukudharau, wewe huna hata kitu kinmoja cha kujilinganisha na Dr. Slaa... fikilia haya ninayo kuambia! ni kwa faida yako. ukitunza heshima yako sasa kwenye wakati huu ni akiba ya wakati wa utuzima wako. CCM inapita utu wako nimuhimu zaidi
 
- HA! HA! ha! ha! ha! ha! ni The King Of All Bongo Social Network Media! ha! ha1 nashukuru kwamba message sent na imefika! ha! ha! ha!

Le Mutuz!
Unacheka cheka nini? kinachokuchekesha nini? kufa Ipyana?RIP
 
Laiti kama watanzania wote wangekuwa wameenda shule vizuri CCM isingeongoza hata miaka miwili mbele ila kwa sababu watanzania wengi bado shule haijawakomboa CCM imeamua kutumia mtaji huo! Ole ole ile siku wananchi watkapofunguka macho sijui magamba watakimbilia wapi and that hour is coming! THE HOUR OF FREEDOM
 
Back
Top Bottom