Tusiwaonee sana Polisi(Nijikite Ilula-Iringa)

Haukuwa wakati muafaka wa kifanya hivyo. By the way,dhana inafahamika kwamba kulikuwa na wauzaji & wanywaji wa pombe wakati ambao ulikuwa sio mujjarab.
Wale wanaosambaza kupitia canter, Isuzu, na vibajaji.... Wanasambaza muda gani? Kwann nao wasisambaze jion?... Jibu haya kwanza...

Lakini pale ikulu walinz hubeba viloba mifukoni na kunywa je hawa nao vipi?
 
huo ndio ukwel wengi wetu tunaongozwa na mihemko ya siasa zaid kuliko uhalisia....what next hata wakulalamika? Always sioni uzito wa makosa ya police tz tumezoea kulalamika tu pasipo kuchunguza kwa makini mambo
uone uchungu wakati unaishi kota za police?
 
huo ndio ukwel wengi wetu tunaongozwa na mihemko ya siasa zaid kuliko uhalisia....what next hata wakulalamika? Always sioni uzito wa makosa ya police tz tumezoea kulalamika tu pasipo kuchunguza kwa makini mambo
Ninapoona neno uchunguzi huwa nafurahi sana maana shida zote zikisikia kuna uchunguzi huwa zinatamani kukimbia!!!
Hapa kwenye hoja yako uchunguzi unamaanisha nini, kuanzia wapi mpaka wapi, baina ya kina nani, na juu ya nini haswa??!!!!
 
Wakuu; heshima mbele!

Napenda kuwasihi sana Watanzania wenzangu kudumisha umoja,mshikamano na uzalendo. Hii nikutokana na mambo kadhaa yanayotokea nchini kwetu(hususan current Police v/s Citizens' Laments).

Nikijikita ktk suala la juzi pale Ilula-Iringa,nimeshuhudia baadhi ya Watanzania kadhaa ktk mitandao mbalimbali ya kijamii na hata mitaani kote wakiendelea kulilalamikia Jeshi la Polisi kuwa, ni watesaji wasiozingatia misingi ya Utu.

Mimi naomba nitofautiane na malalamishi hayo(nikirejea tukio hilo hapo juu).

Ni ukweli uliowazi kwamba, Polisi walikuwa wanakwenda kutekeleza Ilani,Sheria na Utaratibu wa Nchi na Utawala-Mahalia (By-Laws),ambao ni mpango wakusimamia mienendo na taratibu za Wananchi kuhakikisha wanalisukuma vyema gurudumu la maendeleo.

Haipingiki kwamba,kuna mambo mengi sana yasiyokuwa ya msingi yanawafanya watu/wananchi kulegea na kushindwa kujihusisha kwa bidii na umakini kufanya shughuli za maendeleo. UNYWAJI HOLELA WA POMBE au ULEVI WA AINA YOYOTE, ni miongoni mwa mambo hayo.

Ni jukumu la Mamlaka kutunga sheria na utaratibu kufanya "perpendicular & mutual monitoring" kwa Raia wake ili kutimiza malengo ya maendeleo. Hicho ndicho kitendo kilichokuwa kinafanyika pale Ilula.

Si busara wala hekma kumwacha mtu/watu kuenenda katika njia mbovu badala ya kujikita katika shughuli za maendeleo kwa wakati muafaka uliopangwa.

Yule mama aliyeanguka na kufariki (R.I.P), ni wazi kwamba,ilitokea bahati mbaya (kama inavyoweza kumtokea yeyote yule), na si kwamba alipigwa au kuteswa na Polisi.

Now; malalamiko yanayoendelea kutolewa na baadhi ya Watanzania juu ya tukio hilo(yakielekezwa kwa Polisi na Serikali), si sahihi hata kidogo. Mnyonge mnyongeni,lakini Hakhi yake mpeni.

Nchi kama CHINA,S.KOREA na RUSSIA,wako Serious mno kufuatilia nidhamu za Wananchi ktk uzalishaji mali na kujituma kwa Wananchi. Naamini that's why wako juu kiuchumi. **Sasa shida inakuja wapi kwa Serikali na Polisi wa Tanzania kusimamia Nidhamu ya kazi ya Raia wake?**

MY TAKE;
Watanzania tusihemke na kukengeuka bila sababu. Tuwe wawazi na Makini mbele za Mungu. Tusihamaki bila sababu za msingi. Tujitengenezee mazingira na Saikolojia yakutii sheria halali bila shuruti,kwa manufaa yetu binafsi,kizazi chetu na kwa Taifa letu Tanzania.

Nawasilisha.

Polisi wanapo UA raia wake kama wadudu waharibifu sikuonagi humu kukemea, umeona wananchi wameshachoka na wameamua kugeuka na kulipa kisasi ndo unajitokeza, we upoje? Wakumbushe polisi wajibu wao kwanza, UKIONA MOSHI UNAFUKA UJUE NDANI KUNA MOTO, watu tumesha wakinai polisi, hats Leo Hii nikimkuta polisi anamtesa au anaua RAIA atanitambua, nitamfanya kama wao wanavyo wafanyaga hao RAIA wasio na hatia, nna hasira nao mpaka natetemeka, Wafundishe polisi kwanza kujua mipaka yao na wajibu wao kwanza,
 
Kazi ya kukamata na kufunga vilabu vya pombe ni ya uongozi wa serikali ya mtaa / kijiji wakiongozwa na mwenyekiti wao waliomchagua, hoja ya mleta uzi ina mashiko lakini polisi wetu wana utamaduni wa kudharau wananchi kwa kuingia moja kwa moja kwa wananchi bila kupitia kwenye uongozi wa eneo husika (kama ni operation ya ujambazi hapo sawa wanaweza wakaja by surprise lakini bado viongozi wataambiwa pale pale wakati polisi wamefika)

Tusiangalie madhara tu yaliyotokea wakati mwingine tuangalie na utaratibu unaotumika na polisi kwani ukiangalia madhara yaliyotokea utaona wananchi wamekosea
 
Watanzania tusihemke na kukengeuka bila sababu. Tuwe wawazi na Makini mbele za Mungu. Tusihamaki bila sababu za msingi. Tujitengenezee mazingira na Saikolojia yakutii sheria halali bila shuruti,kwa manufaa yetu binafsi,kizazi chetu na kwa Taifa letu Tanzania.

Nawasilisha.
Tatizo linakuja kuwa kwanini hao police wapo so biased,kwanini wanafanya distortion of law linapokuja suala la viongozi kukiuka sheria,taratibu na wajibu wao wa kazi mfano wizi tena huo unaoutetea kuwa wananchi wafanye juhudi katika kazi ili nchi ipate maendeleo but wengine wanakwapua hayo maendeleo yanayoletwa na wanyonge na waliokata tamaa wa nchi hii...nikuulize police haiwajui wafanyabiashara na wanasiasa wanaofanya biashara ya madawa ya kulevya? na kama haiwajui haitufai kabisa kuwa na jeshi la namna hiyo na ndo maana wanafanya kama wanavyofanya kwani hawajui watende nini jema na waache lipi baya na kama wanawafaham je wamefanya kitu gani kwao? Suala la kuonekama wao kuwajibika kwanini lionekane kwa maskini na watu walio against na serikali...jeshi la police ni la hovyo sana na inawezekana tatizo sio huku chini kwa askari wadogo ila kwa hao viongozi wao...LIVUNJWE
 
Umenisikitisha sana mtoa mada Tuntamenke sanga. Kuna mda angalia ID inayofanana na wewe.. Umetokesea sana kumtumia our hero.. katika thread za kipumbavu kama hizi
 
Huyu jamaa anasema kuna watu wameuawa bahati mbaya na polisi. Tanzania hii ambapo wananchi hawajirudishii hata kwa vibao polisi anaueje bahati mbaya?
Huko iringa, hilltop,sai villa, na hoteli kubwa watu wapo wanakunywa toka saa 4? Je hii sheria ni kwa watu masikini tu?
 
Hebu attach by laws za Ilula ili kuthibitisha unachosema.weka hiko kipengele cha by laws za ilula kilichotumiwa na polisi.
 
Wakuu; heshima mbele!

Napenda kuwasihi sana Watanzania wenzangu kudumisha umoja,mshikamano na uzalendo. Hii nikutokana na mambo kadhaa yanayotokea nchini kwetu(hususan current Police v/s Citizens' Laments).

Nikijikita ktk suala la juzi pale Ilula-Iringa,nimeshuhudia baadhi ya Watanzania kadhaa ktk mitandao mbalimbali ya kijamii na hata mitaani kote wakiendelea kulilalamikia Jeshi la Polisi kuwa, ni watesaji wasiozingatia misingi ya Utu.

Mimi naomba nitofautiane na malalamishi hayo(nikirejea tukio hilo hapo juu).

Ni ukweli uliowazi kwamba, Polisi walikuwa wanakwenda kutekeleza Ilani,Sheria na Utaratibu wa Nchi na Utawala-Mahalia (By-Laws),ambao ni mpango wakusimamia mienendo na taratibu za Wananchi kuhakikisha wanalisukuma vyema gurudumu la maendeleo.

Haipingiki kwamba,kuna mambo mengi sana yasiyokuwa ya msingi yanawafanya watu/wananchi kulegea na kushindwa kujihusisha kwa bidii na umakini kufanya shughuli za maendeleo. UNYWAJI HOLELA WA POMBE au ULEVI WA AINA YOYOTE, ni miongoni mwa mambo hayo.

Ni jukumu la Mamlaka kutunga sheria na utaratibu kufanya "perpendicular & mutual monitoring" kwa Raia wake ili kutimiza malengo ya maendeleo. Hicho ndicho kitendo kilichokuwa kinafanyika pale Ilula.

Si busara wala hekma kumwacha mtu/watu kuenenda katika njia mbovu badala ya kujikita katika shughuli za maendeleo kwa wakati muafaka uliopangwa.

Yule mama aliyeanguka na kufariki (R.I.P), ni wazi kwamba,ilitokea bahati mbaya (kama inavyoweza kumtokea yeyote yule), na si kwamba alipigwa au kuteswa na Polisi.

Now; malalamiko yanayoendelea kutolewa na baadhi ya Watanzania juu ya tukio hilo(yakielekezwa kwa Polisi na Serikali), si sahihi hata kidogo. Mnyonge mnyongeni,lakini Hakhi yake mpeni.

Nchi kama CHINA,S.KOREA na RUSSIA,wako Serious mno kufuatilia nidhamu za Wananchi ktk uzalishaji mali na kujituma kwa Wananchi. Naamini that's why wako juu kiuchumi. **Sasa shida inakuja wapi kwa Serikali na Polisi wa Tanzania kusimamia Nidhamu ya kazi ya Raia wake?**

MY TAKE;
Watanzania tusihemke na kukengeuka bila sababu. Tuwe wawazi na Makini mbele za Mungu. Tusihamaki bila sababu za msingi. Tujitengenezee mazingira na Saikolojia yakutii sheria halali bila shuruti,kwa manufaa yetu binafsi,kizazi chetu na kwa Taifa letu Tanzania.

Nawasilisha.
polisi ni chombo ambacho kinatakiwa kuonyesha na kutumia no lethal way za crowd control, hali hii imebadilika katika mifano miwili, kwanza polisi siku hizi ni kama vita iko leo, wanakuja na vingora, mabunduki, bullet prooof vests, magari ya deraya na kadhalika, wakati mwingine hata kwenye kisa kinachohusu watoto, hali hii imeleta ukomaa kwenye fikara za watu, kwani kila mtu anajiuliza hawa wanapigana na nani? pili, polisi wanatumika sana kwenye mikutano ya siasa, na katika mafungu mawili, kama ni CUF au chadema basi tegemea yote ya hapo juu, kama ni chama tawala, basi ni support structures na ni kama partners, mimi nadhani polisi wanatakiwa kujiangalia sana kwa hayo, kama wao wanataka kuwa militarised, sawa structure za zibadilike, wahame uraiani , kama FFU au jeshi na vitu vingine, hali hii siyo nzuri
 
In principle polisi wameshapoteza uaminifu kwa jamii hivyo chochote wanachotaka kufanya, kiwe kizuri au kibaya kinakuwa na upinzani mkubwa
 
UKIWA NA TOTO JINGA KAMA TUNTEMEKE SANGA Hakika Inabidi Ukafanye Maombi Ya Nguvu Ili Upate Mtoto Mwingine Mwenye Akili Timamu. TUNTEMEKE SANGA NI GALASA HAKUNA MTU PALE.
 
Haukuwa wakati muafaka wa kifanya hivyo. By the way,dhana inafahamika kwamba kulikuwa na wauzaji & wanywaji wa pombe wakati ambao ulikuwa sio mujjarab.

jarib kuwa na roho ya kibinadamu kidogo hata kama umetumwa vitu vingine fikiria kwanza
 
Haukuwa wakati muafaka wa kifanya hivyo. By the way,dhana inafahamika kwamba kulikuwa na wauzaji & wanywaji wa pombe wakati ambao ulikuwa sio mujjarab.

jarib kuwa na roho ya kibinadamu kidogo hata kama umetumwa acha kujipandikiza roho ya kikatili
 
Wangeendelea kukimbizana na nahao raia ili tujue walikua wanatimiza majukum ya pinda sahv mwendo mdundo wanaacha kukimbixana na magaid Tanga wanakimbizana na wamama wanaotafuta ugali Wa watoto
 
huna akili timamu nyau we, kuna siku uliambiwa utekelezaji wa sheria lazima ushirikishe wanasiasa ili polisi wawajibike ktk majukumu yao? hao hao wenyeviti wa vijiji ndo wapika gongo wakuu, fikiri vizuri.

Wewe ndo ndondocha, hujui wanasiasa unao wazungumzia ndo huwa wanawatuma polisi kuua wananchi wanao andamana na mikutano ya vyama pinzani? Mkumbukeni Daudi Mwandosi polisi walivyo Muua, mbona hamkuja humu jamvini kulaani mauaji ya Mwandishi yule mahiri wa habari? Acheni unafiki, mbona yanapotokea mauaji hamzungumzii watu wanao poteza uhai? Sins Imani wala A mani na Polisi. Natamani ningekuwepo Nipate kesi
 
Taaaratiiiibu wananchi wanapata sugu...hawaogopi risasi wala mabomu...Jiulize what is next
 
Yule mama aliyeanguka na kufariki (R.I.P), ni wazi kwamba,ilitokea bahati mbaya (kama inavyoweza kumtokea yeyote yule), na si kwamba alipigwa au kuteswa na Polisi.

Sijui kama ungeyaandika haya kama huyu mama aliyefariki (R.I.P) angekuwa ni mama yako wa kukuzaa!!! Lakini sishangai sana kwa sababu hii ndo kasumba yetu watanzania kwamba linalompata mwingine, wewe linakuwa ni kama halikuhusu kabisa!! Ubinafsi ulioje huu!!
 
Back
Top Bottom