Tusker Project Fame 6

Tusker Project Fame 6

jameni tuache utani waganda wanaimba mweeh
manka hawa washomile hela ni ya kwao subiri sasa kuna dada mwingine mweusi tii kama mkaa na wale vijana wanaoimba wawili utashangaa mwenyewe
 
Haya tumsubiri Hisia wa bongo sijui kama atatuondolea aibu
 
manka hawa washomile hela ni ya kwao subiri sasa kuna dada mwingine mweusi tii kama mkaa na wale vijana wanaoimba wawili utashangaa mwenyewe

ndio huyo sitenda au?
 
Back
Top Bottom