TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 863
- Thread starter
- #161
Mleta Mada Una Laana Inayokutesa Si Bure,mtu Na Akili Zake Timamu Hawezi Kuwatetea Policcm Kwa Matendo Huwezi Kumpangia Mtu Muda Wa Kufanya Starehe Wakati Yeye Si Mfungwa,laana Inayowatesa Policcm Ndo Inakutesa Na Wewe,umeandika Ujinga Mtupu,mavi Tupu,wala Hukuishughulisha Akili Yako Kufikiri,watu Wanakunywa Pombe Kwa Starehe Zao Mnaenda Kuwakamata Bila Sababu Halafu Ulivyo Mjinga Kama Baba Yako Alivyokuwaga Anaitetea Serikali Ya Kishenz Bungeni Eti Na Wewe Unaendeleza Ujinga Huohuo,kwanza Huna Aibu Wala Fikra,serikali Inawasaidia Nini Wananchi Wewe Kenge? Zaidi Ya Kuwapora Jasho Lao? Wanajitibu,wanajisomesha Na Hata Raslimali Za Nchi Nazo Hawazifaidi Zaidi Ya Kuliwa Na Kina Kikwete Na Genge Lao,wamefanya Kazi Kwa Jasho Lao Wakaona Angalau Wakajiburudishe,eti Wanakamatwa Kwa Kunywa Pombe Wakati Wa Kazi,kwani Ni Watumishi Wa Umma Hao Kwamba Eti Walitoroka Kazini? Huna Akili Kabisa Wewe Nyambaf,na Hili Ndo Anguko La ccm.
Na hapo ndipo ashki zenu zinapodhihirika ktk masuala ya msingi kama haya. Eti PoliCCM.
Good! Tuipatie ridhaa UKAWA ili waweke na vyuo vya waharifu na mambo yaende sawa sawia.
Fikra mgando kabisa. Natamani mngekuwa Raia at least wa Zimbabwe tu hapo mkaona namna Dola linavyofanya Raia (kama mnavyotaka iwe).
Mna mambo ya ovyo sana. Any ways, you are calling for a such a systems. Tuombe uzima. Mtaikimbuka hali hii siku za mbele (pale ambapo hakuna jiwe litakalokaa juu ya jiwe lingine).
Just go on with this.