Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
mnalalamikia itv je mbona hamsemi na atn ile ya walokole?, jamani kuweni na akili basi itv ni mali ya mtu binafsi, ata akiamua kujiweka yeye mwenyewe anaweza!. Kwa nini mnamtaka awasaidie!!!!!!

Kukosa akili na kuwa na akili ya jini na mashetani!
Kuna tabu sana,

bado kidogo mtataka na atn wawabebe!!!
walokole ni wakiristo. Wanahaki ya kutoa propaganda kwa waislam.kwani itv nayo ni ya walokole?
 
mkuu mpesapesa
bado nasisitiza kuwa iliyotajwa zaidi katika hicho kipindi ni tbc lakini wewe umepindisha na kusema itv ili wale ambao hawakusikiliza waamini hivyo. Mimi nimekisikiliza kipindi hicho mwanzo hadi mwisho. Wakati mwingine tuwe wakweli.
kumbe zaidi. Tbc tunajua ya ccm + bakwata, jee itv jeee? Au ya chadema ?
 
Kuusimamia uislam ndio kuchochea umwagaji damu? Kwani wewe na viongozi wako wasio waislam kuitwa makafir kuna tatizo gani? Unapoleta habari hapa, hakikisha kwanza umeichambua kwa kina
Mkuu sana Rejao hivi mafundisho ya namna ya kuishi Uislam bila kuita waumini wa dini nyingine majina ya kukashifu Kama kafir na bila kushambulia waumini wa dini nyingine hayawezekani katika Uislam? Kwa jinsi tulivyochanganyika kwamba baba Mkristo mama Muislam Shangazi Muhindu mafundisho ya namna hiyo yanakosa mvuto na kuwatia hasira baadhi ya waumini wa kiislam.
 
Watoto wa mou naona mmechanganyikiwa, radio iman kweli elimu bila mipaka, hakuna kwaya. Ni elimu kusonga mbele.

jaribuni kuleta ushenzi na kelele za kumwaga damu labda damu za nguruwe ndo zitamwagika na lazima tuwanyweshe mtapike majini yote yanayo wasumbua
 
namshukuru Mungu sikuzaliwa kwenye familia ya dini hii.! Maana maisha yangu yote ningekua nahisi kuonewa tu na kulalamika hata kwa mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wangu.!
 
Kuusimamia uislam ndio kuchochea umwagaji damu? Kwani wewe na viongozi wako wasio waislam kuitwa makafir kuna tatizo gani? Unapoleta habari hapa, hakikisha kwanza umeichambua kwa kina

Kusimamia uislam ni nini? Si ndio kuchoma makanisa Hakika dini hii ya UAMSHO ni ya majini na mashetani.

kama kweli haya yanayosemwa na viongozi hawa wa dini ya kiislamu yana tija, mbona wanaoingia barabarani ni watoto wa maskini na wanaishia kupata kipigo wakati hao waliowachochea wamejifungia chumbani wakipata tende na urojo bila buguza????
The wise man is the one who knows his real enemy.
Ndugu zangu jipangeni upya mumtafute adui yenu, mnapoteza muda wenu kupambana na jambo ambalo si tatizo husika.
An empty head is devil's workshop.

Eti kafiri anatuonyesha njia ! Kafiri anamjua adui yetu, wakati adui ni yeye anaendekeza ushirikina! hakiaka umeghafilika sana wewe
sasa hivi kuna Africa TV, fungulia na hiyo. hamna mapambio wala kutoana mapepo humo wala porojo za ushuhuda !
 
jaman mbona mtoa mada kakomalia sana itv hatak hata kuelewa akieleweshwa kuwa ni tv binafsi
 
namshukuru Mungu sikuzaliwa kwenye familia ya dini hii.! Maana maisha yangu yote ningekua nahisi kuonewa tu na kulalamika hata kwa mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wangu.!

hasa yako. maana hata yesu anashukuru kuwa muislam
 
Mkuu sana Rejao hivi mafundisho ya namna ya kuishi Uislam bila kuita waumini wa dini nyingine majina ya kukashifu Kama kafir na bila kushambulia waumini wa dini nyingine hayawezekani katika Uislam? Kwa jinsi tulivyochanganyika kwamba baba Mkristo mama Muislam Shangazi Muhindu mafundisho ya namna hiyo yanakosa mvuto na kuwatia hasira baadhi ya waumini wa kiislam.

Tofauti lazima iwe wazi kati ya "wenye kushukuru na wenye kukufuru" ndo maana Bwana Yesu (Issah bin Mariam) alisema katika Injil kuwa "hawezi kuwapa chakula cha Bwana (Mungu) nguruwe(makafiri). Itabaki kuwa hivyo tuu, Kafiri atabaki kuwa kafiri au nguruwe !
 
eti rais wa nchi yetu mwislam anazidiwa nguvu na wakristo?acheni utani...kwani ameajiri makafiri/nguruwe wa kutosha kusema watamnajisi yeye na taifa?
 
ITV sikuzote huwa ni kuwadhalilisha waislam na uislam, mengi hutofanikiwa agenda yako dhidi ya uislam mwishowe m/mungu atakufisha dhalili hapa duniani.

sio kweli nyie hata mkipewa futari hamna shukrani.
 
Wamebakiza kujifunga mabomu na kwenda kwenye mikusanyiko kujilipua!
 
Hivi kuna tofauti yoyote kati ya Waislam wa Tanzania na ujinga?

Tofauti ya waislamu na wao ni hii ifuatayo.
John 1:18:
"No one has ever seen God,

Kwa maana Mungu haonekani ,ever...upande wa pili wamemuona nani anafuata ujinga. Umeshaambiwa ndani ya kitabu chako unachokiamini ya kuwa "No one has ever seen God, Picha zake zimejaa nani kamuona na kumchora God ? Hawa wanaomchora huoni kama wanajingisha watu.

1 John 4:12: "No one has ever seen God; but if we love one another, God lives in us and his love is made complete in us.

Na kaziangalie hizi uondoke kwenye Ujinga ili usitofautiane na Waislamu 1 Timothy 1:17: ,1 Timothy 6:16:

Msione watu wametulia mkaona patupu ,basi mjue mkifanya mchezo mtaumbuka.
 
nipe vigezo vya msingi vinavyomfanya mtu awe na sifa za kuitwa kafiri.

Yaani ukithubutu tu kusema: Mungu kazaa, Mungu ana mtoto, Mungu anawasaidizi(katika kuumba !) Hakika wewe ni Kafirrrrrr, laaana ya Mwenyezi Mungu ikuandame !
 
Mkuu sana Rejao hivi mafundisho ya namna ya kuishi Uislam bila kuita waumini wa dini nyingine majina ya kukashifu Kama kafir na bila kushambulia waumini wa dini nyingine hayawezekani katika Uislam? Kwa jinsi tulivyochanganyika kwamba baba Mkristo mama Muislam Shangazi Muhindu mafundisho ya namna hiyo yanakosa mvuto na kuwatia hasira baadhi ya waumini wa kiislam.
Usijihangaishe mkuu,dini ilishatekwa kitambo sana,ama kuna ambao wamefanikiwa ndani ya dini hiyo kuziteka fikra za wengi wao na hivyo basi wengi kuadapt terroristic ideas,kama vita dhidi ugaidi has to be won bila umwagaji damu kuendelea,basi ni waislam wenyewe wako responsible for that.Ukristo na usilam ushakuwa shida siku hizi,mmoja anaomwona mwingine nguruwe na mwingine anamwona mwenzake shetwain...Chuki mbaya sana hii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom