Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Serikali inabidi ni lazima idhibiti na ipige marufuku mihadhara ya kukashifu dini nyingine. Kama ni mahubiri ongelea dini zako.

Hao waislamu waulizwe ni vyuo vyao vingapi vilitaifishwa na hawajarudishiwa? Au walitaka wakristo wawajengee mashule na vyuo wakati wao wamelala misikitini?

Waislamu wako nyuma kimaendeleo kwa sababu viongozi wao hawatoi kipaumbile kwenye huduma za jamii kama hospitali na elimu.
 
Do we have a government in Tanzania????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
mimi kwa kweli hiyo radio sielewi kabisa, haiwezi kuwa redio ya dini ile, vitu vinavyojadiliwa si vya kuijenga dini, nyingi siasa na wananyoka na vyama vya upinzani tu, labda waite radio imani-ccm hapo inaweza kueleweka , hawafai kabisa
 
nadhani ndugu yangu huna budi kwenda kwenye taasisi za juu za elimu za serikali nakupa njia nyepesi ya kufanya utafiti " anzia UDSM uliza namba ya waislamu walioingia mwaka fulani na waliomaliza (utatoa machozi kama una moyo wa imani na ndugu zako) "na sababu zao fuatilia kwa makini uone. nakupa mfano baadhi ya sababu, mtu ana GPA 4.3 ana B+ pamoja na A kaitka kozi zake {kisha anasap hatoki, anakeri, hatoki kisha anatemeshwa chuo} hizi akili za kozi nyingine ni za nani? mwingine aah huyu aliwahi kusoma chuo fulani hakutwambia wakati wa udahili wake (wakati huo yuko mwaka wa pili) ndo wanaongelea sababu ambazo hazina ushahidi na mpaka wanamtimua. nayaongea haya nimeyashuhudia kwa macho. nakupa kali (aliingia muislam mmoja ndani ya ofisi kuomba kusainiwa fomu yake akiwa amevaa kanzu nyeupe akaambiwa kavue hilo gauni ndo uje hapa sio msikitini, na akakataa kuhudumiwa) akatoka, akampa mwenzie fomu akaenda kumsainia badala
bwana nimengi mno: fikiria sababu sifuatazo 1. kwanini kila siku kwenye fomu za usajili tunaandika dini.(kuna huduma gani ambazo watu wanapewa vyuoni kwa kufuata dini zao? kama si kutaka kuchamvua wako wapi kina hassan na hussein?)
2. kwa nini tusifanye mitihani yote ya vyuo kwa namba tu ? na majina yakatakiwa siku za mwisho kabisa?
watu tuangalie shule hizo wanazosema za waislamu nani msimamizi? (bakwata ambayo ni serikali ileile ya mfumo kristo, na ushahidi kanisa lilifadhili vikao vyake kwa uongozi wa mrema na kutunga katiba yake mwaka 1992.) hizo shule kuna mfumo mzima wa kuziharibu na zilikwisha haribiwa na kuna mawakala kila siku wanaziharibu. mfano nenda kinindoni muslim (academic master) ni dini gani? je ana maslahi na waislamu huyu? je performance itakua nzuri kama sehem nyeti kakaa mvurugaji mkuu? na jee waislamu wana sauti juu ya hizi shule. pima ufaulu kwa shule za kiislamu ambazo zinajitegemea kama katoro kule bukoba na nyinginezo utaona tofauti. asante na usiku mwema

Ndugu yangu, hizo ni hisia tu. Kwani hamna wakrito wanao-disco huko UDSM? Au akifeli mkristo ni sawa llakini muislamu akifeli anakua ameonewa?

Angalia matokeo ya form IV na VI top ten ni akina nani, shule za seminari zinaongoza. Ujue hawa waliofaulu vizuri form VI wana nafasi nzuri zaidi kuendelea kufaulu vizuri chuo kwa sababu ya msingi aliotoka nao huku chini na self displine aliyojengewa. Kama umeingia chuo na msingi mbovu na ukikumbana na mazingira ya uhuru wa chuo uwezekano wa kufeli ni mkubwa. Msidanganyane kuwa kufeli kwenu ni kwa sababu ya dini.
 
Wakristo huko makanisani kwenu huwa hakuna cha maana munachofanya zaidi ya kuwasingizia uongo waislamu.Mimi nimechoka na hoja zenu za kitoto.Hata mukipewa majibu ya kitafiti munarudia yale yale.Mfano waislamu kunywa kahawa na kula pilau au watumwa waliopelekwa Marekani wamebaki lakini wale wa Arabuni walihasiwa.Ujinga mtupu!.
Kuhusu kunywa kahawa na kashata ukarudi nyumbani kulala na kunywa bia ukaanguka njiani nini bora?.Angalia sasa hivi Tanzania kote kuna mabaa makubwa jirani kabisa na vituo vya polisi na mahakama hata za rufaa.Nini unategemea hapo?.
Kwenye bia huwa munaambizana uongo halafu munasahau ilikuwaje,ndio maana hatimae matamko ya kijinga yanatoka vinywani mwenu.

Mimi nimesikia kwenye kahawa kuwa Kikwete ndiye raisi wa kwanza Tanzania kutekeleza kiapo cha kuapishwa kwake kwa aslimia angalau 50.Amekuta madudu ya kanisa ambayo hayako kwenye katiba mpaka akifikiri anapata kizunguzungu na kushindwa kujizuia.Haya ameshindwa nayo na makanisa kwa upande wao wanalazimisha yatendeke.Hapa ndipo makanisa yanapopata taabu na kuwaza kumpindua.
Kikwete nakwambia! kauka nao mpaka mwisho, na hakuna utakachopoteza.
Shamsi Vuai,Mwema na yeyote mwengine katika polisi puuzeni porojo za Chadema.Ingekuwaje kama wanachadema wangeachwa na kuchoma moto msikiti!,si ingekuwa balaa zaidi !.
Hapo zamani mulizoea kutuzushia mambo na hatukuwa na sehemu ya kujitetea.Tukaonekana mbele ya jamii majuha.Leo tunajitetea munaanza kuleta chokochoko.

Ndio yale yale!
 
Dawa ni shule wasikimbilie kufuga majini na kuoa wanawake wengi, maaskofu wao wamebobea katika ilim ahera na ilimu dunia. waache kufadhili vikundi vya kigaidi hela zao na badala yake sasa wawekeze katika ilim dunia ya mwislam na wasiige kunya kwa tembo watapasuka makalio.
 
nadhani ndugu yangu huna budi kwenda kwenye taasisi za juu za elimu za serikali nakupa njia nyepesi ya kufanya utafiti &quot; anzia UDSM uliza namba ya waislamu walioingia mwaka fulani na waliomaliza (utatoa machozi kama una moyo wa imani na ndugu zako) &quot;na sababu zao fuatilia kwa makini uone. nakupa mfano baadhi ya sababu, mtu ana GPA 4.3 ana B+ pamoja na A kaitka kozi zake {kisha anasap hatoki, anakeri, hatoki kisha anatemeshwa chuo} hizi akili za kozi nyingine ni za nani? mwingine aah huyu aliwahi kusoma chuo fulani hakutwambia wakati wa udahili wake (wakati huo yuko mwaka wa pili) ndo wanaongelea sababu ambazo hazina ushahidi na mpaka wanamtimua. nayaongea haya nimeyashuhudia kwa macho. nakupa kali (aliingia muislam mmoja ndani ya ofisi kuomba kusainiwa fomu yake akiwa amevaa kanzu nyeupe akaambiwa kavue hilo gauni ndo uje hapa sio msikitini, na akakataa kuhudumiwa) akatoka, akampa mwenzie fomu akaenda kumsainia badala<br />
bwana nimengi mno: fikiria sababu sifuatazo 1. kwanini kila siku kwenye fomu za usajili tunaandika dini.(kuna huduma gani ambazo watu wanapewa vyuoni kwa kufuata dini zao? kama si kutaka kuchamvua wako wapi kina hassan na hussein?)<br />
2. kwa nini tusifanye mitihani yote ya vyuo kwa namba tu ? na majina yakatakiwa siku za mwisho kabisa?<br />
watu tuangalie shule hizo wanazosema za waislamu nani msimamizi? (bakwata ambayo ni serikali ileile ya mfumo kristo, na ushahidi kanisa lilifadhili vikao vyake kwa uongozi wa mrema na kutunga katiba yake mwaka 1992.) hizo shule kuna mfumo mzima wa kuziharibu na zilikwisha haribiwa na kuna mawakala kila siku wanaziharibu. mfano nenda kinindoni muslim (academic master) ni dini gani? je ana maslahi na waislamu huyu? je performance itakua nzuri kama sehem nyeti kakaa mvurugaji mkuu? na jee waislamu wana sauti juu ya hizi shule. pima ufaulu kwa shule za kiislamu ambazo zinajitegemea kama katoro kule bukoba na nyinginezo utaona tofauti. asante na usiku mwema
<br />
<br />
acha uwongo chuo gan kinatumia majina badala ya no. Achen kufikir upumbavu, mbona vyuo vya din vya kikristu havina ubaguz huo. Mfano st. Agustine kimewajengea mpaka msikiti ktkat ya chuo sasa nikuulize morogoro muslm kmejenga kanisa ktkat ya chuo? Wambien hao masheh wasome shule achen kulalamika ovyo. Ni vgum waislam kushndana na wkrsto swala la Elimu, tuliwatangalia cha kufanya kazen but kusoma
 
NINAVYO JUA RADIO IKISHA ITWA NI YA DINI FULANI HAITAKIWI IINGILIE MASWALA YA SIASA KAMA WAISLAMU WAMEANZA BASI NA WAKRISTO WATAANZA MWISHOWE HALI INAKUWA MBAYA HUO MRADIO HATA KWA BURE SISIKILIZI KWENDA SHULE MTU UNAKUTA AJUI HATA ENGLIS ANANGANGANIA KIARABU nendeni school
 
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.

Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari – magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile.

Kilichonisikitisha katika mjadala huo ni uchochezi na upotoshaji wanaoueneza hawa masheikh kwa sababu wanazojua wao. Kwa mfano walisema nchi inaendeshwa kwa mfumo wa kikiristu toka enzi za Nyerere, moja ya madai yao ni kwamba waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome, bila shaka haya ni madai makubwa sana.

Mambo mengine ni kwamba ili kudhibitisha kwamba nchi inaendeshwa kikristo ni kwa nini wakristo wana university na hospitali nyingi kuliko serikali, madai mengine ni kwamba kwa nini hospitali za kikristo zilizotaifishwa na serikali zilirudishwa, bila shaka katika hili ni kwamba serikali ilishindwa kuziendesha, lakini kwa sababu wanazojua wao waliishia kulaumu mfumo wa utawala wa kikristo. Katika hili wao walikiri kwamba hakurudishiwa kitu kwa kuwa hawakunyanganywa kitu!

Baada ya kumaliza majadiliano waliruhusu wasikilizaji kutuma sms na kupiga simu studio, wengi wa wachangiaji waliwashukuru masheikh kwa hatua yao lakini pia kuna waliosema watajichukulia sheria mkononi ili kuwaadhibu waandishi, na wengine walitaka itangazwe jihad dhidi yao.
Nilivyoona mimi hakuna shabaha nyingine zaidi ya kuleta chuki miongoni mwa dini jambo ambalo si kawaida yetu watz.

Ingawa najua kwamba redio hii haina wasikilizaji wengi lakini mijadala ya uchochezi namna ile haitakiwi kupita bila kukemewa. Katika mauaji ya Rwanda redio zilitumika sana kuchochea chuki baina ya watu, hatutakiwi kufika huko, nadhani ni wakati muafaka kwa “intelijensia” ya polisi kufanya kazi sasa ili kuzuia maafa yanayoweza kutokana na uchochezi wa redio imani

Wana JF naomba kuwakilisha

Nilipo RED.

Una uhakika kuwa radio haina wasikilizaji wengi? Je ina survive vipi.

Jifunze kuwa mvumilivu au kama imekuchoma TCRA wapo kwa ajili ya kupokea malalamiko yako.Peleka
 
Masuala ya kidini ni mapokeo tu toka kizazi hadi kizazi na kutoka taifa moja kwenda jingine. Ni Imani zinazojikita kutokana na mapokeo na nyakati. Kama wachina wangekuwa ni wasafiri sana enzi hizo pengine tungekuwa na dini ya kibudha, ama wayahudi na kadhalika. Lililo la msingi ni utaifa wetu zaidi kwani ndio tunaoujua ukweli wake zaidi kuliko dini zetu. Mfano, hivi ni mtanzania yupi anayeweza kueleza kwamba pamoja na waarabu kuja hapa nchini kufanya biashara ya watumwa na kueneza dini, je, ni kwanini basi hakuna waarabu weusi? Waafrika waliopelekwa utumwani walipotelea wapi? Je, ni kwanini ukristo ulitokea ulaya zaidi kuliko Israeli? Tuungane sisi ni ndugu hizi dini ni nyenzo zilizotumika kutugawa ili tutawaliwe. Tukishiriki kuziimba tutagawanyika na kurudi utumwani.
 
<br />
<br />
acha uwongo chuo gan kinatumia majina badala ya no. Achen kufikir upumbavu, mbona vyuo vya din vya kikristu havina ubaguz huo. Mfano st. Agustine kimewajengea mpaka msikiti ktkat ya chuo sasa nikuulize morogoro muslm kmejenga kanisa ktkat ya chuo? Wambien hao masheh wasome shule achen kulalamika ovyo. Ni vgum waislam kushndana na wkrsto swala la Elimu, tuliwatangalia cha kufanya kazen but kusoma

Tatizo la kupelekwa sunday school . Kila kitu kulalama tu. jamani lazima mjifunze kuvumiliana na mjue kutesa kwa Zamu
 
Nilipo RED.

Una uhakika kuwa radio haina wasikilizaji wengi? Je ina survive vipi.

Jifunze kuwa mvumilivu au kama imekuchoma TCRA wapo kwa ajili ya kupokea malalamiko yako.Peleka

Ile radio hawezi kumchoma mtu zaidi ya kuendelea kuwa radio iliyo dharaulika na kutokuwa na maana yoyote.
 
Masuala ya kidini ni mapokeo tu toka kizazi hadi kizazi na kutoka taifa moja kwenda jingine. Ni Imani zinazojikita kutokana na mapokeo na nyakati. Kama wachina wangekuwa ni wasafiri sana enzi hizo pengine tungekuwa na dini ya kibudha, ama wayahudi na kadhalika. Lililo la msingi ni utaifa wetu zaidi kwani ndio tunaoujua ukweli wake zaidi kuliko dini zetu. Mfano, hivi ni mtanzania yupi anayeweza kueleza kwamba pamoja na waarabu kuja hapa nchini kufanya biashara ya watumwa na kueneza dini, je, ni kwanini basi hakuna waarabu weusi? Waafrika waliopelekwa utumwani walipotelea wapi? Je, ni kwanini ukristo ulitokea ulaya zaidi kuliko Israeli? Tuungane sisi ni ndugu hizi dini ni nyenzo zilizotumika kutugawa ili tutawaliwe. Tukishiriki kuziimba tutagawanyika na kurudi utumwani.

Wapo hao. Ukifika Oman wapo waSUR. hawa ni waarabu weusi ti. na wahindi nenda kule kusini maeneo ya madras (chenai), pondicherry mpaka Sri lanka.

Tembea uone
 
Sasa wewe barubaru , unaunga mkono radio ya dini kuongelea masuala ya siasa tena inakuwa upande wa chama kimoja, hivi hiyo radio haioni mazuri yanayofanywa na vyama pinzani ?
 
kwa taarifa radio imaan inasikika nchi nzima kwa sasa, hivyo inawasikilizaji wengi. Pia wewe u-mtu wa ajabu, maaskofu wakisema, wakitukanä wakichochea ni sawa lakini mashehe wakisema ni kosa. Nami nasema maaskofu mnatupeleka kubaya. Msichanganye siasa na dini.

usichangie kwa mtindo wa kutetea dini yako, wewe kama msomi...........tafakari afu ndo uargue..........unaweza kutueleza uchochezi wa maaskofu kusiana na udini?????????????? Tell us pleaaseeeeeeeeees with convicining facts
 
MIMI NASEMA WANAKOSEA TU. WAKRISTO WANAAJIRI HATA WAISLAMU LAKINI WAO KAMA WAISLAM HAWATAKI KUAJIRI KWENYE VYUO, KWENYE MASHULE LAZIMA UWE MWISLAMU TU. NDIO MAANA KUNA SHIDA. MFANO HOSPITAL YA ANGLIKANA INAITWA BEREGA MGANGA MKUU NI MWISLAMU na MWISHO KABISA WAISLAMU WANGAPI WANASOMA ST AUGUSTINE NA PALE KUNA MSIKITI. HAPO KWELI KUNA TATIZO. Mimi niko tayari kumchagua Mwislamu kama tu ni mchapa kazi wala sibagui hata kama nina kampuni yangu mimi ninachojali ni kufanya kazi tu. Suala la dini ni issue ndogo sana. Na mimi nimekaa na baba yangu mkubwa alikuwa mwislamu lakini baba yangu kabisa alikuwa mkristo. Tuko poa mpaka leo na mimi huwa naenda kusali jumapili na baba anaenda msikitini Ijumaa. So what
 
nilipo red.

Una uhakika kuwa radio haina wasikilizaji wengi? Je ina survive vipi.

Jifunze kuwa mvumilivu au kama imekuchoma tcra wapo kwa ajili ya kupokea malalamiko yako.peleka

hata kama ina wasikilizaji wengi............why such topics????? Wakati wanajua kabisa madai yao siyo ya msingi
 
usichangie kwa mtindo wa kutetea dini yako, wewe kama msomi...........tafakari afu ndo uargue..........unaweza kutueleza uchochezi wa maaskofu kusiana na udini?????????????? Tell us pleaaseeeeeeeeees with convicining facts

Kusikika nchi nzima si hoja ? hoja huko inakosikika inapeleka ujumbe gani kwa wananchi ? hiyo radio ukweli haifai hata mkiitetea, itawaumbua
 
Hata mimi nilipigwa na butwaa wakati nasearch station nikasikia Radio Imam wanawaponda Wakristu.Kwa vile mie Mkristo niliamua kusikiliza.........................JESUS CHRIST............kumbe Waislam wanatuchukia sana Wakristo.......wanatuchukia mno!!!! Sikuwahi kujua hilo before..........wanatusagia meno, wanahamasishana kutuchukia!! Tena walipanga mikutano mingi kila mahali ili kuhamasishana kwa ajili ya hili
............i was shocked........kipindi kilichukua about three hours , ilikuwa siku ya jumamosi
 
Tuwaache Mashekh na Maaskofu waendelee, sisi wafuasi wao tupambane na nchi yetu, huwa sichangii kwenye haya yanaturudisha nyuma, watanzania tuna desturi ya kupendana sana with regardless ya dini zetu na makabila yetu.

you have a good theory but it is not practical, wewe isikilize hiyo redio uatanijib kama utabaki na hiyo theory yako.......utabadilisha tu! hata mie nilikuwa na hayo mawazo but now am sensitive.......indeed very sensitive...........am praying dat the BLOOD OF JESUS CHRIST TO SAVE US without dat............Christian we are finished!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom