Tutaajiri Makatibu CHADEMA nchi nzima-Dr Slaa

- Kimepigwa chini kile kizee chanya degreee ya kanisani, tena kila wakati kinapogombea kinapigwa chini! ha! ha! ha! tuliza boli jipangeni mnapigwa chini kila kona majuzi udiwani mmekula za uso 22 kwa 5, aibuuu tupu!!

- Muda muafaka huu wa kuchana na siasa cause hamuiwezi tena, kimebakia kivuli chenu tu, si mligomea Rais halafu mkaneda kunywa juice zake, sitani nataka! nyie kazazneni ama sivyo 2015 ndio mwisho wenu!!

KIDUMU CCM!1

Le Mutuz!!
Mkuu kwani Slaa amegombea na kushindwa mara ngapi? Nilidhani wewe ndio umevunja rekodi kwa kushindwa mara 3 ndani ya mwaka mmoja. Na by the way Slaa na Yule Mzee aliyeshindwa na Lusinde nani anastahili kuitwa Kizee? Yaani Slaa (63) ni Kizee na Malecela (80+) ni kijana? Kazi ipo
 
Brother utakua lini? Busara itakuijia lini? Utajing'amua lini? Hekima itakutembelea lini? Heshima itakufuata lini?
kwa umri wako hutakiwi kumshambilia Dr slaa personally, mshambulie kwa hoja, mambo yake kuhusu elimu ya dini yanamhusu mweyewe na familia yake, elimu aliyonayo mtu haidharauliwi kwa sababu mtu huwa anasoma kwa malengo yake. Tanzania tuna wanasiasa wenye elimu dunia nzuri ila wametufikisha hapa tulipo.

michango yako ielekeze kujibu hoja za mtu na si kumshambilia personally, by the way siasa haitufanyi kuchukiana bali inatusaidia kuijenga nchi yetu.

adabu ni kitu cha muhimu sana hasa unapokuwa na umri kama ulio nao, kuna vijana wengi sana humu wanajifunza so ukiwa unatoa mawazo kama haya mwisho wa siku utashangaa hata mitaani watu wanakuita majina ya ajabu.

Tujengane kwa hoja ndugu William.
 
- Ha! ha! ha! ha! ha! ndio huwa maneno ya wapambe wa Chama kinachoongozwa na Mke wa Rais wao, yaani huzuni tupu ndio makosa ya mtumzima mwenye miaka 70 kuoa mke wenye miaka 30! ni noma sana!!

Le Mutuz!!
Hiyo ndio kazi uliyotumwa na Jumuia ya Wazazi? Jumuai zingine bwana...zinachagua Wazazi wasiokuwa wazazi....Hapa unamlaumu Mzee Tingatinga kwa kumuoa Anne Kilango? Kwa kuwa umeanzisha malumbano ya kutukana watu tutakula sahani moja na wewe mpaka urudi kule kule facebook kwenye blog yako ya picha za warembo wakiwa naked...Mtu mzima ovyo!!!!
 
Brother utakua lini? Busara itakuijia lini? Utajing'amua lini? Hekima itakutembelea lini? Heshima itakufuata lini?
kwa umri wako hutakiwi kumshambilia Dr slaa personally, mshambulie kwa hoja, mambo yake kuhusu elimu ya dini yanamhusu mweyewe na familia yake, elimu aliyonayo mtu haidharauliwi kwa sababu mtu huwa anasoma kwa malengo yake. Tanzania tuna wanasiasa wenye elimu dunia nzuri ila wametufikisha hapa tulipo.
michango yako ielekeze kujibu hoja za mtu na si kumshambilia personally, by the way siasa haitufanyi kuchukiana bali inatusaidia kuijenga nchi yetu.
adabu ni kitu cha muhimu sana hasa unapokuwa na umri kama ulio nao, kuna vijana wengi sana humu wanajifunza so ukiwa unatoa mawazo kama haya mwisho wa siku utashangaa hata mitaani watu wanakuita majina ya ajabu.
tujengane kwa hoja ndugu William.
Hili jamaa hovyo kabisa.... lizee lizima lina mambo ya kitoto... lakini ndio aina ya watu wenye akili kuliko wote CCM nzima.. Kwani huyu sio mwenye Mbunge Lusinde ambaye aliwashinda watu wote wa Mtera? Sio ajabu kwa wapiga kura wa Lusinde kuwa kama huyu dingi...maskini Tanzania
 
Mikakati yote ya DR. Slaa ni bomba na nimeipenda sana tu. Mungu ampe maisha marefu aipeleke CDM katika hatua nyingine nzuri zaidi akiwa Katibu Mkuu
 
- Kimepigwa chini kile kizee chanya degreee ya kanisani, tena kila wakati kinapogombea kinapigwa chini! ha! ha! ha! tuliza boli jipangeni mnapigwa chini kila kona majuzi udiwani mmekula za uso 22 kwa 5, aibuuu tupu!!

- Muda muafaka huu wa kuchana na siasa cause hamuiwezi tena, kimebakia kivuli chenu tu, si mligomea Rais halafu mkaneda kunywa juice zake, sitani nataka! nyie kazazneni ama sivyo 2015 ndio mwisho wenu!!

KIDUMU CCM!1

Le Mutuz!!

Wewe lazima ni mvuta bangi na unakunywa gongo.
 
- Ha! ha! ha! ha! ha! ndio huwa maneno ya wapambe wa Chama kinachoongozwa na Mke wa Rais wao, yaani huzuni tupu ndio makosa ya mtumzima mwenye miaka 70 kuoa mke wenye miaka 30! ni noma sana!!

Le Mutuz!!

Hivi wewe mvuta bangi mtu akisema watoto wa viongozi wastaafu wasimame utathubutu kukaa meza moja na January Makamba na Hussein Mwinyi? Masikini Mzee Malecela wenzake walizaa binadamu yeye akazaa kituko.
 
Mkuu kwani Slaa amegombea na kushindwa mara ngapi? Nilidhani wewe ndio umevunja rekodi kwa kushindwa mara 3 ndani ya mwaka mmoja. Na by the way Slaa na Yule Mzee aliyeshindwa na Lusinde nani anastahili kuitwa Kizee? Yaani Slaa (63) ni Kizee na Malecela (80+) ni kijana? Kazi ipo

- ha! ha! ha! ha! ha! ha! unasema kuiba mke wa mwananchi ndio sifa ya kuwa Rais, haya bana! ha! ha! ha

Le Mutuz!!
 
Brother utakua lini? Busara itakuijia lini? Utajing'amua lini? Hekima itakutembelea lini? Heshima itakufuata lini?
kwa umri wako hutakiwi kumshambilia Dr slaa personally, mshambulie kwa hoja, mambo yake kuhusu elimu ya dini yanamhusu mweyewe na familia yake, elimu aliyonayo mtu haidharauliwi kwa sababu mtu huwa anasoma kwa malengo yake. Tanzania tuna wanasiasa wenye elimu dunia nzuri ila wametufikisha hapa tulipo.

michango yako ielekeze kujibu hoja za mtu na si kumshambilia personally, by the way siasa haitufanyi kuchukiana bali inatusaidia kuijenga nchi yetu.

adabu ni kitu cha muhimu sana hasa unapokuwa na umri kama ulio nao, kuna vijana wengi sana humu wanajifunza so ukiwa unatoa mawazo kama haya mwisho wa siku utashangaa hata mitaani watu wanakuita majina ya ajabu.

Tujengane kwa hoja ndugu William.

- Huwezi kuwa PhD ya kanisani and then ukaiba mke wa mwananchi unayetaka kumuongoza ni simply impossible only in Chadema! ha! ha1 ha!

Le Mutuz!!
 
Hili jamaa hovyo kabisa.... lizee lizima lina mambo ya kitoto... lakini ndio aina ya watu wenye akili kuliko wote CCM nzima.. Kwani huyu sio mwenye Mbunge Lusinde ambaye aliwashinda watu wote wa Mtera? Sio ajabu kwa wapiga kura wa Lusinde kuwa kama huyu dingi...maskini Tanzania

- ha! ha! ha! ha! unaona hii ndio lugha mnayoijua na kuipenda sana so tutaendelea kuwapa za uso tu, Chama cha kuiba wake za watu na kuwadanganya kuwa ni wakombozi wao!!, Mbunge wa Mtera alitokea Chadema so mnalo naye!! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Hivi wewe mvuta bangi mtu akisema watoto wa viongozi wastaafu wasimame utathubutu kukaa meza moja na January Makamba na Hussein Mwinyi? Masikini Mzee Malecela wenzake walizaa binadamu yeye akazaa kituko.

- ha1 ha! ha! ha! ha! powa naomba kwenda kulala sasa kesho na mambo mapya kama vipi! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Toka mwaka 1992 Chadema kumbe hawana Makatibu, halafu ndio useme mtashinda uchaguzi..Dr Slaa kachanganyikiwa na umri unaenda kwa kasi mambo yanakuwa mengi mpaka anawafukuza madiwani ovyo. Leo tena kawaambia madiwani wa Arusha wajieleze kwa nini walichukuwa posho wakati wa uzinduzi wa Jiji la Arusha, wakati yeye kwa mwezi anajilipa milioni 12. Siasa bana.
 
Dr.Slaa baada ya kutafuna mshahara wa ukatibu mkuu kwa miaka kadhaa sasa bila hata kuwapa posho makatibu wa mikoa na wilaya leo unasema nini??
Bila shaka nafsi inakusuta namna gani ulivyokuwa fisadi,unawauzia ukombozi watanzania????Eti bila kulipwa Million 7 kwa mwezi siwezi kuwa katibu mkuu..
Furaha yangu ni kuona unafika kwenye koma kisiasa,kwa sababu ni manafiki..huko kuajili unakokusema ni maneno ya kuchora tu hayo mzeee.
Mpango wako ni kutuliza boli kwa Josephine na kuramba ruzuku za CHADEMA na sioinginevyoo..Unajitahidi kujinasua kufa kisiasa kwa kutoa ahadi hewa za kuajiri makatibu wakuuu nchi nzima.
HELA HIZO ZITATOKA WAPI???DENI UNALODAIWA NA CHAMA UTALIAPA NINI?
M4C MTAENDESHEA NINI?
ACCOUNT YA UCHAGUZI HAINA HATA SENT,ZOTE UMEKULA...
MBOWE HAJAKATA CHAKE CHA KILA MWEZI KWNEYE RUZUKU YA CHAMA,
FUNGU LA KUMPA MZEE EDWIN MTEI HALIPEJALEKWA,
WEWE HUJAJILIPA MSHAHARA...
HIZO HELA ZA MAKATIBU WAKUU UTAZITOA WAPI KAMA SIO SIASA ZA KUJINUSURU NDNAI YA CHAMA KUTOKANA NA KUCHUKIWA NA WABUNGE FLANIFLANI KWA MAJUNGU UNAYOTENGENEZA MAJIMBONI MWAO???
MZEEE KUNAHAJA YA KUTULIA URUDISHE AFYA YAKO KWA SABABUU INAELEKEA KUBAYA,SIASA ZINAELEKEA KUKUSHINDA.
​
 
You sound like you have a personal beef with top Chadema leadership. Postings zako zote ni kuwaponda tu viongozi wa juu wa Chadema. Kama wasemavyo Wamarekani: "get a life."
 
- Kimepigwa chini kile kizee chanya degreee ya kanisani, tena kila wakati kinapogombea kinapigwa chini! ha! ha! ha! tuliza boli jipangeni mnapigwa chini kila kona majuzi udiwani mmekula za uso 22 kwa 5, aibuuu tupu!!

- Muda muafaka huu wa kuchana na siasa cause hamuiwezi tena, kimebakia kivuli chenu tu, si mligomea Rais halafu mkaneda kunywa juice zake, sitani nataka! nyie kazazneni ama sivyo 2015 ndio mwisho wenu!!

KIDUMU CCM!1

Le Mutuz!!

kama ni choo ni cha sokoni.!
 
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amesema chama chake kimeamua kupanga mikakati madhubuti ya kujiimarisha ndani ya chama. Kiongozi huyo mashuhuri nchini aliyasema hayo alipokuwa akifungua mkutano wa baraza la Ushauri Mkoa wa Kagera lililofanyika Karagwe na kuhudhuriwa na viongozi wa majimbo yote ya mkoa wa Kagera. Dr Slaa alisema moja ya mikakati ya chama chake ni kuajiri Makatibu wa Chama kote nchini.Pia Kiongozi huyo makini nchini alisema mikakati mingine ni kugawa Pikipiki kila Kata kwa ajili ya shughuli za chama na pia kujenga ofisi za kudumu kote nchini na zenye hadhi. Kiongozi huyo anayetenda kwa mujibu wa maneno yake amewahakikishia viongozi hao wa chama kwamba atahakikisha mambo yote hayo yatasimamiwa kwa ukamilifu. MIKAKATi mizuri mno lakini nimesikia kauli za Zitto kupitia magazeti ya leo na kwa kiasi nahisi kuna jambo au dharuba itaikumba CHADEMA very soon.Pia mbegu ya UDINI mabayo inapandwa kwa kasi na CCM kwa kupitia wapambe wao (viongozi wakuu wanajificha katika hili) nayo nahisi itaivuruga CHADEMA na kusababisha mtafaruki. Kuna element ya kuprovoke mjadala amabayo naona Zitto anaistua mara kwa mara lakini bado haijapata kasi ndani ya CCM na siku kiongozi wa juu atakapojibu hoja za Zitto hapo ndipo tutakapouna moto.Nashauri CHADEMA walitibue sasa kuliko kusubiri miezi michache kabla ya UCHAGUZI.
 
You sound like you have a personal beef with top Chadema leadership. Postings zako zote ni kuwaponda tu viongozi wa juu wa Chadema. Kama wasemavyo Wamarekani: "get a life."

-Hakuna haja ya kupambana na huyo dagaa.Tule sahani moja na wanaomtuma.Yuko so frustrated na hana political future.
 
Dr.Slaa baada ya kutafuna mshahara wa ukatibu mkuu kwa miaka kadhaa sasa bila hata kuwapa posho makatibu wa mikoa na wilaya leo unasema nini??
Bila shaka nafsi inakusuta namna gani ulivyokuwa fisadi,unawauzia ukombozi watanzania????Eti bila kulipwa Million 7 kwa mwezi siwezi kuwa katibu mkuu..
Furaha yangu ni kuona unafika kwenye koma kisiasa,kwa sababu ni manafiki..huko kuajili unakokusema ni maneno ya kuchora tu hayo mzeee.
Mpango wako ni kutuliza boli kwa Josephine na kuramba ruzuku za CHADEMA na sioinginevyoo..Unajitahidi kujinasua kufa kisiasa kwa kutoa ahadi hewa za kuajiri makatibu wakuuu nchi nzima.
HELA HIZO ZITATOKA WAPI???DENI UNALODAIWA NA CHAMA UTALIAPA NINI?
M4C MTAENDESHEA NINI?
ACCOUNT YA UCHAGUZI HAINA HATA SENT,ZOTE UMEKULA...
MBOWE HAJAKATA CHAKE CHA KILA MWEZI KWNEYE RUZUKU YA CHAMA,
FUNGU LA KUMPA MZEE EDWIN MTEI HALIPEJALEKWA,
WEWE HUJAJILIPA MSHAHARA...
HIZO HELA ZA MAKATIBU WAKUU UTAZITOA WAPI KAMA SIO SIASA ZA KUJINUSURU NDNAI YA CHAMA KUTOKANA NA KUCHUKIWA NA WABUNGE FLANIFLANI KWA MAJUNGU UNAYOTENGENEZA MAJIMBONI MWAO???
MZEEE KUNAHAJA YA KUTULIA URUDISHE AFYA YAKO KWA SABABUU INAELEKEA KUBAYA,SIASA ZINAELEKEA KUKUSHINDA.
​

Stop exposing your ignorance

Mchange soma shule acha ujuha unaoendekeza.Tatizo ni kwamba mnamuogopa sana Dr.Slaa kwa kuwa mnajua ni mwiba kwenu .a wana-CCM wanaowatumia wewe na...........Unajua namaanisha nini.

You should grow up.

Tatizo ni kwamba hutambui kuna issue ya priorities katika planning.Najua akili yako fupi haikuruhusu kifikiria hilo.You need to be schooled.Usiwe unakubali kutumika blindly kuwa mjanja

Hizi comments za udaku kwa lengo la kumchafua Dr.Slaa na viongozi wa chama ni upuuzi na kama mna uwezo si mjibizane nae kwa hoja ndani ya vikao?

Fedha mnazopewa na akina Mwigulu Nchemba kupitia kwa akina James Mwakibingi hazikusaidii sana

Unapiga kampeni ya udini na kujifanya muumini wa Dini fulani huku tukiongozana kula kitimoto.Acha kuingiza watu mkenge mkuu.Unafiki wako umefikia hadi hatua ya ku-compromise imani yako kwa sababu ya njaa tu.

-WanaJF,Huyu jamaa hana access ya info za CHADEMA zaidi ya kutunga tu ili kujifanya anaijua CHADEMA.Amelipwa na akina Mwigulu na baadhi ya wanasiasa wasioitakia mema CHADEMA ili kudhoofisha uongozi wa chama huku wakiwa waumini wa vyama vingine.Embarrassement!
 
Back
Top Bottom