Tutaajiri Makatibu CHADEMA nchi nzima-Dr Slaa

Mkuu Mama Mdogo anahesabu Siku Pale SAME, waiti 2015 ndo utajua kama CDM wanafanya masihala, nakuhakikishia Mama Mdogo harudi kamwe Mjengoni na Ndo itakuwa mwisho wa Jina la Malecela, Haina haja ya Kukaa kubishana tusubiri tuone

- Kila unapokuja uchaguzi muziki wenu ule ule harudi! harudi! so far sasa term ya tatu!! harudi my foot, nyie subirini kupigwa kama mlivyopigwa kwenye Udiwani juzi, ebo! ha! ha! ha!

CHEZEYA CCM WEYE!!

Le Mutuz
 
I thought ulisema unajitoa jamvini kimoja!!!
 
Ushindani ni Muhimu hata katika majengo na usafiri. Kwa kuajiri makatibu hapo chama kitakuwa kinawatendea haki watu ambao walikuwa na maswali yasiyojibiwa kuhusu mgawanyo wa mapato na ruzuku na vitendea kazi mikoani.
 
mlioko karagwe mbona hamtoi updates za kikao ingali tunawategemea sana... tafadhari tunaomba hata picha za matukio huko
 
I thought ulisema unajitoa jamvini kimoja!!!

- Ninajitoa my foot kumbe unaniogopa kihivyo? duh unaona sasa maana ya The King Of All Network Social Media, badala ya kujibu hoja unaaanza kulilia lia eti kwa nini nipo humu? ebo kazana wewe mtoto wa kiume!!

Le Mutuz!!
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!! Le Mutuz!!
Kweli wewe naona akili iko na katatizo kidogo...afu eti kiongozi wa CCM.Hivi huna taarifa kuwa kata kadhaa pale songea ziko chadema? hujui kuwa kuna ofisi za chama Zanzibar...Kusema hakuna wanachama kabisa zanzibar ina maana katika uchaguzi wa Uzini Chadema ingepata sufuri....Dah kweli ukiwa CCM unatakiwa uwe na akili ya maiti
 
Maneno yako unayotoa hapa JF yanakuonyesha wewe ni mtu wa hovyo kabisa usiye na maana yoyote.Ni matusi makubwa kwa Mzee Malecela kuwa na mtoto kama wewe.

Mkuu hilo limjamaa nilikuwa nalionaga la maana enzi hizo "likiripoti" kutokea sijui wapi huko NY. Lakini kadiri siku zinavyokwenda nimegundua ni limjamaa la hovyo kabisa; busara kichwani hamna kabisa tofauti na umri na exposure aliyo nayo.

Limejitahidi kugombea vijinafasi huko magambani lakini limepigwa chini kila idara limebaki kujitia aibu kwenye vijarida vya udaku. Ukiona mtu umekuwa mfuasi mwaminifu wa magamba na unalindwa na "jina kubwa" na umeishi ughaibuni zaidi ya umri wa kijana but yet unapigwa chini hadi nafasi ya uenyekiti wa mtaa unapaswa kujitathmini upya na ukae kimya forever. Tatizo hajitambui.
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!

mkuu state utaludi lini, make apa bongo umekua kama kandambili kazi yako haifahamiki zaidi ya kuvaliwa mtu akienda chooni, na kale kablog kako uchwara kameishia wapi?
 
Athari za kushindwa chaguzi unazoshirki ndo tatizo lako, eti nawe ndo uwe kiongozi ni hasara tupu kheri uongozwe na nyumbu kuliko weye.
 
songea unayeongelea ni ipi? Ya tanzania au! Madiwani wote wa city/town center songea ni wa cdm! Mkuu kama ni uwongo hapo umetumia wa magamba. Ccm imeshikwa kotekote si magharibi,kusini ,kaskazini hata mashariki. Kama ni kuiga au kukopi ccm ni balaa, eti kinana ana muiga dk slaa kuhusu kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi. Naamini ccm itazikwa muda si mrefu!

Hata Lituhi ambako ni kandokando ya ziwa Nyasa CHADEMA ipo juu, achana nae huyo mwathirika na chaguzi.
 
Kujenga ofisi kila sehemu zenye hadhi ni jambo jema hongera Dr Slaa.

Kumbe sometime Ritz una akili,
zile pilau mnazopeana magamba zinakufanya unavimbirwa kichwa, ndo maana kauli zako maranyingi zinachafua hali ya hewa ktk jukwaa la siasa.
 
Ukubwa wa PUA wakati mwinine ndio wingi wa kamasi yenyewe hyo,bro ndivyo unavyojionesha hapa,upo mkubwa kiumri lakn kiakili wewe bado sana maana hata ujenzi wako wa hoja ni hovyo tuu na lengo lako ili CCM wakuone nawe upo kumbe hakuna kitu,pole yako mkombi
 
Kweli wewe naona akili iko na katatizo kidogo...afu eti kiongozi wa CCM.Hivi huna taarifa kuwa kata kadhaa pale songea ziko chadema? hujui kuwa kuna ofisi za chama Zanzibar...Kusema hakuna wanachama kabisa zanzibar ina maana katika uchaguzi wa Uzini Chadema ingepata sufuri....Dah kweli ukiwa CCM unatakiwa uwe na akili ya maiti

- Lets say akili zako hazina tatizo! ha! ha! ha! ha!, unasema kata zipi hizo wakati takwimu za Taifa zipo wazi kwamba Chadema mmeshindwa kwa Viti 22 kati ya 27, nenda uulizie tena habari ndio iyo!!

Le Mutuz!!
 
Mkuu hilo limjamaa nilikuwa nalionaga la maana enzi hizo "likiripoti" kutokea sijui wapi huko NY. Lakini kadiri siku zinavyokwenda nimegundua ni limjamaa la hovyo kabisa; busara kichwani hamna kabisa tofauti na umri na exposure aliyo nayo.

Limejitahidi kugombea vijinafasi huko magambani lakini limepigwa chini kila idara limebaki kujitia aibu kwenye vijarida vya udaku. Ukiona mtu umekuwa mfuasi mwaminifu wa magamba na unalindwa na "jina kubwa" na umeishi ughaibuni zaidi ya umri wa kijana but yet unapigwa chini hadi nafasi ya uenyekiti wa mtaa unapaswa kujitathmini upya na ukae kimya forever. Tatizo hajitambui.

- Lets say wewe na Chadema mnajitambua then howcome mmeshindwa tena kwa kipigo cha mbwa mwizi kwenye uchaguzi wa Udiwani, viti 22 kwa viti 5 tu aibu kwa chama cha ukombozi!! ha! ha! ha!, haya sasa subirini maandamano nashangaa sana vipi safari hii hamkuibiwa kura kwenye kuhesabu kura si unaujua ule muziki wenu!

Le Mutuz!!
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!

Ujinga nao pia ni sifa nzuri tu.
 
mkuu state utaludi lini, make apa bongo umekua kama kandambili kazi yako haifahamiki zaidi ya kuvaliwa mtu akienda chooni, na kale kablog kako uchwara kameishia wapi?

- Look here mimi nimegombea na kushinda so sasa ni kiongozi wa Taifa in just miezi kumi tu, nyie Chadema miaka 25 kila mkigombea mnapigwa chini Urais na wananchi, sasa hata udiwani nao mnapigwa chini tena kwa kipigo cha mbwa, sasa wananchi wa Tanzania tuwasaidaje? si mjipime tu muwache siasa maana zina wenyewe hizo!! nyie hamziwezi tena!! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Back
Top Bottom