mlanguzi
Senior Member
- Jul 15, 2012
- 181
- 10
chadema na kadhi inahusiana nini? Mbona akili kama za mwigulu??
mbona umehamaki? Nimejua ukiomuona user anacomment mbovu kwa jamii ya kiislam. Nikagusa
chadema na kadhi inahusiana nini? Mbona akili kama za mwigulu??
hivi Zitto na Mdee nao ni wakristo ?
Cuf ni Chama cha.........2 kwenye 10000?
kweli. Lkn sio walarushwa wazuri kama mapadriwao walitaka wachague wenyewe kwasababu wanajuana ni nani mlaji wa pilau mzuri
2 kwenye 10000?
huyu hana hoja kabisa. Kadhi itamsaidia nini??
waulizeni chadema,kila muislam sasa anajua chadema ni chama cha wakiristo
sasa umeandika nini hapo?
mbona umehamaki? Nimejua ukiomuona user anacomment mbovu kwa jamii ya kiislam. Nikagusa
2 kwenye 10000?
kama hivyo. Mbona humvuji joho pengo akaenda kulima?
hata chadema tunawasikia. Wanalalamikia ccm. Wanalalmikia polisi
Huyo ni kadhi wa BAKWATA hakubaliki ng'o na waislamu walio wengi. Agenda 3 za kipaumbele zipo pale pale nazo ni;
1. katiba, kadhi awemo ndani ya katiba,
2. NECTA, ifumuliwe iundwe kutokana na uwiayano wa kidini
3. Sensa, hatushiriki mpaka masharti yetu yatimizwe
Nukuu ; Sheihk Ponda redio Imaan live.
chadema inatetea wananchi. Nyie mnalumbana wenyewe kwa wenyewe.
Kama hamwezi hata kuwa na umoja nyie kwa nyie ni vurugu tupu..
Sikiliza hii rekodi ya sauti. Nyie kwa nyie hamuelewani
Huyo ni kadhi wa BAKWATA hakubaliki ng'o na waislamu walio wengi. Agenda 3 za kipaumbele zipo pale pale nazo ni;
1. katiba, kadhi awemo ndani ya katiba,
2. NECTA, ifumuliwe iundwe kutokana na uwiayano wa kidini
3. Sensa, hatushiriki mpaka masharti yetu yatimizwe
Nukuu ; Sheihk Ponda redio Imaan live.
ponda anaudhalilisha uislamu, cha ajabu na wenyewe wamamtetea tu. Hatugawi ajira kwa misingi ya dini.
wananchi wepi? Kama wakiristo haya. Kama waislam sijaona faida ya chadema. Wao naona wamewekeza zaidi makanisani