Tutaajiri Makatibu CHADEMA nchi nzima-Dr Slaa

chadema sasa ina lamba matapishi yake,chacha wangwe alitoa wazo hili akapingwa na kisa tu mbowe hakutaka kusikia jambo lolote kutoka kwa chacha wange kwa vile si wa eneo lile la kaskazini!
 
- HA! ha! ha1 ha! saafi sana finally mnacheza ngoma yangu, mimi sina miaka 70 na mke mwenye miaka 30 inaitwa Child Abuse! kwa kiongozi wa taifa kwa leo sitamataja ni nani huyo!! ha! ha!

Le Mutuz!!

Zidi kujivua nguo.Ni aibu kubwa kujiita mtoto wa waziri mkuu mstaafu.Nina uhakika anayeipa heshima familia ya Mzee Malecela ni Dr Mwele.Huna hata aibu kujidhalilisha kwa kutoa mapovu hapa JF utadhani mvuta bangi.
 
Nape yupo wapi? Huwa anamuota huyu Dr wa ukweli kila mara.
Nape anajua fika kwamba Dk.Slaa ni mwiba mkali kwa ccm, sasa kwa akili zake finyu ambazo anafikiri zinamsaidia ameanzisha propaganda ya kijinga kila anapomwongolea Dk. anamwita babu anazeeka vibaya, aachie vijana mambo ya siasa.
Propaganda kama hizi zinasikilizwa na wajinga wa ccm ambao maisha yao yote wamezoea kudanganywa huku viongozi wao wakilia kivulini.
Dk.Slaa hata kama ana miaka 90, kwa kazi anazozifanya, kwa kusimamia ukweli na kuongoza watanzania kuelekea kwenye ukombozi kutoka kwenye mkoloni wa ndani, hakuna kijana wa Tanzania anayechapa kazi kama yeye. Watanzania walio wengi wanaelewa hilo, hata alishamwambia nape kwamba yeye sio size yake, hawezi kulumbana na yeye!
 
Mkuu umeandika bandiko bora kabisa.Naamini wale vibaraka wamelisoma andiko lako mkuu wangu.
 
- HA! ha! ha1 ha! saafi sana finally mnacheza ngoma yangu, mimi sina miaka 70 na mke mwenye miaka 30 inaitwa Child Abuse! kwa kiongozi wa taifa kwa leo sitamataja ni nani huyo!! ha! ha!

Le Mutuz!!
Vipi nakuhusu Kichwani? kwa sababu kwa mtu wa umri wako (late 50s) kuchepuka kutoka kwenye issue ya msingi na kutusukuma kuzungumzia mambo ya kwenye chupi ni kudhalilisha jamii nzima. hapo tunahoji the type of your thinking with respect to your age vitu ambavyo vina correlation ya one to one in every aspect.

Miaka hamsini inamtosha kabisa mtu kujua anasimamia nini. I do not see this in you.
 
Nakuomba jifunze kuwa"ignore" watu wasio "serious".
 
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amesema chama chake kimeamua kupanga mikakati madhubuti ya kujiimarisha ndani ya chama.

Kiongozi huyo mashuhuri nchini aliyasema hayo alipokuwa akifungua mkutano wa baraza la Ushauri Mkoa wa Kagera lililofanyika Karagwe na kuhudhuriwa na viongozi wa majimbo yote ya mkoa wa Kagera.

Dr Slaa alisema moja ya mikakati ya chama chake ni kuajiri Makatibu wa Chama kote nchini.Pia Kiongozi huyo makini nchini alisema mikakati mingine ni kugawa Pikipiki kila Kata kwa ajili ya shughuli za chama na pia kujenga ofisi za kudumu kote nchini na zenye hadhi.

Kiongozi huyo anayetenda kwa mujibu wa maneno yake amewahakikishia viongozi hao wa chama kwamba atahakikisha mambo yote hayo yatasimamiwa kwa ukamilifu.

Source: Tanzania Daima

View attachment 72146
Kuondoka kwenye hii Guest House imekuwa tabu na ruzuku tunapata wananchi tunawachangisha Kameruun na CDU wanatupa hela zote Tunaweka Tumboni kwa mgongo wa Movement 4 Chaga....sasa kuajiri Makatibu si ndoto za Abunuasi.....hehehe BABU MZEE PADRI SLAA anazeeka vibaya sasa
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!

Huwa sishangai ninapoona ukipigwa mweleka kila unapogombea nafasi mbalimbali ndani ya chama chenu..wanajua jinsi ulivyo mweupe kichwani mwako...kubeba maboksi ndiyo saizi yako kabisa
 
Huwa nikikusoma ujinga unaoandika Namlilia Marehemu Ipyana Malecela(RIP).
Hakika Mzee Malecela alimpoteza mwana wa kweli wa kiume.Ipyana alikuwa na akili na hekima hakuna mfano.Mungu amrehemu.

