Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,866
Watoto wa mou naona mmechanganyikiwa, radio iman kweli elimu bila mipaka, hakuna kwaya. Ni elimu kusonga mbele.
Katika kipindi cha Mwangaza wa jamii ya leo imekitaja Kituo cha ITV ni kimoja ya Kituo ambacho kimekuwa more Propaganda dhidi ya jamii ya Kiislam.Kipindi hicho kinawashirikisha wasomi wa KIISLAM na wahadhiri wa Chuo kikuu cha kiislam Morogoro na Mzumbe University
Wamedai hata ukiona ITV wametoa habari za waislam basi ujue ni zile za kuwagawa waislam na sio nyengine.
Wamedai habari zote za Proganda Zinahusu jamii ya kiislam zinapelekwa ITV
Pia sheikh Faridi wa Jumuia za kiislam imewataka vyombo vya habari vya Tanzania bara kufika Zanzibar kwa wingi kuchukua DVD Zinazoonyesha jinsi ya Polisi kupata agizo la Waziri NCHIMBI aliekuwepo Zanzibar wanavyowadhalilisha Wananchi na watoto huko Zanzibar
Waislam wa Tanzania kaeni mkijua kuwa mnaidhalilisha dini yenu.
Waislam bwana na lawama kila siku lini mtapoa?Amkeni acheni lawama
nimesikiliza radio imani juu ya misimamo ya viongozi wa dini za kiislamu wanavyochochea umwagaji damu nchini...na wakitanabaisha kuwataka waislamu watambue kuwa viongozi wa bakwata..kuwa siyo viongozi wawaislamu nchini na siyo wawakilishi wawaislamu na wasiwakubali!!na wawe tayari kutetea uislamu wasiogope....nakuwaita viongozi ambao siyo waislamu kuwa ni makafri..kweli tumefikia hapo?
Nazaidi kwa kudai sensa inaratibiwa na viongozi wa kikiristo eti wanataka wajue misikiti ni mingapi nchini kwakusema ndo maana hawataki kuhesabiwa!
Hawakuishia hapo wameingiza swala la muungano kuwa wao wanahitaji muungano uvunjike zanzibar iwe na mamlaka kamili.
Kuusimamia uislam ndio kuchochea umwagaji damu? Kwani wewe na viongozi wako wasio waislam kuitwa makafir kuna tatizo gani? Unapoleta habari hapa, hakikisha kwanza umeichambua kwa kina
Alinukuu maneno ya maaskof waliposema waislam wakipewa mahakama ya kadhi tutamwaga damu.Sasa kati ya maaskof na waislam nani anahatarisha amani?
Maaskofu wa dhebu gani? Walisema wapi na lini? Thibitisha
Wewe nyamanza kabisa...nyinyi magaidi mbona mnakuwa kama siafu??Kuusimamia uislam ndio kuchochea umwagaji damu? Kwani wewe na viongozi wako wasio waislam kuitwa makafir kuna tatizo gani? Unapoleta habari hapa, hakikisha kwanza umeichambua kwa kina
Wamesema wale makadhi waliotajwa kule Dodoma siyo maana kadhi anatakiwa kufuata yale yaliyopo kwenye vitabu vyao walipo nichekesha eti lazima ajue lugha ya kiarabu inamaana waarabu kwao ni mungu wao wakiimani!!Dah, me pia nliwaskia mkuu. Tumuombe Mungu atusaidie atuepushe na mabalaa yao.
c r a p only!Watoto wa mou naona mmechanganyikiwa, radio iman kweli elimu bila mipaka, hakuna kwaya. Ni elimu kusonga mbele.
Hivi kwanini makafiri hawapendi kuitwa makafiri, ilhali matendo na mienendo yao ni ya kikafiri?Nyie ni magaidi kwajinsi mnavyotaka kuipeleka hii nchi msitulete mambo ya al-shabab hapa!!
Wakristo hawawezi kuchochea vurugu lakini cha kushangaza wakati yupo mkapa kwenye madaraka mlipinga mpaka mkamuita kafiri..sasa yupo mwislamu mwenzenu bado mnasema anakumbatia wakristo lakini kumbuka uislamu unaimiza upendo na amani je nyinyi?? lakini kwanini nyie wa hapa hamko hivyo??iweje muone mufti kukaa na mapadre na maaskofu kama ka hatarisha uislamu??kweli ninyi nyoyo zenu zina utashi wa amani??Tujiulize nyie mnataka kukaa nchi gani na wakiristo wakae nchi hipi??Sasa iweje mkatae kuhesabiwa kwasababu za kidini??eti mnataka irudi sheria ya mwaka 1959 wakati hata uhuru hatujapata kweli ndiyo maana mnaandika mkitokea wenzenu wanakokwenda!hamwezi kupatamaendeleo kamwe!!wakiristo wao wakichochea wapigiwe makofi. Wakiristo bana, utadhani hii tz yao peke yao
Hivi kwanini makafiri hawapendi kuitwa makafiri, ilhali matendo na mienendo yao ni ya kikafiri?
Aafu wajamaa kwa hakunaga ,wameingiza hii nyimbo na kucheza hadi ndani ya makanisa. sasa wale wanaopandwa na midadi mpaka wanaanguka kabia aisee.