nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 444
hayo yako. Sisi wasomi wa kiislam tunakujueni fika. Ajira kama sio mkirsto hupati
Hata unavoandika hapa, huna sifa ya kuajiriwa.
hayo yako. Sisi wasomi wa kiislam tunakujueni fika. Ajira kama sio mkirsto hupati
hahah. Ndio maana rsuhwa imejaaaaahata unavoandika hapa, huna sifa ya kuajiriwa.
hahah. Ndio maana rsuhwa imejaaaaa
nyinyi mlosoma. Mmefanya nini? Nasikia mnauana singida. Damu yamwagika singida cc vs chadema
wananchi wepi? Kama wakiristo haya. Kama waislam sijaona faida ya chadema. Wao naona wamewekeza zaidi makanisani
hakuna rushwa ni uwezo wa mtu. Jipange nenda kaongeze ujuzi.
KIKWETE- Mahakama ya kadhi itasimamiwa na waislam wenyewe bila serikali na haitajihusisha na kesi za jinai
MUFTI- Kipengele cha Dini hakitawekwa maana hakina manufaa katika kuleta maendeleo ya Taifa,ni vikundi vidogo vidogo vinavyotaka kuchafua Uislam kwa faida zao Wenyewe
MATAMKO HAYO...... Ni bora MKAKAA KIMYA NA KUMSISITIZA MTOTO WAKO AENDE SHULE AJE AKUSAIDIE BAADAYE
MAANA
WAKRISTO NA WAISLAM WANAAJIRIWA KWA VYETI VYAO SI DINI YAO
kweli? Mbona tuhangaika kujua tatizola umaskini tz: Wewe kama mkiristo umeshindwa kufanyab research? Sasa umesoma nini?
Mimi ni Muislam Mwenzio lakini nina uwezo wa kufikiri.
vyeti vipi? kama + naamini
kama muislam hujitambui. unajipendekeza CHADEMA.
kama cheti kinaangaliwa tz? Tusingekuwa maskini.hautapewa uwanasheria kwa dini yako,hautapewa urubani,udokta,uwasibu,ualimu,kwa dini yako bali cheti chako
mwambie mtoto wako hivyo.
sasa chadema unawahusisha vipi hapa. Ndio maana nakuwa na mashaka na elimu yako.
huwajui wao wanatumikia kanisa?
wazee wa kulia lia wamekuja na mpya....
kweli? Mbona tuhangaika kujua tatizola umaskini tz: Wewe kama mkiristo umeshindwa kufanyab research? Sasa umesoma nini?
kwani kanisa linadai kadhi?
hayo yako. Sisi wasomi wa kiislam tunakujueni fika. Ajira kama sio mkirsto hupati