ha haaa tatizo wa tz hatupigi kura. hilo nalo ni tatizo.
ha haaa tatizo wa tz hatupigi kura. hilo nalo ni tatizo.
huyo alikuwa angel kutoka Tanzania. watanzania wamebaki wawili humo ndani yeye na kaka mmoja hisia
pamoja sana
huyu janet wa kenya naona anaimba wimbo wa UB 40 unamzidi umri, anapwaya
halafu ni kama watz hatuna mwamko na shindano hili. kama wenzetu Kenya na Uganda sijui tatizo ni kiinglishYap..ilo nalo neno...mi mmojawapo asee
halafu ni kama watz hatuna mwamko na shindano hili. kama wenzetu Kenya na Uganda sijui tatizo ni kiinglish
Shost kuna njia ya kupiga kura kwa net??
Sorry its DEMBA forgv m nilishapia ua id
Janet wimbo umemzid haswaa.. Huyu kaka wa Burund huwa anajitahid au sio DEMA