William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Ujinga nao pia ni sifa nzuri tu.
- Kwani na wewe ni Chadema mkuu? ha! ha! ha! ha! toka lini? Afu mtu mwenye akili kama wewe kulikoni kusoma na kujibu hoja ya mjinga kama mimi? is that right? ha! ha1 ha! ha! ha! yaani huko unahangika na Tawi la CCM huku JF unajifanya Chadema, ndio maana hilo lichama halitakuja kushinda uchaguzi wowowte maana limejaza wanachama kama wewe manduma kuwili na wenye sura mbili mbili!!
Le Mutuz!!