Tusker Project Fame 6

Tusker Project Fame 6

hisia kajitahid..sorry funs wenzangu wa tusker i had a problem wit network huku niliko nimeshindwa kwenda na nyie sambamba
 
SHEILA.jpg


Wadau mie huyu.mdada hapa nilikuwa nampenda sana, alikuwa anatangaza vizuri kweli! Ila huyu wa mwaka huu mmmmh simfagilii hata kiduchu!!
 
probation hiyoo.. underground covers kwangu nooo
 
naona wabongo wamepona kwenda probation hongera sana kwa angel na hisia ngoja nirudi bongo kumwangalia mwakijambile
 
its true huyo dada alikuwa anatangaza poa
 
naona wabongo wamepona kwenda probation hongera sana kwa angel na hisia ngoja nirudi bongo kumwangalia mwakijambile

hahaaaaa wamepona aisee,,,,Ian anakwamia good is for mediocres....

wakina Mwakijambe nao...hapana
 
haya sasa tunaingia katika vichekesho vya bss
 
Back
Top Bottom