tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,146
Stop exposing your ignorance
Mchange soma shule acha ujuha unaoendekeza.Tatizo ni kwamba mnamuogopa sana Dr.Slaa kwa kuwa mnajua ni mwiba kwenu .a wana-CCM wanaowatumia wewe na...........Unajua namaanisha nini.
You should grow up.
Tatizo ni kwamba hutambui kuna issue ya priorities katika planning.Najua akili yako fupi haikuruhusu kifikiria hilo.You need to be schooled.Usiwe unakubali kutumika blindly kuwa mjanja
Hizi comments za udaku kwa lengo la kumchafua Dr.Slaa na viongozi wa chama ni upuuzi na kama mna uwezo si mjibizane nae kwa hoja ndani ya vikao?
Fedha mnazopewa na akina Mwigulu Nchemba kupitia kwa akina James Mwakibingi hazikusaidii sana
Unapiga kampeni ya udini na kujifanya muumini wa Dini fulani huku tukiongozana kula kitimoto.Acha kuingiza watu mkenge mkuu.Unafiki wako umefikia hadi hatua ya ku-compromise imani yako kwa sababu ya njaa tu.
-WanaJF,Huyu jamaa hana access ya info za CHADEMA zaidi ya kutunga tu ili kujifanya anaijua CHADEMA.Amelipwa na akina Mwigulu na baadhi ya wanasiasa wasioitakia mema CHADEMA ili kudhoofisha uongozi wa chama huku wakiwa waumini wa vyama vingine.Embarrassement!
hapo kwenye red unamzungumzia jamaa anayepost pumba kila kukicha FB