Tutaajiri Makatibu CHADEMA nchi nzima-Dr Slaa

Tutaajiri Makatibu CHADEMA nchi nzima-Dr Slaa

rudi shule acha utumwa.ndiyo maaba wenzako wamegundua ulivyo kilaza wakaamua kukuaminisha kwamba taaluma haina faida ukilinganisha na ushirikina.achana na waganga,unawabebea wenzako tunguri kwa sababu ya ujinga badala ya kwenda shule kufuta huo ujinga kaka
juniour ameamka???mpe uji kwanza,dr. Vipi anaendeleaje na afya yake.

Chadema kuajiri makatibu wakuu labda sabodo atoe hela zake zingine,lakini kwa namna chama kilivyotafunwa na hao akina slaa na mbowe sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Ruzuku ya chama imesimamishwa fedha zimeelekezwa wapi kama sio matumboni mwa watu??????
Madeni,kulipa akina saa tisa na wale wa mikoani ndio kabisaaa
 
Unapoona CCM na Wapambe wao 24/7 wanajadili CDM kwa Malengo ya Kishetwani Maana yake ni Kwamba Mtu Kashikwa Pabaya na CDM wanatakiwa waendelee tu Kubinya wasiache.

Press it More Mpaka watapike Nyongo
 
juniour ameamka???mpe uji kwanza,dr. Vipi anaendeleaje na afya yake.

Chadema kuajiri makatibu wakuu labda sabodo atoe hela zake zingine,lakini kwa namna chama kilivyotafunwa na hao akina slaa na mbowe sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Ruzuku ya chama imesimamishwa fedha zimeelekezwa wapi kama sio matumboni mwa watu??????
Madeni,kulipa akina saa tisa na wale wa mikoani ndio kabisaaa
Majungu hayakusaidii bali yanaonyesha utupu wko kichwani
 
Nilikuwa nafikiri tayari Chadema wana makatibu wa wilaya na mikoa, kumbe muda wote huo na maandamano kila siku kumbe hata katibu wa wilaya hakuna?. Sasa kadi za chama zinauzwaje huko wilayani na mikoani kama hata ofisi hakuna?. Kuna ofisi za Chadema UK na NY, kumbe hakuna ofisi za chadema Chalinze?, lazima kuna tatizo ndani ya Chadema.

Mkuu Kidatu sidhani kama CDM hawakuwa na viongozi hao, walikuwepo ila walikuwa si wa kuajiriwa. Dkt. Slaa anazungumzia kuwaajiri sasa of which itaongeza commitment, accountability na morally ya kazi. Read between the line.
 
Last edited by a moderator:
juniour ameamka???mpe uji kwanza,dr. Vipi anaendeleaje na afya yake.

Chadema kuajiri makatibu wakuu labda sabodo atoe hela zake zingine,lakini kwa namna chama kilivyotafunwa na hao akina slaa na mbowe sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Ruzuku ya chama imesimamishwa fedha zimeelekezwa wapi kama sio matumboni mwa watu??????
Madeni,kulipa akina saa tisa na wale wa mikoani ndio kabisaaa

TUNTEMEKE,
Basi mkuu naona unampiga koboko kwenye utosi anaangaika kutaka roho.
 
Last edited by a moderator:
- Kila unapokuja uchaguzi muziki wenu ule ule harudi! harudi! so far sasa term ya tatu!! harudi my foot, nyie subirini kupigwa kama mlivyopigwa kwenye Udiwani juzi, ebo! ha! ha! ha!

CHEZEYA CCM WEYE!!

Le Mutuz

Are you for real???? hizi comments sidhani kama zinapaswa kutoka kwa mtu kama wewe, its so dissapointing kwa mtu ambaye watu wengine wangepaswa kumuona ni role-model wao anakuwa na comments za namna hii. Its a shame, if i were you, ningebaki kusoma tu comments bila kupoteza muda wa kujibu huku...its not worth it, now i understand kwa nini hata nafasi ambazo umekuwa ukigombea unapata shida kupata supporters wengi, pole sana! :A S angry:
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!



Another funny and sad comment - hizi comments sidhani kama zinapaswa kutoka kwa mtu kama wewe, its so dissapointing kwa mtu ambaye watu wengine wangepaswa kumuona ni role-model wao anakuwa na comments za namna hii. Its a shame, if i were you, ningebaki kusoma tu comments bila kupoteza muda wa kujibu huku...its not worth it, now i understand kwa nini hata nafasi ambazo umekuwa ukigombea unapata shida kupata supporters wengi, pole sana!
A%20S%20angry.gif
 
Muulize Mzee wako hiyo habari anaijua zaidi. By the way nasikia Mama mdogo aliwahi kufanywa vibaya maeneo ya Chalinze alipokuwa anaelekea Dodoma na yale mabilioni ya kutoka Uarabuni..Unaanzisha ligi na wahuni usije ukakimbia baadae

...you mean USWAA,,,, mmmmh
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!
Tazama sasa unavyojaribu kuwaaminisha watanzani uongo wakati watu wanaufahamu ukweli, hizi si enzi za zidumu fikra za mwenyekiti😛eace:😛eace:
 
Another funny and sad comment - hizi comments sidhani kama zinapaswa kutoka kwa mtu kama wewe, its so dissapointing kwa mtu ambaye watu wengine wangepaswa kumuona ni role-model wao anakuwa na comments za namna hii. Its a shame, if i were you, ningebaki kusoma tu comments bila kupoteza muda wa kujibu huku...its not worth it, now i understand kwa nini hata nafasi ambazo umekuwa ukigombea unapata shida kupata supporters wengi, pole sana!
A%20S%20angry.gif

Brother utakua lini? Busara itakuijia lini? Utajing'amua lini? Hekima itakutembelea lini? Heshima itakufuata lini?
kwa umri wako hutakiwi kumshambilia Dr slaa personally, mshambulie kwa hoja, mambo yake kuhusu elimu ya dini yanamhusu mweyewe na familia yake, elimu aliyonayo mtu haidharauliwi kwa sababu mtu huwa anasoma kwa malengo yake. Tanzania tuna wanasiasa wenye elimu dunia nzuri ila wametufikisha hapa tulipo.

michango yako ielekeze kujibu hoja za mtu na si kumshambilia personally, by the way siasa haitufanyi kuchukiana bali inatusaidia kuijenga nchi yetu.

adabu ni kitu cha muhimu sana hasa unapokuwa na umri kama ulio nao, kuna vijana wengi sana humu wanajifunza so ukiwa unatoa mawazo kama haya mwisho wa siku utashangaa hata mitaani watu wanakuita majina ya ajabu.

Tujengane kwa hoja ndugu William.

Hiyo ndio kazi uliyotumwa na Jumuia ya Wazazi? Jumuai zingine bwana...zinachagua Wazazi wasiokuwa wazazi....Hapa unamlaumu Mzee Tingatinga kwa kumuoa Anne Kilango? Kwa kuwa umeanzisha malumbano ya kutukana watu tutakula sahani moja na wewe mpaka urudi kule kule facebook kwenye blog yako ya picha za warembo wakiwa naked...Mtu mzima ovyo!!!!

Hili jamaa hovyo kabisa.... lizee lizima lina mambo ya kitoto... lakini ndio aina ya watu wenye akili kuliko wote CCM nzima.. Kwani huyu sio mwenye Mbunge Lusinde ambaye aliwashinda watu wote wa Mtera? Sio ajabu kwa wapiga kura wa Lusinde kuwa kama huyu dingi...maskini Tanzania

Wewe lazima ni mvuta bangi na unakunywa gongo.

Hivi wewe mvuta bangi mtu akisema watoto wa viongozi wastaafu wasimame utathubutu kukaa meza moja na January Makamba na Hussein Mwinyi? Masikini Mzee Malecela wenzake walizaa binadamu yeye akazaa kituko.
Mpaka hapa ukitazama nini umeambiwa yakupasa kujirekebisha.
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!

.
Kichwa cha Lusinde kina hekima inayoiacha familia ya baba yako mbali.
.
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!
@W.J. Malecela wew ni mtu wa ajabu sana kwaninia usimshangae baba yako kutokujenga kwao Mvumi na kwenda kujenga Dar?
 
Back
Top Bottom