Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,157
- 4,454
mdee ni muislam vile? Mbona hata hijab havai?
Kwa waislam siyo lazima avae hijab hata mtandio tuu unatosha, mbona mkuu wa wilaya ya Igunga alitambuliwa uislam wake kwa kuvaa mtandio tu?
mdee ni muislam vile? Mbona hata hijab havai?
UDINI UTAKUUWA WEWE!!!
Vipi ZITTO amefikaje Pale na kuwa Mbunge? Wakati ni Mwislam??
Na TULIWACHAGUAJE HAWA WAKATI NI WAISLAM?......
- Chama tawala Tanzania ni CCM na mwenyekiti wake ni Muislaam,
- Tanzania tunao Raisi wawili na wote ni Waislaam.
- Anayeunda serikali na kuiongoza ni Muislaam
- Anayewateua watendaji wakuu pamoja na Waziri Mkuu ni Muislaam.
- Tanzania tunao Makamu wa Raisi watatu na wote ni Waislaam.
- Jemadari Mkuu wa majeshi Tanzania ni Muislaam.
- Mkuu wa polisi Tanzania ni Muislaam.
- Mkuu wa Usalama wa Taifa ni Muislaam.
- Mkuu wa Mahakama Tanzania ni Muislaam.
- Ardhi yote ya Tanzania ni mali ya serikali inayoongozwa na Muislaam.
HATUANGALII DINI MKUU,TUNAANGALIA KICHWANI UNA NINI
Waislam sasa wameamka kuburuzwa basi,na washaijua kuwa ina malengo gani kwa waislam,kwanza bakwata imeundwa na nyerere unategemea nini hapo?tuna shukuru radio imani kwa kuwaamsha waislam,mungu irinde redio imani

mtu anayelalamikiwa sana kwa nchi kuporomoka kiuchumi ni muislam
Kwa waislam siyo lazima avae hijab hata mtandio tuu unatosha, mbona mkuu wa wilaya ya Igunga alitambuliwa uislam wake kwa kuvaa mtandio tu?
mbona mi nimemuana shehe mkuu ndio anamtangaza kadhi mkuu na sio pinda?
Licha ya pilau, alifikiri ndiye mzuri zaidi ya wote kwa hiyo angefaa yeye tu!!
watakufa masikini kwa kuendekeza udini hawa. Hawana umoja kazi kulalamika
watakufa masikini kwa kuendekeza udini hawa. Hawana umoja kazi kulalamika