Hivi dude ulifikiria nini kuandika kuwa Watanzania safari hii tumepeleka vipaji halisi? haukufuatilia usaili wa nchi nyingine? Nadhani kama uliangalia BSS ukapata Heart attack sijui hawa chaguo lako la kwanza kwa TPF 6 wanavyokuwa wakwanza kumwagwa chini sijui utapatwa na nini na tatizo lolote utakalo lipata hutakuwa na remed yoyote kisheria au ki equit. Itakuwa ni DAMNUM ABSQUE INJURIA AU VOLENT NON FIT IJURIA . POLE SANA KWA TANA NA JUBAT THEY ARE OUT OTHER TWO WILL FOLLOW NEXT TIMEUPDATE:Show ndo imeanza tena rasmi usiku wa leo. Tunategemea washiriki kadhaa wataingia kwenye academy na wengine kubeba virago.
Join me watching and observing .
Inaoneshwa Citizen Tv na Channel 5
Wasalaam.
Rejeeni kichwa cha habari hapo juu.
Binafsi nimeangalia leo hicho kipindi. Ni burudani kwa kweli. Kuna vipaji vya hali ya juu kutoka nchi zote shiriki save for Southern Sudan ambao wamebakia na mshiriki mmoja tu so far katika top 25.
And for the first time nadhani Tanzania tumepeleka vipaji hasa.
Na safari hii former BSS contestants including Nkwabi wote wamepgwa chini.
Nimeona ishu ya upendeleo wa wazi kwa wakenya.Walikua 7-tofauti na nchi nyingine zote,na wamepita 6 kati ya hao including a duo. Tanzania walikua watano na wameenda wanne kwenye top 25. Ikumbukwe kuwa bado hawajaingia kwenye academy mpaka next week na kuna mchujo mwingine prior to that.
Baada ya hapo nikarudi kuangalia EBSS. Ninaandika ujumbe huu nikiwa hospitali kitandani nikitibiwa kutokana na heart attack nlopata baada ya kutazama show yao. I am considering law suit for mental and physical injury as a result.
Hivi mnadhani hawa BSS wana nia hasa ya kutafuta vipaji?Hivi unaweza kulinganisha na washiriki hata wasiosail through TPF6?
Hivi dude ulifikiria nini kuandika kuwa Watanzania safari hii tumepeleka vipaji halisi? haukufuatilia usaili wa nchi nyingine? Nadhani kama uliangalia BSS ukapata Heart attack sijui hawa chaguo lako la kwanza kwa TPF 6 wanavyokuwa wakwanza kumwagwa chini sijui utapatwa na nini na tatizo lolote utakalo lipata hutakuwa na remed yoyote kisheria au ki equit. Itakuwa ni DAMNUM ABSQUE INJURIA AU VOLENT NON FIT IJURIA . POLE SANA KWA TANA NA JUBAT THEY ARE OUT OTHER TWO WILL FOLLOW NEXT TIME
uwiiiii wa Tz wawili out.......mi sijui tunawezaga nini jamani!!!!!

Kweli msomi nadhani uli read upside down authority . Bora wangempeleka huyu mwakijambile wa BSS
Kweli msomi nadhani uli read upside down authority . Bora wangempeleka huyu mwakijambile wa BSS
uwiiiii wa Tz wawili out.......mi sijui tunawezaga nini jamani!!!!!
haya haya wadau TPF is on air now.
cc Preta Chocs Heaven on earth charmingladylady The Dude na wengineo
.....mimi penda sana hii kituhaya haya wadau TPF is on air now.
cc Preta Chocs Heaven on earth charmingladylady The Dude na wengineo
Kudadadeki nimechelewa.....sijaiona hata..leo niliona mchana ITV watz haawajui kuimba tu
wanaimba wao..ila mi nikawa naona aiu huku