Aaaameeeen! Na amlaani Le Mutuz kwa kuendekeza ushoga
 
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amesema chama chake kimeamua kupanga mikakati madhubuti ya kujiimarisha ndani ya chama.Kiongozi huyo mashuhuri nchini aliyasema hayo alipokuwa akifungua mkutano wa baraza la Ushauri Mkoa wa Kagera lililofanyika Karagwe na kuhudhuriwa na viongozi wa majimbo yote ya mkoa wa Kagera.Dr Slaa alisema moja ya mikakati ya chama chake ni kuajiri Makatibu wa Chama kote nchini.Pia Kiongozi huyo makini nchini alisema mikakati mingine ni kugawa Pikipiki kila Kata kwa ajili ya shughuli za chama na pia kujenga ofisi za kudumu kote nchini na zenye hadhi.Kiongozi huyo anayetenda kwa mujibu wa maneno yake amewahakikishia viongozi hao wa chama kwamba atahakikisha mambo yote hayo yatasimamiwa kwa ukamilifu.Source: Tanzania Daima
Pikipiki za Chacha wangwe ndo zinataka kutoka sasa? walimkatalia kwa nini?
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!

Ni lini utabadilika Willy, hivi iandikwe kwa lugha gani ili umuelewe Dr. wa Ukweli? kwa ufupi tu Wakiajiriwa makatibu mikoa na wilaya zote nchini and kutoa pikipiki kwa kata zote nchini hivi huko zanzibar na songea sio Tanzania.

shida ya kada wengi CCM ni Vilaza ndio maana mwenzako alisema Tanzania ni muungano wa visiwa vya Zimbabwe na Pemba.

Ushauri: Kabla ya kuchangia tulia, soma vizuri, changia kwa weledi sababu unaonekana si mwepesi wa kuchanganua mambo kwa haraka.
 
Vipi nakuhusu Kichwani? kwa sababu kwa mtu wa umri wako (late 50s) kuchepuka kutoka kwenye issue ya msingi na kutusukuma kuzungumzia mambo ya kwenye chupi ni kudhalilisha jamii nzima. hapo tunahoji the type of your thinking with respect to your age vitu ambavyo vina correlation ya one to one in every aspect.

Miaka hamsini inamtosha kabisa mtu kujua anasimamia nini. I do not see this in you.

Ningekuwa msemaji wa CCM lazima ningependekeza W. Malecela apewe nafasi ya ambayo atawashughulikia CDM, naona ni mwiba sana kwao ndiyo maana wanakosa usingizi humu JF.
 
View attachment 72146
Kuondoka kwenye hii Guest House imekuwa tabu na ruzuku tunapata wananchi tunawachangisha Kameruun na CDU wanatupa hela zote Tunaweka Tumboni kwa mgongo wa Movement 4 Chaga....sasa kuajiri Makatibu si ndoto za Abunuasi.....hehehe BABU MZEE PADRI SLAA anazeeka vibaya sasa
Hapo sasa. Katika hili lazima CHACHA WANGWE mwingine afe.
 
- Yaaani huyu Mzee huwa ananishangaza sana, yaani Chama hakina wanachama kabisa Zanzibar wala Songea, lakini yeye anakimbilia kufungua matawi Ughaibuni na sasa eti atawaajiri Makatibu kila Mkoa, yaani hawa Chadema na huyu Mzeee hawana jipya lao, kila siku kuiga toka CCM, sasa nimeamini kwamba kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha!!

Le Mutuz!!

kuna mtu yeyote miongoni mwetu anayejua matokeo ya kura za urais za mwaka 2010 kwa kila jimbo?????
 
View attachment 72146
Kuondoka kwenye hii Guest House imekuwa tabu na ruzuku tunapata wananchi tunawachangisha Kameruun na CDU wanatupa hela zote Tunaweka Tumboni kwa mgongo wa Movement 4 Chaga....sasa kuajiri Makatibu si ndoto za Abunuasi.....hehehe BABU MZEE PADRI SLAA anazeeka vibaya sasa

chama sio jengo na kama ni jengo basi yaambie maghorofa yote kwenye miji yasimamishe wagombea. utajua akili za kikada tu, we unadhani majengo ya CCM yamejengwa na CCM?
 
Zidi kujivua nguo.Ni aibu kubwa kujiita mtoto wa waziri mkuu mstaafu.Nina uhakika anayeipa heshima familia ya Mzee Malecela ni Dr Mwele.Huna hata aibu kujidhalilisha kwa kutoa mapovu hapa JF utadhani mvuta bangi.

Unaweza kumsingizia mtu kuwa anajivua nguo wakati kumbe wewe ndo unajivua nguo, kwani W. Malecela kusema kilicho moyoni mwake ndo kujivua nguo? Hivi uantegemea kweli CDM waajiri makatibu katika kila Wilaya wakati chama kinafanya biashara? Tangu waanze kupokea ruzuku, michango toka kwa walalahoi kwa kisingizio cha harambee na zile za wahisani wameshindwa hata kuwa na kiwanja cha kujenga ofisi hiyo mishahara ya kuwalipa hao makatibu zitatoka wapi?
 
Ningekuwa msemaji wa CCM lazima ningependekeza W. Malecela apewe nafasi ya ambayo atawashughulikia CDM, naona ni mwiba sana kwao ndiyo maana wanakosa usingizi humu JF.

Wapo wengi sana wanaomzidi kuongea Pumba labda ukamuombee ngazi ya ukoo.
 
Back
Top Bottom