Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Mufti Simba kawapiga bao redio imani na akina Ponda wamebaki wakilalama!
 
hata makaburu waliamin watu weusi waliumbwa kuwatumikia ivo walivyokuwa wakipigania uhuru na wao walienda mahakamani kupinga uhuru kwsbb walijua maisha yao sasa yalikuwa mashakan_madhalimu wote hawawez kuipenda radio iman
 
nawakubali sana viongozi wa kikisto walivyo na hekima kwani nafikiri hekima inawapa uwezo mkubwa wa kupangua pumba na chuya ni zipi
ila kwetu siye duuuuuh
wakristo nao wangekuwa na mioyo ya chuki kama waislam damu ingeshamwagika kitambo sana.
 
Dah, ni bora nikae kimya, manake niki-comment jinsi ambavyo nafikiria, naweza kuitwa mdini na mfitini! Mungu/God/Allah saidia!
 
2nazd kuongeza umaskin, badala ya kujadl mambo ya mzng' 2najadil iz din za kuja na meli, walio zleta awana tym nazo sisi kila kukicha uislam,uamsho mara ukrstu..cha ajabu aya mambo yanafanywa na wasomi...je sisi 2co soma 2fanye nn? 2nalpeleka taifa paya..igen nfano wa china,southn koreia.
 
Dont worry JACK ZOKA bado yuko na kunasiku hao mashehe atawang'oa ndevu kwa plaiz anawalia time wataingia kwenye kumi na nane kwani wale wa mwembechai ushawaona tena mkuu!
 
Tuwe wakweli kwenye kuongelea maswala ya kiumini; na ni vyema pia yasiongelewe humu kwani, udini upo na hao wanaojidai hawataki maswala ya udini ndio walioyabeba. Hawa waislamu ni wavumilivu sana ama sivyo tusingekuwa na utulivu uliopo.

Wakristo wawe na dini yao na Waislam wawe na yao kwani hawa wana imani tofauti sana; hivyo waaki na imani zao na Serikali yetu ibakie haina dini kama tunavyotangaziwa.
 
Yaani ukithubutu tu kusema: Mungu kazaa, Mungu ana mtoto, Mungu anawasaidizi(katika kuumba !) Hakika wewe ni Kafirrrrrr, laaana ya Mwenyezi Mungu ikuandame !

ni kitabu kipi katika biblia kuna mstari unasema Mungu amezaa.Tatizo lako unawaza kibinadamu zaidi kuhusu uwezo wa "Mungu kuwa na mtoto"tena aliyezaliwa na Bikira Maria.Mungu haitaji njia za kibinadamu kupata mtoto.Je waweza kunambia wazazi na Eva na Adam ni akina nani.?
 
Tofauti lazima iwe wazi
kati ya "wenye kushukuru na wenye kukufuru" ndo maana Bwana Yesu (Issah
bin Mariam) alisema katika Injil kuwa "hawezi kuwapa chakula cha Bwana
(Mungu) nguruwe(makafiri). Itabaki kuwa hivyo tuu, Kafiri atabaki kuwa
kafiri au nguruwe !

Ali makombo umefunga kaka au nikuagizi kitimoto na jua unakulaga ila kwachabo na konyagi kwa chati
 
chuo kikuu cha kwanza cha kiislamu hapa bara kimetokana na zawadi ya serikali tena iliyoongozwa na mkiristo ambaye aliwapa majengo ya Tanesco mimi siamini kama hiyo redio inawakilisha mawazo ya waislamu kwani tumekuwa tukiishi na ndugu zetu waislamu vizuri bila matatizo yoyote ni kikundi cha watu wachache wanaotumiwa ili watugombanishe kwa misingi ya dini na baadae wanufaike na rasilimali zetu mamlaka husika zinapaswa kuchukua hatua
 
rejao, ritz, tume ya katiba, moh'd said na wengineo nyinyi angalau mna upeo mwombeni mufti aifute hiyo radio mufilisi

ukishakuwa kwenye ili kundi huwezi kuwa na upeo...akili zinakuwa zinaenda kushoto kama maandiko.
 
chuo kikuu cha kwanza cha kiislamu hapa bara kimetokana na zawadi ya serikali tena iliyoongozwa na mkiristo ambaye aliwapa majengo ya Tanesco mimi siamini kama hiyo redio inawakilisha mawazo ya waislamu kwani tumekuwa tukiishi na ndugu zetu waislamu vizuri bila matatizo yoyote ni kikundi cha watu wachache wanaotumiwa ili watugombanishe kwa misingi ya dini na baadae wanufaike na rasilimali zetu mamlaka husika zinapaswa kuchukua hatua

Very well said mkuu,hili tatizo limo zaidi humu,na sababu ni hiyo hiyo kuwa wanatumiwa/wametumwa.Same with hao wenye radio zenye kueneza chuki za kidini.
 
naipenda sana radio imaan ... Mwenyezi mungu awape umri mrefu mashekh wetu! Amin
 
Tumezoea kusikia machafuko ya wakulima na wafugaji. Haya ni machafuko rahisi kuyadhibiti wawili hao hupatanishwa. Tumezoea pia kusikia kwa watu wengine machafuko ya makundi ya kidini kama ilivyo huko Nigeria na sehemu zingine duniani.

Machafuko haya ya pili yaani machafuko ya kidini yaliachwa yachipue na kutoa matawi kama yanavyoonekana kuelekea kuwa hivyo hapa Tz, ni machafuko ya damu na mnyama tena kwa muda mrefu na kwa watu wengi wa aina mbalimbali.

Si muda mrefu tulisikia watu wanaandamana wanaona Baraza la Mithani linawafelisha Watoto wa kiislam. Ktk hili watu walipaswa kufungua kesi mahakamani na kutoa ushahidi usiokuwa na shaka. Bahati mbaya sana jambo hili pia likashughulikiwa kwa vitisho vya kidini!

Si muda mrefu tumetoka kushuhudia maandamano yaliyofunga barabara tena bila hata kibali cha polisi hadi makao makuu ya jeshi la polisi. Yakapokelewa. Asante polisi mlitumia uungwana Kamhanda akatuliza mzuka, risasi wala mabomu havikurindima wala kufumua matumbo yao.

Sasa tunasikia mtoto ati kakojolea Qorani. Hatujui mazingira yaliyokuwepo mlaka tendo hilo likafanyika. Inaweza kweli kwa utovu wa nidhamu mtoto huyo kafanya hivyo au pia by blassfemy wahusika wanatafuta mahali pa kupenyezea vitendo vya vurugu. Wamefanikwa, wamefanya vurugu kubwa. Vurugu ya jumla kwa kutafuta shari itoke ktk kuchoma makanisa na kituo cha polisi. Wanamtafuta huyo mtoto ati WAMUUE! Sijui kama huyo mtoto asingeweza kufunguliwa mashtaka. Au ushahidi haupo? Au kuua ndiyo maelekezo ya imani husika? Sijui.

Hapo ndipo ninaposema Rais wangu JK hili siyo la Hotuba ya Mwisho wa Mwezi linatakiwa kauli yako LEO ili Tz ipate kupona. Usipofanya hivyo, leo ama kesho ya Watz iko mashakani kwa sababu ya jazba za kidini.

Rais wangu Sema NENO kwa Taifa kama vile nami nilivyokusemesha NENO hili
 
Aseme wakti mtaji wake mwaka 2010 ulikuwa ndio huu?Hivi hujui CUF ilikufa kwa sababu gani?Ngoja CCM iweke mgombea muislam uone kama CUF haifufuki kutoka ICU!
 
Penguine Raisi wako na serikali yenu ni sikivu wanasikiliza na wataunda tume kutathmini chanzo na madhara ya vurugu hizo na riport itatoka baadae. huu ni upepo tuu utapita best.
 
Last edited by a moderator:
Naiona North Nigeria ikihamia Tanzania. Tusishangae kwa uhamasishaji unaoendelea, kesho tukiamka vurugu zikahamia kwingineko nchini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom