Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
ITV sikuzote huwa ni kuwadhalilisha waislam na uislam, mengi hutofanikiwa agenda yako dhidi ya uislam mwishowe m/mungu atakufisha dhalili hapa duniani.
 
wewe nyamanza kabisa...nyinyi magaidi mbona mnakuwa kama siafu??

Wamesema wale makadhi waliotajwa kule dodoma siyo maana kadhi anatakiwa kufuata yale yaliyopo kwenye vitabu vyao walipo nichekesha eti lazima ajue lugha ya kiarabu inamaana waarabu kwao ni mungu wao wakiimani!!

C r a p only!



Wakristo hawawezi kuchochea vurugu lakini cha kushangaza wakati yupo mkapa kwenye madaraka mlipinga mpaka mkamuita kafiri..sasa yupo mwislamu mwenzenu bado mnasema anakumbatia wakristo lakini kumbuka uislamu unaimiza upendo na amani je nyinyi?? Lakini kwanini nyie wa hapa hamko hivyo??iweje muone mufti kukaa na mapadre na maaskofu kama ka hatarisha uislamu??kweli ninyi nyoyo zenu zina utashi wa amani??tujiulize nyie mnataka kukaa nchi gani na wakiristo wakae nchi hipi??sasa iweje mkatae kuhesabiwa kwasababu za kidini??eti mnataka irudi sheria ya mwaka 1959 wakati hata uhuru hatujapata kweli ndiyo maana mnaandika mkitokea wenzenu wanakokwenda!hamwezi kupatamaendeleo kamwe!!
wakiristo watz bara bana. Wakichochea vurugu wapigiwe makofi. Nimewaona kanisa la mwenge pale. Siku ya pili wakapigiwa makofi humu
 
Hivi mnataka migogoro yenu ya kugombea sadaka na misikiti kwa kuuwana ziripotiwe kwenye tv! Mngekuwa mnauwana kwa mapanga ingeripotiwa ila mnauwana kwa kutupiana yuleeee (jini) je itaripotiwaje?
 
nawakubali sana viongozi wa kikisto walivyo na hekima kwani nafikiri hekima inawapa uwezo mkubwa wa kupangua pumba na chuya ni zipi
ila kwetu siye duuuuuh
 
message sent to ITV
sielewi kitu kimoja, kwani waislam wanataka msaada wa itv au nini...wao pia si wana tv iman, wajibroadcast kwenye hiyo kujitofautisha na kile ambacho itv wanakifanya, wasilaumu tv ya mtu binafsi inachofanya kama vile wamechangia chochote kuiimarisha au kuiendesha tv hiyo...icho ni kitu cha mtu binafsi, mali ya mtu hiyo wala si ya serikali.
 
sielewi kitu kimoja, kwani waislam wanataka msaada wa itv au nini...wao pia si wana tv iman, wajibroadcast kwenye hiyo kujitofautisha na kile ambacho itv wanakifanya, wasilaumu tv ya mtu binafsi inachofanya kama vile wamechangia chochote kuiimarisha au kuiendesha tv hiyo...icho ni kitu cha mtu binafsi, mali ya mtu hiyo wala si ya serikali.
wanatakiwa waache propaganda tu. Sio chengine. Mbona kwa wakiristo hawaleti propaganda? Kwani hiyo ni tv ya dini ya kikiristo:
 
Uhuru walianza kudai waisilamu, mkristo mmoja akawazidi akili, akawa mwenyekiti, akabadili TAA kuwa TANU, akapata uhuru, akasajili serikali ikawa ya wakristo. Hivyo basi "KUBALINI YAISHE" na "LIWALO NA LIWE"
 
Mnalalamikia Itv je mbona hamsemi na ATN ILE YA WALOKOLE?, jamani kuweni na akili basi Itv ni mali ya mtu binafsi, ata akiamua kujiweka yeye mwenyewe anaweza!. Kwa nini mnamtaka awasaidie!!!!!!

Kukosa akili na kuwa na akili ya jini na mashetani!
Kuna tabu sana,

bado kidogo mtataka na Atn wawabebe!!!
 
Kuusimamia uislam ndio kuchochea umwagaji damu? Kwani wewe na viongozi wako wasio waislam kuitwa makafir kuna tatizo gani? Unapoleta habari hapa, hakikisha kwanza umeichambua kwa kina

mfungo mwema.
 
Msisikilize mambo msio kuwa na elimu nayo ,hao wamesema hawana imani na viongozi wa Bakwata ,kwani viongozi hao hawatokani na umoja wa waislamu ,BAKWATA ni taasisi ya serikali kama zilivyo taasisi zingine.
 
Msisikilize mambo msio kuwa na elimu nayo ,hao wamesema hawana imani na viongozi wa Bakwata ,kwani viongozi hao hawatokani na umoja wa waislamu ,BAKWATA ni taasisi ya serikali kama zilivyo taasisi zingine.

ramazani kareem!
 
nimesikiliza radio imani juu ya misimamo ya viongozi wa dini za kiislamu wanavyochochea umwagaji damu nchini...na wakitanabaisha kuwataka waislamu watambue kuwa viongozi wa bakwata..kuwa siyo viongozi wawaislamu nchini na siyo wawakilishi wawaislamu na wasiwakubali!!na wawe tayari kutetea uislamu wasiogope....nakuwaita viongozi ambao siyo waislamu kuwa ni makafri..kweli tumefikia hapo?
Nazaidi kwa kudai sensa inaratibiwa na viongozi wa kikiristo eti wanataka wajue misikiti ni mingapi nchini kwakusema ndo maana hawataki kuhesabiwa!
Hawakuishia hapo wameingiza swala la muungano kuwa wao wanahitaji muungano uvunjike zanzibar iwe na mamlaka kamili.
naona gap kati ya jamii ya kiislam na chadema inaongezeka kwa kasi ya ajabu.
 
Sio utukane waislamu wote wa Tanzania kwa mapungufu ya kundi fulani. Hicho ni kikundi tu na sio Waislamu wa Tanzania. Nchi imejaa agenda za kiitikadi kwa madhehebu ya kidini na vyama vya siasa.
 
wanatakiwa waache propaganda tu. Sio chengine. Mbona kwa wakiristo hawaleti propaganda? Kwani hiyo ni tv ya dini ya kikiristo:

Mkuu Mpesapesa
Bado nasisitiza kuwa iliyotajwa zaidi katika hicho kipindi ni TBC lakini wewe umepindisha na kusema ITV ili wale ambao hawakusikiliza waamini hivyo. Mimi nimekisikiliza kipindi hicho mwanzo hadi mwisho. Wakati mwingine tuwe wakweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom