Tusker Project Fame 6

Tusker Project Fame 6

watanzania tuna kazi
sidhani kama tutaingia iyo top 5
vocally hatuko vizuri kabisa
wenye vipaji vyenu muwe mnaenda basi kwenye audition sio kuimbia bafuni tu na vyumbani lo
nashindwa kusapoti vya nyumbani maana waganda wanaimba hawa duuu
mwallu mi naona kama Hisia anajitahidi sijui atafika mbali?
 
Last edited by a moderator:
Yule kaka alitolewa siku ya ufunguzi
 
anajitahidi kwa uwezo wake..ila wale waganda bana,mie wananitisha sana unajua,wako vizuri mno,wakifatiwa na wakenya
mwallu mi naona kama Hisia anajitahidi sijui atafika mbali?
 
Last edited by a moderator:
naombeni ratiba kamili ya hii kitu na channel inayorusha live na inayorusha marudio na muda pia. msaada tafadhar.
 
naombeni ratiba kamili ya hii kitu na channel inayorusha live na inayorusha marudio na muda pia. msaada tafadhar.
kwa Tanzania inaoneshwa EATV jumamos 2:00 usiku (live),jumapili 1:30 usiku (live)
siku za wiki ni saa 2:30 (recorded)
Kenya inaoneshwa citizen TV muda ni huohuo.
 
Naona kipindi kinaanza tunawaombea wabongo waliobakia wakomaekomae kimagumashi hivyo hivyo wafiki hata mabele ya safari kidogo kabla hawajawa evicted
 
Naona kipindi kinaanza tunawaombea wabongo waliobakia wakomaekomae kimagumashi hivyo hivyo wafiki hata mabele ya safari kidogo kabla hawajawa evicted

uwii aibu yetu yaani tangu imeanza hatujawahi chukua
 
DEMBA huyu mshiriki mdada anayeimba saiv kavaa suti ni wa wapi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom