Amen, nko tayari nshapata supper, nasubiri muda tu. Oh....................... naona Citizen tv wameanza. Take the stage!!!!
No doubt Moderators wataiunganisha na hii!!!!tupo,ila kuna thread ingne mpya kwa ajili ya updates imeanzishwa
Hisia ametisha!!!!!
Ian ni sadist manake kwake vocabulary ya kusifia haiko moyoni mwake!Huyu jaji Ian nae akikuchukia utapata tabu kweli ......huyu dogo mi sioni kama kazingua huyu fesi sijui.....tpf6 ni classic
Ian ni sadist manake kwake vocabulary ya kusifia haiko moyoni mwake!