Tusker Project Fame 6

Tusker Project Fame 6

hahaaaaa wamepona aisee,,,,Ian anakwamia good is for mediocres....

wakina Mwakijambe nao...hapana
duuuh umenichekesha.BTW ukitaka kuwafahamu vizuri washiriki hawa uwe unaangalia zile weekdays shows kila siku saa 2 na nusu usiku. haya tuhamie kwa kina mwakijambile
 
Hivi hii BSS huonyehwa live au ni used? maana ninaona kama recorded vile
 
Ian huwa anasema ukweli..hatumii lugha ya kuremba kama madam wa bss
 
okoi ebss in used a.k.a recorded.. charminglady byee. DEMBA ona sasa hy ebss
 
duuuh umenichekesha.BTW ukitaka kuwafahamu vizuri washiriki hawa uwe unaangalia zile weekdays shows kila siku saa 2 na nusu usiku. haya tuhamie kwa kina mwakijambile

Zinaonyeshwa Citizen au Eatv....nikiwa na time niangaliage
 
Back
Top Bottom