Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
mwongo mkubwa wewe. mi mkristo na mwalimu wangu wa project alikua muislam safi. Hadi leo namkumbuka kwa alivyonipenda. Alipataje ajira???? watu hamtaki kujishughulisha kushinda mnafundishana ujinga:A S-baby:

hilo ndio raha za waislam . hawachukii wakirsito. ndio maana mwalimu anakupenda. lkn wewe moyoni mwako Chuki kwa malimu huyo imekukaa. kwa kuwa ni muislam. na ulitamani usomeshwe na diniyako
 
Jamani hivi waislamu mnataka nini? Mnasema Pinda ameingilia uteuzi wa kadhi. Halafu at the same time mnataka mahakama ya kadhi iendeshwe na serikali. Ni serikali gani itaendesha INSTITUTION halafu isiwe na mkono wake?

Twambieni waislamu mnachotaka?

Mimi ninafikiri kauli ya JK ilikuwa sahihi, mahakama ya kadhi iendeshwe na waislamu wenyewe. Na kama ni hivyo, the it was wrong kama Pinda aliingilia mchakato wa kumpata kadhi.

WAISLAMU mnaiponda CDM lakini ni wabunge tu wa CDM wenye GUTS za kumuhoji Pinda kwenye kipindi cha maswali na majibu alhamisi kama kweli aliingilia mchakato wa kumpata Kadhi. Tunaomba Mnyika and Co. mumuulize Pinda kuhusu tuhuma hizi.
 
kweli waambie waislam wenzako...

Hawa wenzangu wamechezea maisha, halafu wanakuja kulalama humu. Mi nawashukuru sana ndugu zangu Wakristo kwa kutufikisha hapa, Walijenga shule siku nyingi na ndio maana tuliokuwa na maono tulizitumia vizuri na kusoma.
 
Hahahahahaha! Kadhi mliitaka wenyewe sasa hivi mnaanza kumlaumu pinda yani nyie hamna shukrani kabisa mnapo elekea mtaanza kujilipua!
 
Sio Waislam wote mkuu. Ni wapuuzi wachache wanaodanganywa na Ponda kwa sababu ya ufinyu wa mawazo. Msinijumuishe huko.
 
kila mtu analalamika. waislam wanalalamika kwamba wakiristo wamewezeshwa lkn hawajali maslahi ya nchi. jee huu siutaifa?
 
Sio Waislam wote mkuu. Ni wapuuzi wachache wanaodanganywa na Ponda kwa sababu ya ufinyu wa mawazo. Msinijumuishe huko.

hata watz sio wote wenye fujo. ni wachache wanaodanganywa na CHADEMA KWA MASLAHI YAO
 
MFUMO KRISTO UKO WAPI SASA KAMA NYIE KWA NYIE HAMUELEWANI?? Au SHEIKH Mufti ni MKRISTO AMEMTEUA MWISLAM
 
Hahahahahaha! Kadhi mliitaka wenyewe sasa hivi mnaanza kumlaumu pinda yani nyie hamna shukrani kabisa mnapo elekea mtaanza kujilipua!

UMEONA EEH.......Utadhani Ameteuliwa na MKRISTO . Tatizo hawana UMOJA HAWA.
 
Live: viongozi wa kiislam wanadai Waziri Mkuu ndie aliechagua kadhi wao kwa shindikizo la CCM.

wanadai Inakuwaje Leo Mh Pinda awe anateua kadhi?

Ni sjeikh Kundecha mmoja ya wanajopo waliopewa Jukumu la Kuteua kadhi. Lkn ghafla Mh Pinda aliwataka baadhi ya Masheikh waondoshwe ktk Jopo hilo. Wanasema watapinga kwa nguvu zote
Issa Ponda na Masheikh wengine wanaanza kuzungumza.

104.4 LIVE

MY TAKE: HAPA WAFUASI WA CHADEMA WATAUNGANA NA CCM. LIKIJA SWALA MADAI YA WAISLAM WATZ. USER WA CHADEMA WANAANGLIA ZAIDI YA DINI ZAO KULIKO UTAIFA.

TUANZE MJADALA

Nikisoma maandishi ya mlanguzi huwa namkumbuka sana mtani wangu Malaria sugu (RIP)
 
Last edited by a moderator:
kwani wakiristo mnao umoja? Si mlimtaka dk slaa awe rais?

UDINI UTAKUUWA WEWE!!!

Vipi ZITTO amefikaje Pale na kuwa Mbunge? Wakati ni Mwislam??

Na TULIWACHAGUAJE HAWA WAKATI NI WAISLAM?......

  1. Chama tawala Tanzania ni CCM na mwenyekiti wake ni Muislaam,
  2. Tanzania tunao Raisi wawili na wote ni Waislaam.
  3. Anayeunda serikali na kuiongoza ni Muislaam
  4. Anayewateua watendaji wakuu pamoja na Waziri Mkuu ni Muislaam.
  5. Tanzania tunao Makamu wa Raisi watatu na wote ni Waislaam.
  6. Jemadari Mkuu wa majeshi Tanzania ni Muislaam.
  7. Mkuu wa polisi Tanzania ni Muislaam.
  8. Mkuu wa Usalama wa Taifa ni Muislaam.
  9. Mkuu wa Mahakama Tanzania ni Muislaam.
  10. Ardhi yote ya Tanzania ni mali ya serikali inayoongozwa na Muislaam.

HATUANGALII DINI MKUU,TUNAANGALIA KICHWANI UNA NINI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom