Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Dini zingine hata uwe umesoma kiasi gani, ule mtazamo uliokaa ki-udini unakuwa hautoki.
Commentators wengi wa Uislam wanasema uislam kwa asilia unafundisha extremism. Kwa experience yangu, waislam wengi niliokutana nao ambao nimehisi wana elements za extremism unakuta hawana elimu sana. Kwa hiyo nadhani muislam ambae amesoma decently ni vigumu kuchotwa na extremism hata kama Quran ina strong elements za extremism.

Kuna muislam mmoja nimeongea nae akanambia wanae ni bora wazingatie zaidi madrassa na elimu ya uislamu kuliko shule ya kawaida. Nikamwambia huoni kwamba wewe kutosoma vya kutosha ndio sababu ya kusukuma mikokoteni juani mchana kutwa, akadai ni kweli lakini maisha yetu baada ya kifo ndo muhimu zaidi ya haya duniani. Sasa nadhani mtazamo kama huo kwa mtu mwelewa, msomi, ambae amefaidika na elimu, hawezi kuwa nao, sidhani kama Muislam msomi anaweza kukubali mwanae asende shule aende madrasa. Na ambae anaona maisha ya hapa dunia si chochote mbele ya dini ni rahisi zaidi kukubali kujilipua kwa ajili ya Uislam.

Inawezekana nakosea sana.

mimi mwenyewe nilishawahi kusikia tamko la kigoma na morogoro...niliona masheikh kinachowasuumbua ni elimu ndogo..maana maaskofu wana elimu za PHD .. hivyo wanaongeo reality while ma sheikh wanaongea Nadharia (MYth) ndio maana hata wao wenyewe walitangaza kuwa
kubenea na ulimwengu ni waislam lakini kutokana ma upeo wao wa kufikiri waisalam wenzao wasiwasikilize...hapo ndio utajua Eliimu ya MADRASA ilivyo feki kwa kujenga hoja
 
Hakuna tofauti kubwa kwa hiyo Radio na thread nyingi za uchechezi humu JF za wakristo za kukebehi, kudharau, kudhalilisha waislamu.... Sasa wameshastuka jasho kwenu, si mnafikiri nyinyi ndio wenye elimu haya sasa wacha wakuonyesheni.

Watamnyoosha nani? Kwa hii thread inaonyesha jinzi waislamu mnavyokazania kuanzisha vita ya kidini na vitisho vyenu. Mnayoongea inamaana yapo rohoni, tunawasubiri kwa hamu. Si mlishaanza mto wa mbu na serikali ika kaa kimya endeleeni.
 
Redio redio redio....TISS TISS TISS...TCRA TCRA TCRA....Watawala....Ninawaonyeni! Majuto ni mjukuu na hakuna atakeyekua salama sumu hii ikiachwa itawanyike kama inavyoendelea sasa. Ni ngumu kuamini kua wahusika ambao wanalipwa mishahara kwa kodi zetu hawalioni hili.
Ni juzi tu nilikua nikiangalia kesi inayoendelea ya Kenya post-election violence kule the Hague. Mmoja wa watuhumiwa - ambaye duru zinaeleza kuwa ana nafasi kubwa sana ya kuwa proven guilty kutokana na evidences kuwa wazi zaidi - ni Bw Joshua Arap Sang,mtangazaji maarufu wa redio KASS FM inayotangaza ki-kalenjin huko kenya. Alitumia redio KASS kueneza hate message wakati ule na inasemekana wengi walipoteza maisha au kujeruhiwa na wengi zaidi kuwa-displaced kutokana na utumishi wake huo. Mwisho wake pengine ndio huu sasa! Wengine wa watuhumiwa ni wanasiasa na viongozi wa kada mbali mbali mpaka mawaziri walioamini kuwa un-touchable. Ninawaonyeni tena, hata mkiisha kufanya yoote hayo, hamtabaki salama kamwe! But why should we get there, in the first place?
 
tusidharau kuwa haina wasikilizaji wengi...chombo chochote cha habari ni hatari kikiamua kumwaga SUMU..katika jamii..naungana na wewe kuwa TUKEMEE..!
 
Matatizo ya waislamu ni pamoja na haya:
1. Hakuna wamisionari
2. Hakuna mpangilio mahususi katika uongozi wa maswala ya uendeshaji shughuli za kidini
3. Mali ni mojawapo ya mambo ya msingi katika imani ya kiisilamu
Ikumbukwe kuwa wageni wa kwanza kufika katika nchi yetu ni waarabu walio chukua watumwa wengi. Je watumwa hao wako wapi katika nchi walizopelekwa huko Uarabuni?
Wale waliopelekwa nchi za magharibi bado twaweza kushuhudia vizazi vyao.
Vile vile tulitegemea kuwa U-islamu ungeleta mapema maendeleo makubwa hapa nchini katika elimu, afya,kilimo,biashara n.k kwa kuwa ulipata nafasi ya kuwepo kwanza hapa nchini kinyume chake ni malalamiko ya waislamu wa leo katika mambo mabali mbali.
Hivyo basi Waislamu ni budi watambue kuwa tatizo ya kadhia yote hii ni mfumo mzima wa dini yao ambayo hata katika nchi zile kuliko anzia U-islamu hadi leo mambo haya bado hayajawa sawa. Nashauri wasitafute mchawi. Ni vyema wakajipanga upya kwa kutumia njia za wenzao wakristo katika kujijenga ki- miradi na maendeleo mbali mbali
 
Lawama za waislam hazikuanza leo!!! Ikumbukwe kuwa Kighoma Malima wakati akiwa waziri wa elimu zama za mzee Mwinyi ndie aliyeanzisha mfumo wa kutumia namba badala ya majina wakati wa mitihani ya kitaifa akiamini kwamba wanafunzi wakristo walikuwa wakifaulu sababu ya kupendelewa katika usahishaji.

Huku akiamini kuwa amewadhibiti wakristo, alishangaa sana kuona kuwa kiwango cha ufaulu cha wanafunzi wakristo kilikuwa kinazidi kupanda zaidi na zaidi mwaka hadi mwaka.

Nasikitika kwamba ndugu zangu waislamu hawajamjua shetani wao hadi leo!!! Badala waende kwa tafiti wao wameamua kutumia makongamano kumtafuta mchawi...
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.

Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari – magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile.

Kilichonisikitisha katika mjadala huo ni uchochezi na upotoshaji wanaoueneza hawa masheikh kwa sababu wanazojua wao. Kwa mfano walisema nchi inaendeshwa kwa mfumo wa kikiristu toka enzi za Nyerere, moja ya madai yao ni kwamba waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome, bila shaka haya ni madai makubwa sana.

Mambo mengine ni kwamba ili kudhibitisha kwamba nchi inaendeshwa kikristo ni kwa nini wakristo wana university na hospitali nyingi kuliko serikali, madai mengine ni kwamba kwa nini hospitali za kikristo zilizotaifishwa na serikali zilirudishwa, bila shaka katika hili ni kwamba serikali ilishindwa kuziendesha, lakini kwa sababu wanazojua wao waliishia kulaumu mfumo wa utawala wa kikristo. Katika hili wao walikiri kwamba hakurudishiwa kitu kwa kuwa hawakunyanganywa kitu!

Baada ya kumaliza majadiliano waliruhusu wasikilizaji kutuma sms na kupiga simu studio, wengi wa wachangiaji waliwashukuru masheikh kwa hatua yao lakini pia kuna waliosema watajichukulia sheria mkononi ili kuwaadhibu waandishi, na wengine walitaka itangazwe jihad dhidi yao.
Nilivyoona mimi hakuna shabaha nyingine zaidi ya kuleta chuki miongoni mwa dini jambo ambalo si kawaida yetu watz.

Ingawa najua kwamba redio hii haina wasikilizaji wengi lakini mijadala ya uchochezi namna ile haitakiwi kupita bila kukemewa. Katika mauaji ya Rwanda redio zilitumika sana kuchochea chuki baina ya watu, hatutakiwi kufika huko, nadhani ni wakati muafaka kwa “intelijensia” ya polisi kufanya kazi sasa ili kuzuia maafa yanayoweza kutokana na uchochezi wa redio imani

Wana JF naomba kuwakilisha
 
kulalamka ni kupoteza muda.
yatakuwa ya Zanzibar kuwa inaonewa, eti haigawani 50 by 50 kila kitu na main land, kwani watu milioni 1 ni sawa na watu milioni 50?
 
jamani napongeza sana uwepo wa mada hii. mimi binafsi nilisikia huo mjadala. Ilikuwa sio watu wenye hekima ni matusi na makejeli yasisi wanaotuita makafili. Mara Mwl Nyerere aliwapendelea wakristo. jamani sio kweli ila nyinyi wa pwani hamjiyumi kwa kazi mnapenda ombaomba. Mtu akikupa utamshukuru sana na unaweza kumpa kibali feki cha kuingia mbinguni. Mimi ni mwalimu wa sekondari nina wanafunzi wangu waislamu wengi wao wanakuwa wavivu sana kusoma hivyo hufanya vibaya. Kweli huwa nawasema sana kuwaasa wakazane kusoma wasije badayer wakaanza kusema wenzetu walipata elimu sisi tulikosa.
Pia jamani sisi sote ni watanzania tupendane tuondoe dhana ya udini. Mbona Mungu atubagui?
 
Kiukweli hii redio nimefuatilia matangazo yake na kugundua kuwa inataka kusababisha kama yale ya Rwanda. Jaman kumbuken mauaji ya Rwanda yalisababishwa kwa kias kikubwa na baadhi ya vyombo vya habar hasa Redio kueneza chuki baina ya kundi moja na kumd jingine. Huwa ninapoona filamu kama ile ya "Hotel Rwanda" au "Sometimes in April" naomba mungu yale mambo yasitokee kwetu. Jamaan watanzania haya mambo hayafai nichopenda kuwaasa ndugu zangu washughurike co wasubir kila siku kuletewa na siku wakikosa wanamtafuta mchawi nani hatuend hivyo tupunguze muda wa "ghahawa" na bao. NB : nimeipenda sana coment ya kalinguliza.
 
Kama kuna watanzania wanaosikiliza hiyo redio basi hawazidi mia tano. Wengi wao wapo tandale, manzese, tandika, temeke, gongolamboto na mbagala.

Kwa hiyo unamaanisha wewe ni FISADI au MTOTO WA FISADI. Mbwa wee, acha dharau na ndio maana CDM haiwezi kupewa nchi hii katu kwa mitazamao mavi kama hii.
 
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.

Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari – magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile.

Kilichonisikitisha katika mjadala huo ni uchochezi na upotoshaji wanaoueneza hawa masheikh kwa sababu wanazojua wao. Kwa mfano walisema nchi inaendeshwa kwa mfumo wa kikiristu toka enzi za Nyerere, moja ya madai yao ni kwamba waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome, bila shaka haya ni madai makubwa sana.

Mambo mengine ni kwamba ili kudhibitisha kwamba nchi inaendeshwa kikristo ni kwa nini wakristo wana university na hospitali nyingi kuliko serikali, madai mengine ni kwamba kwa nini hospitali za kikristo zilizotaifishwa na serikali zilirudishwa, bila shaka katika hili ni kwamba serikali ilishindwa kuziendesha, lakini kwa sababu wanazojua wao waliishia kulaumu mfumo wa utawala wa kikristo. Katika hili wao walikiri kwamba hakurudishiwa kitu kwa kuwa hawakunyanganywa kitu!

Baada ya kumaliza majadiliano waliruhusu wasikilizaji kutuma sms na kupiga simu studio, wengi wa wachangiaji waliwashukuru masheikh kwa hatua yao lakini pia kuna waliosema watajichukulia sheria mkononi ili kuwaadhibu waandishi, na wengine walitaka itangazwe jihad dhidi yao.
Nilivyoona mimi hakuna shabaha nyingine zaidi ya kuleta chuki miongoni mwa dini jambo ambalo si kawaida yetu watz.

Ingawa najua kwamba redio hii haina wasikilizaji wengi lakini mijadala ya uchochezi namna ile haitakiwi kupita bila kukemewa. Katika mauaji ya Rwanda redio zilitumika sana kuchochea chuki baina ya watu, hatutakiwi kufika huko, nadhani ni wakati muafaka kwa "intelijensia" ya polisi kufanya kazi sasa ili kuzuia maafa yanayoweza kutokana na uchochezi wa redio imani

Wana JF naomba kuwakilisha

Hakuna mwenye uwezo wa kuifunga radio iman, atakabiliana na NGUVU YA AJABU na ataharisha kila siku mpaka anakufa. Kwa taarifa yako:
1. sio lazima kuisikiliza
2. na hata ukiisiliza hupati chochote kwa sababu wewe ni kafiri.
3. hakuna hapa duniani mwenye uwezo wa kuifunga, hata ikitawala chadema na haitotawala labda mimi na kizazi changu tumekufa.

Acheni kuleta HOJA MAVI hapa. Halafu nashangaa mijadala kama hii inaachwam kwa kuwa inaubeba ugalatia. Eti mashekh hawana elimu, nyie mtakuwa na elimu wakati hata kuchamba hamjui. JIHESHIMUNI ndio nchii itakuwa na amani. Sisi tunajua kuishi na dini zote, tuna misingi yetu ya kuvumiliana na sio kunyamazisha HAKI. Wagala nchii hii mmebebwa sana na kodi zetu, tulieni ****** atufanyie mambo.
 
civilization starts from your words ... sorry .... mind that you do not discuss with nursery school children here .... ohhhhhh yes...these are the fringe benefits of brainwashing practiced by extremists and fundamentalists
 
Ni kweli Waislamu walioendelea na wenye upeo mpana na ambao sasa wanaongezeka siku hadi siku hawawezi kukubaliana na uchochezi huu. Hivyo, tuishie kukemea tu bila kutumia nguvu nyingi kiasi cha kuwapasha kwamba wengi tumechukulia mawazo yao kuwa ni ya kichochezi yatakayoaminiwa na wabaya (waliopungukiwa akili) kama wao ambao ni wachache katika jamii yote hata ile ya Kiislamu na matokeo yake ni aibu tu kwao.
 
Unaheshimu sana kuchamba kwa vile unashikishwa ukuta! We endelea na mihasira yako isiyokuwa na maana, sisi tunaopiga kitabu na kufaidi rasilimali za dunia. We kazana tu uende ahera .....
 
Ni kweli Waislamu walioendelea na wenye upeo mpana na ambao sasa wanaongezeka siku hadi siku hawawezi kukubaliana na uchochezi huu. Hivyo, tuishie kukemea tu bila kutumia nguvu nyingi kiasi cha kuwapasha kwamba wengi tumechukulia mawazo yao kuwa ni ya kichochezi yatakayoaminiwa na wabaya (waliopungukiwa akili) kama wao ambao ni wachache katika jamii yote hata ile ya Kiislamu na matokeo yake ni aibu tu kwao.

achana na akili mgando. Ivi mtu akikukanyaga kwenye mguu kisha ukamwambia unanikanyaga kwenye mguu naye akakujibu acha unafanya uchochezi, je mtu huyo utamuona kama na akili timamu? for that nakusikitikia
 
civilization starts from your words ... sorry .... mind that you do not discuss with nursery school children here .... ohhhhhh yes...these are the fringe benefits of brainwashing practiced by extremists and fundamentalists

jipe uzungu baba, ila nakukumbusha pia msemo wa hao unaowaabudu kuwa wako civilized a. k.a wadhungu "Ukitaka kumuua mbwa wako mpe jina baya" kwahiyo you can type whatever you like ila inapokuja kwenye isue ya kiimani behave your self. Kaulize mto wa mbu Arusha ilikuwa? wewe andika kila aina ya utumbo unaojisikia lakini you can do nothing.
 
Hakuna mwenye uwezo wa kuifunga radio iman, atakabiliana na NGUVU YA AJABU na ataharisha kila siku mpaka anakufa. Kwa taarifa yako:
1. sio lazima kuisikiliza
2. na hata ukiisiliza hupati chochote kwa sababu wewe ni kafiri.
3. hakuna hapa duniani mwenye uwezo wa kuifunga, hata ikitawala chadema na haitotawala labda mimi na kizazi changu tumekufa.

Acheni kuleta HOJA MAVI hapa. Halafu nashangaa mijadala kama hii inaachwam kwa kuwa inaubeba ugalatia. Eti mashekh hawana elimu, nyie mtakuwa na elimu wakati hata kuchamba hamjui. JIHESHIMUNI ndio nchii itakuwa na amani. Sisi tunajua kuishi na dini zote, tuna misingi yetu ya kuvumiliana na sio kunyamazisha HAKI. Wagala nchii hii mmebebwa sana na kodi zetu, tulieni ****** atufanyie mambo.

nafikiri hapo humaanishi kuwa ukifanya hivyo ndo kumjua Mungu
 
Mimi la kufelishwa makusudi nalikataa. Nilisoma Mtwara Technical na Dadi Yusuf Namtumba, aliongoza mchepuo wa "Mechanical" tangu siku ya kwanza hadi tunamaliza. Alipewa haki yake ya kuendelea na masomo Arusha Technical College. Katika familia yangu, babu mkubwa (kaka wa babu yangu) alifanya kazi ya jeshi huko Burma (leo Mynmar). Aliporudi kijijini, yeye na familia yake wakuwa waislam, ingawa wengine walikuwa bado wahehe (siyo waislam, sio wakristo; ukristo ukikuwepo ila ulikuwa bado mpya). Wakatoliki wakaanzisha shule (elimu dunia) na kuwasajili watoto wa wafuasi wa imani yao. Baba yangu akamshawishi babu mkubwa alimbadilisha jina baba mdogo (mtoto wa baba mkubwa) kutoka Ahmed kuwa Wailes ili asome shule ya wakatoliki (shule pekee kijijini wakati wetu ambayo ilisomesha watu wa imani yao). Kazi ilikuwa kubwa, kwani baba aliona hiyo ilkuwa ndiyo njia pekee ya kumsadia mdogo wake apate elimu, wakati babu aliona ni namna ya kumbadilisha mwanae imani. Baba akamwambia mdogo wake kuwa ukifika mbele huko utakuwa na uhuru wa kuabudu na elimu utakuwa nayo, Mungu akikupa uzima. Baada ya kuhitimu std 8, aliendelea na masomo Mkwawa High School (wakati huo). Alipokuwa anaingia A'Level alirudia jina lake la Ahmed. Matokeo ya mitihani yake (PCB) alitolewa hihalali, akapata scholarship kwenda kusoma udakitari; na hadi leo ni dakitari. Ingawa baba hakuwa Mkristo wala Mwislam, alijua faida ya elimu. Hata palipo na shida, vikwazo; tufikirie namna ya fanikiwa sio visingizio na kuchafuana. Tunaweza kuwaadhibu wale tunaohisi wanatusababishia matatizo, lakini tukashindwa kujiendeleza wenyewe wakati wale wamekwisha wamaliza.
Mwanzo umeanza vizuri nikashawishika kukusoma.Mwishowe umeongeza ushahidi uliopo juu ya mfumo kristo.
Kwanini mtu alazimike kuitwa Wailes badala Ahmed ili asome?.Huyu ni kijana mdogo anapokea kila kitu akipatacho shule.Wengi wameishia kuitwa Wailes Abdala.Afadhali yeye alirudia Ahmed yake lakini najua kitabia na imani ni Wailes yule yule.
Unapingaje kufelishwa kwa waislamu ikiwa kumbe wakristo wanachukia hata jina la kiislamu.Ni kitu rahisi tu kuchukia na matokeo yake.Hii yako ni moja tu ya vitu hivyo, lakini walio wengi hufelishwa kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom