Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Sina hakika na uwezo wa usalama wa taifa kiteknolojia, kaka kiiza kasema watumia tcra kuovaview vyombo vya habari lakini bado sana. Teknolojia imewaacha nyuma sana usalama wa taifa hili.

Mbona ze utamu iliwashinda mpaka ikampaka matope ******
wikileans na siri nzito nzito je.

Naipeenda sana nchi yangu chondechonde nendeni na kasi ya mabadiliko ya teknolojia jamani.

SINA HAKIKA NA UWEZO WA USALAMA WA TAIFA KITEKNOLOJIA, KAKA KIIZA KASEMA WATUMIA TCRA KUOVAVIEW VYOMBO VYA HABARI LAKINI BADO SANA. TEKNOLOJIA IMEWAACHA NYUMA SANA USALAMA WA TAIFA HILI.

MBONA ZE UTAMU ILIWASHINDA MPAKA IKAMPAKA MATOPE ******
WIKILEANS NA SIRI NZITO NZITO JE.

NAIPEENDA SANA NCHI YANGU CHONDECHONDE NENDENI NA KASI YA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA JAMANI.

Mengi yamefanyika ktk kuakandamiza uislamu. Tukiamka kudai haki zetu tunaambiwa tuna hatarisha amani. Waache radio imaan watoe daawa kwa waislamu tutambue haki zetu.

Haki unazijua wewe au unaongeaongea tu? Sijui kwanini mnapenda kulalamikalalamika kila siku, someni elimu dunia mmekalia kusoma elimu ahera tu saa ngapi utapata haki? Ujinga mtupu

Hivi kuna mtu anaweza kunambia kama gadafi aliwahi kusaidia waislamu wa tz kujenga shule?
Nimesikia msikiti unaitwa gadafi, sijasikia mashule na vyuo.

wacha waislamu tulalamike na tutalalamika mpaka kiama lkn hakutakuwa na mabadiliko yoyote kama tutaendekeza sera ya udini huku tukiwaacha watu wenye uchungu na nchi kwa sababu tu si waislamu.

Mtalia kulalamika wakati wengine wanasong mbele. Endelea kulalamika, ushauri wa bure pelekeni watoto shule, chuo kitawasidia nini katika dunia hii ya utandawazi?

Songasonga mbele,songa mbele hata radio imani wakuseme songa mbele. Usikate tamaa ndugu..,unaweza endelea na huo wimbo wa Alfa wa Rwanda. Acha kulalamika ndugu zangu waislamu (lkn si wote) pigen mzigo na maendeleo mtayapata,kila atafutaye atapata.

ndio upeo wako wa kufikiri ULIPOISHIA ! RADIO IMAA NA CCM (CATHOLIC CHURCH MOVEMENT) ! WAPI NA WAPI ????????KIBUYU

Makanisa yalijenga mashule na vyou vingi tu kusomesha na kuelimisha sio wakristo tu, hata waislamu ingawa walikuwa wanakatazwa eti wabadilishwa kuwa wakristo.

Waislamu walikuwa bize kujemga Madrasa za kusoma qur'an na misikiti miingi huku mahudhurio yao kwenye vikao vya gahawa yakivunja rekodi.! Waisilamu Msipokubali kuingia darasani mtabaki hohe hahe mkiwa na kampani ya Majini yenu mnayoyahusudu.

Kaazi kwelikweli nilikuwa sijuwi....kumbe ni heri 10x madrasa kuliko chr. seminaries ambako watu wanasoma wala hawaelewi na wala hawaelimiki ila bahati ni kwamba elimu ya huko inafananishwa na ile ya magharibi ambako watu wanasoma na wanaelewa na inawasaidia kuziendesha nchi zao.

Nimekunukuu wewe mchemsho kama mfano wa mazao hayo kwa sababu ulipotoa hii comment wala hukujua kuwa wakristo wa Nanjota, mkarakate na chiwata kule masasi ni masikini wa kutupwa na siku zote wanaishi kwa kuwa vibarua tena pengine kwa watu wengine ambao ni waislam.

Anyway ndiyo maana nchi hatutaendelea makanisa yametuzalishia wasomi uchwara wengi mno, na nikisikia kuwa hata huyo Gamba kuu ni zao la huko basi napata uchungu sana na haya makanisa.

makanisa yalijenga mashule na vyou vingi tu kusomesha na kuelimisha sio wakristo tu, hata waislamu ingawa walikuwa wanakatazwa eti wabadilishwa kuwa wakristo. Waislamu walikuwa bize kujemga Madrasa za kusoma qur'an na misikiti miingi huku mahudhurio yao kwenye vikao vya gahawa yakivunja rekodi.! Waisilamu Msipokubali kuingia darasani mtabaki hohe hahe mkiwa na kampani ya Majini yenu mnayoyahusudu.
mkuu mchemsho hujakosea,
kwa kweli wakristo wamesoma na ndo maana miaka hii 50 ya uhuru wa bendera tunaona maendeleo kila nyanja ya maisha. kipato sasa hivi cha mtanzania wakawaida ni US dola 50 kwa siku.
Ni bora kukaa kimya kuliko kujisifia kuwa mmesoma wakati mmelifanya taifa liwe masikini kuliko yote duniani huku likipitwa hata na nchi ambazo zina vita kila siku. shame on you mchemsho wa kitimoto/umbwa.

Mengi yamefanyika ktk kuakandamiza uislamu. Tukiamka kudai haki zetu tunaambiwa tuna hatarisha amani. Waache radio imaan watoe daawa kwa waislamu tutambue haki zetu.
Tutajie hayo mengi yaliyofanyika kukandamiza uislam.

Kuna kitu waislamu wa kweli wanakielewa na hawadanganyiki na hiyo redio ya kichochezi.

ni kwamba dunia inaendeshwa na mfumo wa kikristo nyumba, magari, tv, computer, vyombo vya nyumbani, mavazi, ndege, meli, michezo, kazi nk vyote hivyo vimekaa kikristo na huwezi kuishi duniani bila kupitia mfumo huo nchi nyingi za kiarabu zimejitahidi kukwepa huo mfumo lakini hazikufanikiwa kwani wakati wa uvumbuzi wa vitu wao walibakia kulala na kuoana mpaka dunia ikajitosheleza.

Sasa ukilaum tanzania inaendeshwa na mfumo kristo sijui unataka tufanyeje.waislamu waliopata elimu ya kuwasaidia hapa duniani(elimu kristo) kama kikwete,mkulo,membe,vuai,shein,mwinyi wananunua suti kila siku wakati kanzu zimejaa madukani na hakuna mtu aliyewakataza kuvaa ndani ya ofisi za serikali.wanakunywa whisky,wanafanyia watoto wao send off,ni mfumo wa kidunia,huwezi kuukwepa.

Hiyo redio kama ccm wanaona ni sawa wawaache faida yao wataiona kwani wameshaona baada ya miaka minne hawatakubalika tena tanzania kwa hiyo wanataka kuacha maafa kwa kuwatumia hao masheikh ambao hawana elimu na uono wao ni hafifu.
niwaambie waislamu wa ukweli wajaribu kurudi katika maisha ya mtume aliishi na watu gani na kama ule mfumo angeukataa kwa kuitisha jihad ni wapi angeufikisha umma wa kiislamu leo hii.
dunia tya sasa si ya majambia tena ni teknokojia angalia libya pamoja na kuwa ni waislamu watupu lakini hawatumii makambia.kwa hiyo mkiiharibu amani kwa kutegemea kurudi katika hali yenu ya kawaida mnajidanganya na hata wakristo wakijidanganya kuwa watashinda vita kilaini ni uongo mtupu.
kikwete sema kitu kuhusu hii redio.viredio viwilitu vinatishia amani ya nchi kiasi hiki?je mngekuwa na redio za kutocha ingekuwaje?

mkuu mchemsho hujakosea,
kwa kweli wakristo wamesoma na ndo maana miaka hii 50 ya uhuru wa bendera tunaona maendeleo kila nyanja ya maisha. kipato sasa hivi cha mtanzania wakawaida ni US dola 50 kwa siku.
Ni bora kukaa kimya kuliko kujisifia kuwa mmesoma wakati mmelifanya taifa liwe masikini kuliko yote duniani huku likipitwa hata na nchi ambazo zina vita kila siku. shame on you mchemsho wa kitimoto/umbwa.

Tukianza mjadala wa aina hii, hatutaweza kujenga umoja wa Tanzania na mijadala ya JF itaonekana ya kipuuzi kwa sababu imejaa profane.

kikwete alipoona anashindwa kujibu maswali ya wananchi na kuwapa pesa hawa al quida wa Tanzania, ngoja hao serikali ya US watakapoandika report ya terrorism kuhusu Tanzania ... its coming!

It's wel known hata na mtoto mdogo kuwa US iko against Islam religion kwahiyo sitoshangaa reflection katika terrorist groups zao.

Halafu do u have any source ku-back up statement yako kuwa Kikwete anawapa pesa hao ulowaita Al Quida wa Tanzani?

Hizo kurasa za kati sijasoma lakini uchochezi wa redio Imani ni upi?.Hamuoni kuwa wachochezi ni maaskofu wanaomuandikia Kikwete risala ya kusoma msikitini ili kuhalalisha dhulma zao?.
Eti maaskofu waliomualika Julai 22 mwaka huu walisema
..Mahakama ya kadhi ni jambo zuri la waislamu lakini lisitumie hazina ya serikali kuhudumia.....Akawajibu mawazo yao yanafanana na ya serikali.
Yaani we Kikwete mambo ya waislamu hadi ukumbushwe na maaskofu kuhusu uzuri wake !.Halafu maamuzi yao kwamba mahakama isitumie nyenzo ya serikali kuziendesha ndio umekubali wakati wewe unajua jinsi gani hazina ya serikali inatumika kuendesha mambo ya wakristo.Hapa waislamu wote Tanzania wanapata uchungu hivyo kulaumu redio Imani ni bure kwani wao wanaonesha hisia tu za waislamu kama zilivyo.

Lejeeni kwenye hutuba ya Muislam mwenzenu Kikwete kwenye Balaza la Iddi. Nahisi iposiku mtadai mpewe vitimaalum Bungeni kwa kulalamika lalamika tu.

UKRISTO NA UISILAMU ni imani na ustaarabu ulio letwa na waarabu na wazungu, nia yao ilikuwa ni kututawala, walijua kuwa ukoloni wa kawaida unamwisho wake, wakabuni mbinu ya kutupatia dini zao, japokuwa hatutawaliwi tena, bado kiimani sisi ni watumwa wa wazungu na waarabu. Babu na bibi zetu hapo awali waliishi maisha ya amani, japo tunayabeza na kuyaita ya kishenzi. Walikuwa wakifanya ibada zao kwa mungu wasie mjua, lakini bado baraka na neema zilikuwa juu yao, hapakuwa na majanga kama wakati huu, magojwa yasiyo na tiba kama wakati huu, ukame na njaa kama wakati huu.

Pamoja na kujisifia na kupigania hizi imani za kikristo na kiisilamu, lakini Mungu hayupo nasi kabisa, Dunia imejaa dhambi na laana, magojwa yasiyo na tiba, kuaribika kwa maadili, wizi watu kijipenda na kujijali wenyewe, ukame na njaa. Tunadhani tukipigania dini tunamtetea Mungu kumbe wala hayupo nasi, tunaishi kwa mazoea tu.

Badala ya kubishania dini, ni bora kila mmoja na imani yake, kukaa na kutafakari, maisha tuliyo nayo yanakwenda wapi, kwanini tuko kama tulivyo, tujaribu kumtafuta Mungu, Kutubu kwa niaba ya nchi yetu na ulimwengu kwa ujumla ili Mungu aturehemu atuondolee majanga.

Ninaamini dini hizi mbili, zina mafundisho yanayo zungumzia amani na utulivu, ndugu zangu kama nilivyochangia awali, tusikubali Imani zetu zikatugombanisha, kwasababu ninaamini hatuta pata thawabu yeyote kutoka kwa huyo Mungu tunayedhani tunamtetea.

Hizo kurasa za kati sijasoma lakini uchochezi wa redio Imani ni upi?.Hamuoni kuwa wachochezi ni maaskofu wanaomuandikia Kikwete risala ya kusoma msikitini ili kuhalalisha dhulma zao?.
Eti maaskofu waliomualika Julai 22 mwaka huu walisema
..Mahakama ya kadhi ni jambo zuri la waislamu lakini lisitumie hazina ya serikali kuhudumia.....Akawajibu mawazo yao yanafanana na ya serikali.
Yaani we Kikwete mambo ya waislamu hadi ukumbushwe na maaskofu kuhusu uzuri wake !.Halafu maamuzi yao kwamba mahakama isitumie nyenzo ya serikali kuziendesha ndio umekubali wakati wewe unajua jinsi gani hazina ya serikali inatumika kuendesha mambo ya wakristo.Hapa waislamu wote Tanzania wanapata uchungu hivyo kulaumu redio Imani ni bure kwani wao wanaonesha hisia tu za waislamu kama zilivyo.

Always hating.... Mnajaa chuki mara zote... Aman yenu ipo wapi?

Hahahaha. Mi naona hata nikiweka my comment ni kazi bure. Mungu akufunulieni ufahamu kama kweli mwataka kuujua ukweli.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom