Tusiwaonee sana Polisi(Nijikite Ilula-Iringa)

Tusiwaonee sana Polisi(Nijikite Ilula-Iringa)

ngoja nitoke hapa nje niangalie hizi bar za tabata km zimefunguliwa na km kuna watu wanakunywa ndipo nirudi kusoma huyu mtetezi wa polisi
 
Unapiga mayowe tuu, kwani nani kampiga na kumuua huyo muuza gongo? mtaje na uthibitishe.
unabikumbusha shoga mmoja anaitwa dibibi... Ukimuona kama mtu kumbe anafirwa hovyohovyo....
 
Kwanini upige? Je anayesimamia sheria anahaki ya kupiga kabla ya kuthibitisha kosa mahakamani? Policcm wapo too local na hawataki kubadilika kwasababu master wao kawafanya wawe hivyo.
 
We ni ms.,ge. Kwani mama huyo si analipa kodi. Wengine tnasoma kwa hizo hela wanazodunduliza wazazi wet ktkna na kuuza pombe. Una akili finyu sana.
 
....kwa nini huyo mama asianguke siku nyingine yoyote isipokuwa siku ya ambush iliyofanywa na polisi?

Kinachotakiwa ni Elimu ,motisha na soko kwa shughuli zao za uzalishaji. Kwa mfano kwa mwaka jana wakulima wamezalisha mahindi ambayo yamekosa soko na wanaonunuliwa na serikali eidha wanakopwa au wanatoa mlungula ndipo mazao yao yanapokelewa na tena kwa mkopo. Kwa utaratibu huu wa Serikali ya CCM hakuna mtu atakaehamasika kufanya kazi. Iringa ndiyo inaongoza hapa Tanzania kwa ulimaji wa bustani, na juzi tu walikuwa wanalalamika kuhusu soko. Imefika wakati sheria za Mkoloni zifanyiwe marekebisho au kifutwa kwani hazina maana yoyote kipindi hiki cha tekinohama.
 
Wakuu; heshima mbele!

Napenda kuwasihi sana Watanzania wenzangu kudumisha umoja,mshikamano na uzalendo. Hii nikutokana na mambo kadhaa yanayotokea nchini kwetu(hususan current Police v/s Citizens' Laments).

Nikijikita ktk suala la juzi pale Ilula-Iringa,nimeshuhudia baadhi ya Watanzania kadhaa ktk mitandao mbalimbali ya kijamii na hata mitaani kote wakiendelea kulilalamikia Jeshi la Polisi kuwa, ni watesaji wasiozingatia misingi ya Utu.

Mimi naomba nitofautiane na malalamishi hayo(nikirejea tukio hilo hapo juu).

Ni ukweli uliowazi kwamba, Polisi walikuwa wanakwenda kutekeleza Ilani,Sheria na Utaratibu wa Nchi na Utawala-Mahalia (By-Laws),ambao ni mpango wakusimamia mienendo na taratibu za Wananchi kuhakikisha wanalisukuma vyema gurudumu la maendeleo.

Haipingiki kwamba,kuna mambo mengi sana yasiyokuwa ya msingi yanawafanya watu/wananchi kulegea na kushindwa kujihusisha kwa bidii na umakini kufanya shughuli za maendeleo. UNYWAJI HOLELA WA POMBE au ULEVI WA AINA YOYOTE, ni miongoni mwa mambo hayo.

Ni jukumu la Mamlaka kutunga sheria na utaratibu kufanya "perpendicular & mutual monitoring" kwa Raia wake ili kutimiza malengo ya maendeleo. Hicho ndicho kitendo kilichokuwa kinafanyika pale Ilula.

Si busara wala hekma kumwacha mtu/watu kuenenda katika njia mbovu badala ya kujikita katika shughuli za maendeleo kwa wakati muafaka uliopangwa.

Yule mama aliyeanguka na kufariki (R.I.P), ni wazi kwamba,ilitokea bahati mbaya (kama inavyoweza kumtokea yeyote yule), na si kwamba alipigwa au kuteswa na Polisi.

Now; malalamiko yanayoendelea kutolewa na baadhi ya Watanzania juu ya tukio hilo(yakielekezwa kwa Polisi na Serikali), si sahihi hata kidogo. Mnyonge mnyongeni,lakini Hakhi yake mpeni.

Nchi kama CHINA,S.KOREA na RUSSIA,wako Serious mno kufuatilia nidhamu za Wananchi ktk uzalishaji mali na kujituma kwa Wananchi. Naamini that's why wako juu kiuchumi. **Sasa shida inakuja wapi kwa Serikali na Polisi wa Tanzania kusimamia Nidhamu ya kazi ya Raia wake?**

MY TAKE;
Watanzania tusihemke na kukengeuka bila sababu. Tuwe wawazi na Makini mbele za Mungu. Tusihamaki bila sababu za msingi. Tujitengenezee mazingira na Saikolojia yakutii sheria halali bila shuruti,kwa manufaa yetu binafsi,kizazi chetu na kwa Taifa letu Tanzania.

Nawasilisha.

upo sawa kabisa,lakini kumbuka kuwa mahusiano ya jeshi la polisi na wananchi yameharibiwa na wanasiasa pale wanapolitumia kwa maslahi yao ya kisiasa.katika matumizi hayo ya jeshi kuna wananchi wamepoteza ndugu zao wengine wametiwa vilema vya kudumu.kwa hiyo mwananchi ameanza kulichukulia jeshi la polisi kama vibaraka wa kundi fulani na hivyo kuleta chuki kubwa sana baina ya polisi na wananchi maana chuki ya wananchi kwa polisi haijaanzia pa huyo mama.
Pia kuhusu kuzuia watu kunywa pombe masaa ya kazi ni swala linalohitaji hekima kulishughulikia badala ya kutmia nguvu.maana kila palipo na kilabu chapombe panaserikali ya mtaa.kwanini polisi wasiuagize uongozi huo kusimamia utaratibu huo?maana kuna mtu mwingine ni mlinzi anatoka kazini asubuhi mchana kutwa anashinda amelala je kama nimnywaji atakunywa saa ngapi?tufike mahala tukubali kwamba mfumo wa jeshi letu la polisi umepitwa na wakati jeshi letu linatumia mfumo wa kikoloni yaani kuwa na tanzania police force katika nchi huru kama ya kwetu tunahitaji kuwa na tanzania polisi service jeshi rafiki la kuhudumia wananchi. Kwa hiyo sio kwamba polisi wana chukiwa tu kunasababu lukuki zinazofanya wananchi wawachukie polisi nikisema niandike zote hapa tutakesha kaka ndio maana wananchi wameamua kujilinda wenyewe maana polisi wameonyesha wazi kuwa bias katika utndaji wao wa kazi
 
Sijawahi kumwona mwana ccm mwenye huruma wala utu,ni kama tu mawakala wa shetani,damu ikimwagika wao wanashangilia.
 
Polisi wapigwe tu, tumewachoka na tabia zao za kikoloni, wananchi wameamka
 
Naafiki hoja yako kias fulani. Kuna mauaji kadhaa yamefanywa na Polisi kwa bahati mbaya (on routine) au kwa makusudi.

Nalaani yote yanayotokea kwa makusudi na uzembe wa Polisi. Lakini,mengine ni sababu ya utaratibu wetu mbovu na kiburi chetu wananchi.

acha kujitoa ufaham ww nakujifanya ww ndio unajua kuliko wengine.
tukikwambia ututajie taratibu ambazo polisi wanatakiwa kutumia wanapo tuliza fujo au kutawanya mikusanyiko ya watu utabakia unajilamba lamba tu hapa.

hatua ya kupiga mabom ya machozi na kupiga raia kwa virungu huwa inakuwa hatua ya mbali sana..

lakini polisi wetu wakifika kwenye mkusanyiko wowote ule ni mambom ya machozi na kipigo cha marungu kitu ambacho si sahihi hata kidogo harafu ww unakuja kutuletea ukenge wako hapa kaa ukitambua hata kama wananchi wanakuwa wamekiuka taratibu njia watumiayo si sahihi kabisa na inabidi kukemea kwa nguvu zote.

kuna ndugu zetu.wamekufa na.kutiwa ukilema.mpaka.leo.hii.na hawa wehu wako unaowatetea.

harafu usifikili kila unachokiwaza ww kikawa sahihi hata kama nikizuri.
hivi ww hushangai kwanini.sasa hivi raia.suala.la kupambana na polisi ni.la kawaida.
mm nakuhakikishia tuelekeako ni kubaya zaidi sana kwahawa wanausalama wetu.
 
Mleta Mada Una Laana Inayokutesa Si Bure,mtu Na Akili Zake Timamu Hawezi Kuwatetea Policcm Kwa Matendo Huwezi Kumpangia Mtu Muda Wa Kufanya Starehe Wakati Yeye Si Mfungwa,laana Inayowatesa Policcm Ndo Inakutesa Na Wewe,umeandika Ujinga Mtupu,mavi Tupu,wala Hukuishughulisha Akili Yako Kufikiri,watu Wanakunywa Pombe Kwa Starehe Zao Mnaenda Kuwakamata Bila Sababu Halafu Ulivyo Mjinga Kama Baba Yako Alivyokuwaga Anaitetea Serikali Ya Kishenz Bungeni Eti Na Wewe Unaendeleza Ujinga Huohuo,kwanza Huna Aibu Wala Fikra,serikali Inawasaidia Nini Wananchi Wewe Kenge? Zaidi Ya Kuwapora Jasho Lao? Wanajitibu,wanajisomesha Na Hata Raslimali Za Nchi Nazo Hawazifaidi Zaidi Ya Kuliwa Na Kina Kikwete Na Genge Lao,wamefanya Kazi Kwa Jasho Lao Wakaona Angalau Wakajiburudishe,eti Wanakamatwa Kwa Kunywa Pombe Wakati Wa Kazi,kwani Ni Watumishi Wa Umma Hao Kwamba Eti Walitoroka Kazini? Huna Akili Kabisa Wewe Nyambaf,na Hili Ndo Anguko La ccm.
 
subir siku mama yako apigwe mtama na polis ndio utajua
 
Hata huyo mama alikuwa kazini akizalisha mali. Kwa lugha nyingine, polisi Tanzania walikuwa wakizuia uzalishaji mali!

Si hivyo tu, bali wameingilia kazi isiyokuwa yao kwa kumfurahisha Mizengo Pinda, Kisa; yuko ziarani Iringa! Wenyeviti wa Serikali za mitaa wapo kwanini wasiwatumie hao kwanza waongee na wananchi wao kuhusu saa za unywaji pombe iwapo wangekaidi Polisi wangesubiri ripoti ya wenyeviti wa serikali za mitaa/vijiji ndipo wakawadhibiti waliokaidi badala yake wakaamua kutumia mabavu!? B yake Wananchi wa Ilula/Iringa na maeneo mengi tu mijini na vijijini hameanza jana kunywa pombe za kienyeji vurugu zilipoanza!? Polisi wanaonesha wanafanyakazi za kimahaba na CCM, waelewe kabisa kuwa wao wako wachache na sisi wananchi/raia tuko wengi, silaha za karibu ambazo tunaweza kuzifikia ni MAWE na VIBERITI kama wanaona magazini walizonazo zinaweza kuendelea kuwasaidia, basi waendelee kufuga kiburi halafu wataona kati yetu sisi na wao nani atashinda kuelekea October mwaka huu!!!
 
Kama tunaongelea maslahi mapana ya nchi basi tuondoe double standards!!!
Unajua poker machines na slots zinafunguliwa na kufungwa saa ngapi??!?

Siungi mkono watu kunywa pombe (wakati wa kazi???!!!) mlinzi mchana ndio muda wake kugida labda au mtu night shift!!!
Lakini hii kukataza inaanzia wapi na kuishia wapi ukipita mijini saa nne tu watu wanapiga pombe na wengine wanacheza kamari hawa ni vipi???!!

Hizi zimamoto hazitusaidii na zinaongeza uhasama. . . tuwe na taratibu nzuri na za kudumu
 
Hili jitu linajiita TuntemekeSanga ni jinga kabisa halijui hata kitu linachotetea. Hebu koma kumdhalilisha marehemu Tuntemeke Sanga aliyekuwa mbunge wa Makete. Pumbafu zako
 
huna akili timamu nyau we, kuna siku uliambiwa utekelezaji wa sheria lazima ushirikishe wanasiasa ili polisi wawajibike ktk majukumu yao? hao hao wenyeviti wa vijiji ndo wapika gongo wakuu, fikiri vizuri.

Aahh mkunduuu
 
Kama tunaongelea maslahi mapana ya nchi basi tuondoe double standards!!!
Unajua poker machines na slots zinafunguliwa na kufungwa saa ngapi??!?
Wapuuzi hawa... Sidhani kama watakuelewa
 
Haukuwa wakati muafaka wa kifanya hivyo. By the way,dhana inafahamika kwamba kulikuwa na wauzaji & wanywaji wa pombe wakati ambao ulikuwa sio mujjarab.

Hayo maneno yako uyatolee hapahapa jamiiforums, vinginevyo ukiyatolea maeneo ya huku kwetu unachinjwa na hakuna mtu anayekimbia Polisi labda lije jwtz nakuhakikishia! Pombe wamenunua kwa pesa yao, kimuhemuhe cha kwenda kuwalazimisha wafanye mnayoyataka nyinyi kinatoka wapi!? Tuacheni na shida zetu!
 
Wakuu; heshima mbele!

Napenda kuwasihi sana Watanzania wenzangu kudumisha umoja,mshikamano na uzalendo. Hii nikutokana na mambo kadhaa yanayotokea nchini kwetu(hususan current Police v/s Citizens' Laments).

Nikijikita ktk suala la juzi pale Ilula-Iringa,nimeshuhudia baadhi ya Watanzania kadhaa ktk mitandao mbalimbali ya kijamii na hata mitaani kote wakiendelea kulilalamikia Jeshi la Polisi kuwa, ni watesaji wasiozingatia misingi ya Utu.

Mimi naomba nitofautiane na malalamishi hayo(nikirejea tukio hilo hapo juu).

Ni ukweli uliowazi kwamba, Polisi walikuwa wanakwenda kutekeleza Ilani,Sheria na Utaratibu wa Nchi na Utawala-Mahalia (By-Laws),ambao ni mpango wakusimamia mienendo na taratibu za Wananchi kuhakikisha wanalisukuma vyema gurudumu la maendeleo.

Haipingiki kwamba,kuna mambo mengi sana yasiyokuwa ya msingi yanawafanya watu/wananchi kulegea na kushindwa kujihusisha kwa bidii na umakini kufanya shughuli za maendeleo. UNYWAJI HOLELA WA POMBE au ULEVI WA AINA YOYOTE, ni miongoni mwa mambo hayo.

Ni jukumu la Mamlaka kutunga sheria na utaratibu kufanya "perpendicular & mutual monitoring" kwa Raia wake ili kutimiza malengo ya maendeleo. Hicho ndicho kitendo kilichokuwa kinafanyika pale Ilula.

Si busara wala hekma kumwacha mtu/watu kuenenda katika njia mbovu badala ya kujikita katika shughuli za maendeleo kwa wakati muafaka uliopangwa.

Yule mama aliyeanguka na kufariki (R.I.P), ni wazi kwamba,ilitokea bahati mbaya (kama inavyoweza kumtokea yeyote yule), na si kwamba alipigwa au kuteswa na Polisi.

Now; malalamiko yanayoendelea kutolewa na baadhi ya Watanzania juu ya tukio hilo(yakielekezwa kwa Polisi na Serikali), si sahihi hata kidogo. Mnyonge mnyongeni,lakini Hakhi yake mpeni.

Nchi kama CHINA,S.KOREA na RUSSIA,wako Serious mno kufuatilia nidhamu za Wananchi ktk uzalishaji mali na kujituma kwa Wananchi. Naamini that's why wako juu kiuchumi. **Sasa shida inakuja wapi kwa Serikali na Polisi wa Tanzania kusimamia Nidhamu ya kazi ya Raia wake?**

MY TAKE;
Watanzania tusihemke na kukengeuka bila sababu. Tuwe wawazi na Makini mbele za Mungu. Tusihamaki bila sababu za msingi. Tujitengenezee mazingira na Saikolojia yakutii sheria halali bila shuruti,kwa manufaa yetu binafsi,kizazi chetu na kwa Taifa letu Tanzania.

Nawasilisha.

huo ndio ukwel wengi wetu tunaongozwa na mihemko ya siasa zaid kuliko uhalisia....what next hata wakulalamika? Always sioni uzito wa makosa ya police tz tumezoea kulalamika tu pasipo kuchunguza kwa makini mambo
 
Back
Top Bottom