Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Hao ni masheikh uchwara wackupe taabu,cc waislaum tulioelimika hatuwezi kudanganywa na hao wapuuzi
Kama wewe ni Muislamu basi ni Muislamu jina tu! jenga subira na kuwa na moyo wa kuvumiliana..sikiliza na kama huafikiani nao kaa kimya! ama toa fikra mbadala!
 
Tatizo la kupelekwa sunday school . Kila kitu kulalama tu. jamani lazima mjifunze kuvumiliana na mjue kutesa kwa Zamu

nendeni mkajiunge na alshababu mkavae mabomu mjilipue. Tena wewe unaonekana unafuata upepo tu? unamajini mangapi unafuga kwako?
 
ukiona mwenzio ana gari wew nunua ndege. kama wakristo wana vyuo na hospitali kwani waislamu tumezuiwa kujenga zetu. kama wakristo wamesoma sana kwani waislamu tumeambiwa tuishie darasa la saba. TATIZO NI HILI. WAKATI WANAENDA SHULE KUSOMA SANA WAISLAMU TUNAENDA MADRASA KUSOMA SANA PIA. SASA WENZETU Wakiwa maprofesa sisi tunalia nini?. Waislamu walifelishwa akina LIPUMBA, PROF. SAFARI, KAPUYA NA WENGINEO WALISOMA SHULE ZIPI AU WAO SIO WATANZANIA AU WAO SIO WAISLAMU.
TUACHENI KUJADILI UPUUZI HUU WA MASHEKHE UCHWARA WANAOLOPOKA BILA KUTUMIA AKILI.
 
kuna baadhi ya watu wameingia humu kimakosa wanafanya analysisi ya mambo bily ya kuwa na data za kutosha stupid kbisa no research no right to speak jamni aaagh
 
acheni kulialia na vyombo vya habari vya kiislam kama vinawakera msisome wala kusikiliza, mbona mnastation za na magazeti tele na kuna habari za kila aina, hata sie tukifungua husikia kama ulivyojisikia ww, cha kushangaza redio zenyewe hata nusu ya za kwenu hazifiki, na huku mnaziiita kuwa zina coverage ndogo, waandishi na watangazaji wasio na elimu kinacho waumiza kichwa mkaanza kujadili ni kipi haswa, nashangaa ya mjinga nayo yanajadiliwa, ama kweli zinawapelekesha! poleni ila tu ushauri wa bure kama inakukera achana nayo... tanzania ina uhuru wa kuongea na kuandika kwa mtizamo wa fikra za mtu....


ama kweli wewe ni great sinker! huonyeshikuargue kisomi...............ni mswahili aliyekubuhu kusutana na kuparurana! by the way YESU KRISTO yupo hai! He will save us from all weapons against us!!
 
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.

Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari – magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile.

Kilichonisikitisha katika mjadala huo ni uchochezi na upotoshaji wanaoueneza hawa masheikh kwa sababu wanazojua wao. Kwa mfano walisema nchi inaendeshwa kwa mfumo wa kikiristu toka enzi za Nyerere, moja ya madai yao ni kwamba waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome, bila shaka haya ni madai makubwa sana.

Mambo mengine ni kwamba ili kudhibitisha kwamba nchi inaendeshwa kikristo ni kwa nini wakristo wana university na hospitali nyingi kuliko serikali, madai mengine ni kwamba kwa nini hospitali za kikristo zilizotaifishwa na serikali zilirudishwa, bila shaka katika hili ni kwamba serikali ilishindwa kuziendesha, lakini kwa sababu wanazojua wao waliishia kulaumu mfumo wa utawala wa kikristo. Katika hili wao walikiri kwamba hakurudishiwa kitu kwa kuwa hawakunyanganywa kitu!

Baada ya kumaliza majadiliano waliruhusu wasikilizaji kutuma sms na kupiga simu studio, wengi wa wachangiaji waliwashukuru masheikh kwa hatua yao lakini pia kuna waliosema watajichukulia sheria mkononi ili kuwaadhibu waandishi, na wengine walitaka itangazwe jihad dhidi yao.
Nilivyoona mimi hakuna shabaha nyingine zaidi ya kuleta chuki miongoni mwa dini jambo ambalo si kawaida yetu watz.

Ingawa najua kwamba redio hii haina wasikilizaji wengi lakini mijadala ya uchochezi namna ile haitakiwi kupita bila kukemewa. Katika mauaji ya Rwanda redio zilitumika sana kuchochea chuki baina ya watu, hatutakiwi kufika huko, nadhani ni wakati muafaka kwa “intelijensia” ya polisi kufanya kazi sasa ili kuzuia maafa yanayoweza kutokana na uchochezi wa redio imani

Wana JF naomba kuwakilisha

Jana INVISIBLE alinitumia sms kuhusu kuacha mambo ya uchochezi wa kidini, sasa namuuliza hii nayo sio uchochezi ?
 
Kanisani na vigangoni ndipo alipo kampeniwa JK 2005 wakati maaskofu walipojidanganya ni chaguo la mungu; wamegundua ni upupu mtupu wanasema wananchi wamweke mtu mwenye nia ya kweli ya kuleta maendeleo, imekuwa nongwa!??

Unaongea kwa niaba ya chama gani mzee?

kama ni cdm kwa gia yenu ya udini kampeni makanisani na kwenye vigango basi subirini hiyo 2015[/QUOTE]
 
redio iman ni moja ya redio za kipumbavu-na jaribu kupita mtaani kwenye vijiwe vya kahawa uangalie hali za hao wasiklizaji wake zipoje-ndipo utajua inasikilzwa na group gani kwenye jamii
 
Si aghalabu mie kuingilia mambo ya imani. Ila najua katika jamii ya kidemokrasia mtu yeyote ana hiari ya kuchagua na kujadili yanayomkera. Kinachonishangaza wengi hapa hawajadili issue, bali wanajitumbukiza kubeua na kukashifu tu. Nadhani tayari kuna makundi mawili hapa.
Swali langu ni hivi:
Jee Waislamu Tanzania wako nyuma kwa elimu, maendeleo nk kuliko Wakristo?
Hivi ndivyo ilivyokuwa tangu kabla ya uhuru (historical context) ? Kama haikuwa hivyo, ni sababu gani zilizopelekea kwenye hali hiyo?
Kipi kifanywe ili kuleta uwiano, au hili pia haliwezekani na kwa nini?
Nadhani hayo ndiyo maswali ya msingi.
 
Si aghalabu mie kuingilia mambo ya imani. Ila najua katika jamii ya kidemokrasia mtu yeyote ana hiari ya kuchagua na kujadili yanayomkera. Kinachonishangaza wengi hapa hawajadili issue, bali wanajitumbukiza kubeua na kukashifu tu. Nadhani tayari kuna makundi mawili hapa.
Swali langu ni hivi:
Jee Waislamu Tanzania wako nyuma kwa elimu, maendeleo nk kuliko Wakristo?
Hivi ndivyo ilivyokuwa tangu kabla ya uhuru (historical context) ? Kama haikuwa hivyo, ni sababu gani zilizopelekea kwenye hali hiyo?
Kipi kifanywe ili kuleta uwiano, au hili pia haliwezekani na kwa nini?
Nadhani hayo ndiyo maswali ya msingi.
hivi ushawai kusikia nchi yoyote duniani ikifanya jambo,au kuonea huruma watu flani ili walete uwiano sawa baina ya jamii husika-Hivi kwenye familia yenu wote mpo sawa kiuchumi,elimu n.k?na kama hampo sawa wazazi/wanajamii wako wamechukua hatua gani kuweka uwiano sawa baina ya nyie wanandugu?KWA MIMI NINACHOFAHAMU,JAMII KAMWE HAIWEZI KUWA NA UWIANO SAWA-NDIO MAANA SOCIALISM IMESHINDWA NA KUJIKUTA IMEANGUKA-KAMWE JAMII YOYOTE ILE HAIWEZI KUWA SAWA-HATA USAIDIE KUBALANCE-SISHA VIPI-AT THE END-UPANDE MMOJA LAZIMA UTAKUWA UMEMZID MWENZAKE-CHA KUFANYA NI KILA MTU KUPIGANIA MAISHA YAKE KWA NAFASI ALIYONAYO ILI AREKEBISHE MAMBO YAKE MWENYEWE-KULIKO KUACHA KUFANYA KAZI NA KULALAMIKA
 
Unaongea kwa niaba ya chama gani mzee?

kama ni cdm kwa gia yenu ya udini kampeni makanisani na kwenye vigango basi subirini hiyo 2015

Waislam hebu acheni kutumiwa' hv mnaichukia Chadema kwa kosa lipi? Mmepandikizwa chuki na ccm dhidi ya Chadema ili msijadili maovu mliofanyiwa na ccm.Hebu ona mnamtaja Nyerere kuwa kawahujumu ni ccm,Mnamtaja Mkapa kawahujumu ni ccm,mmekwepa kumlaumu Mwinyi kisa mwislam mwenzenu ila hajafanya lolote kwenu maana msingelalamika hv huyo naye ni ccm,hamjamtaja Kikwete kisa ni muislam mwenzenu wakati yeye ndiye aliye waahidi Mahakama ya Kadhi na kujiunga na OIC yote hajayatimiza na yeye ni ccm.MAKOSA YA CHADEMA YAKO WAPI? Mnadanganywa na viongozi wenu wanaotumiwa na ccm ili muondoke kwenye mjadala wa msingi wa kuibana ccm kuhusiana na maisha magumu ya nchi hii na yale yote waliyo waahidi na hawajayatimiza kwenu.FIKIRIENI MARA SANA NDUGU ZETU,Kumbukeni dini zenyewe zoote asili yake siyo Afrika kwanini tugombane?!
 
waacheni wafu wakawazike wafu wao!
anyway, napita tu
 
Alaf ndg zangu waislamu msipende kupandkiziwa chuki za ovyo mkaamini,siku moja redio Iman walisema eti R.Aziz na Jk wanaandamwa sababu ya kanzu zao..!huo uislam mbona hawa usemi udom?ni mkristo gan atathubutu kukanyaga macca bila kumwekea vikazo?na je mmewahi sikia wakristo wameandaman dunian eti kwakukashfiwa na waislam?si ni Jk huyu aliyepitshwa na ccm mnayodai ni ya wakristo?si ni Nyerere aliyewajengea msikiti Butiama baada ya kumuomba Gadaffi?hawa bwana zaman zile hawakuwa wakijali elimu ili kuwa wanaona madrasa ndo shule pekee,tuulizane hata humu jf niwangapi wamo?weng hawapend kujihusisha na maendleo matokeo yake mahali wakikuta wakristo weng eti udini,tena sisi huwa hatujui ila unakuta tu tupo weng,ni sawa na wasandawe kulaumu eti mbona wachaga wanapendlewa nchini?tujadili mambo ya maana tuache hizo dini zilizoshndwa kuwafanya viongoz kuwa waadilifu.
 
Si aghalabu mie kuingilia mambo ya imani. Ila najua katika jamii ya kidemokrasia mtu yeyote ana hiari ya kuchagua na kujadili yanayomkera. Kinachonishangaza wengi hapa hawajadili issue, bali wanajitumbukiza kubeua na kukashifu tu. Nadhani tayari kuna makundi mawili hapa.
Swali langu ni hivi:
Jee Waislamu Tanzania wako nyuma kwa elimu, maendeleo nk kuliko Wakristo?
Hivi ndivyo ilivyokuwa tangu kabla ya uhuru (historical context) ? Kama haikuwa hivyo, ni sababu gani zilizopelekea kwenye hali hiyo?
Kipi kifanywe ili kuleta uwiano, au hili pia haliwezekani na kwa nini?
Nadhani hayo ndiyo maswali ya msingi.
unafikiri mjadala inabidi ukaliwe na waislam peke yao?? Je kushambulia wakristo kuwa ni wezi ni sawa.......?? mimi nimesoma shule iliyokuwa ya wakristo, ikataifishwa na sasa ni ya serikali..........mbona cjawah kushuhudia waislam wakifelishwa kwa makusudi???

nimesoma pia shule ya Kikristo pia mbona waliopata zero watatu wote ni wakristo?? WAISLAM ACHENI CHOKOCHOKO ZISIZO KUWA NA MBELE WALA NYUMA!!


kama wanaona wako nyuma kielimu, wawahimize watoto wao kusoma, sababu nyingine inayowasababishia waislam wawe nyuma kimaendeleo ni kuwa na watoto wengi kwa wake tofautitofauti..............hii pia ni changamoto kwa maendeleo yao! wataa kudhani wanonewa kumbe they are planting seeds for their own destruction!!
 
Kuna shirika nalifahamu wamewaanzishia wasichana elimu ya sekondari kwa njia ya distance learning wale waliokosa furs walikuwa 60 ,watano tuu ndi walikuwa wakristo baada ya mwaka wamebaki hao 5 wengine wote wameolewa wengine wamewekwa ndani na wengine wamechoka pima hapo kuna maendeleo kweli
 
mi huwa nashindwa kuwaelewa waislamu wenzangu, we should supose 2 b gret thinker, leo tunawalaumu wakristo wanahospital, mashule na nk, walijipanga cc kama inafikia kiongozi wa bakwata anauza kiwanja cha waislam badala ya kujenga hosp au shule, mfano kiwanja kilichopo karibu na kiwanda cha bia cha serengeti alichouziwa manji na waislam sh. milioni mia mbili naye akauza bilioni 2 akamake profit ya nguvu nani anasema khs hilo?, pili mkapa ametoa kiwanja kilichokua majengo ya tanesco na kujengwa chuo kikuu cha kiislam na akachangia milioni kumi na tano, je kikwete toka ameingia madarakani amechangia ni leo chuo hakina hata branch. tuache majungu tuwe na vision.
 
Nimekupata mkuu!!!!!!!!!!. Mijadala of such type ipo had huku mtaan, m n muumin wa kiislam, nagombana nao wanaposema tunatengwa, tunaonewa, HOW??????.Napenda kuwaambia kuwa kama tunabaguliwa na tumeshajua hakuna haja ya kulalamika, swala ni ku work on it. Tusome kwa bidii, sipend kuiaminisha jamii kuwa muslim tunabaguliwa b'se sijawahi ku experience kitu kama hicho. Kama yupo mtu ambaye ashawahi kukutwa na mkasa wa kukosa nafasi yeyote kisa muslimu anijuze, namaanisha kuanzia 2000 had tjis year. Kama lilikuwepo nadhan kwa sasa limeisha!!!!!!!!!. Mbona shule za kiislamu znaongoza kufelisha??????. Hapana kulialia sio suluhisho. SISI NI KITU KIMOJA, HAKUNA DINI BILA SISI,
<br />
<br />

kaka umeongea point! Mm ni mkristo, lakini sijawai kuona kitu kama hicho! Mimi nadhan waislamu wanaona kama wanaaguliwa kwa sababu hawapendi maendeleo ya wakristo na hawakai kujadili ni kwann wakristo wanafanikiwa katika mambo yao ila wanakimbilia sababau zisizokuwa na maana! Mimi kama mimi siwezi kumtenga wala kumchukia muislam kwa sababu dini yangu inanifundisha upendo kwa kila mtu hata kama ni adui yangu, ila inanifundisha uadui na shetani! Mm adui yangu si muislam binadamu mwenzangu bali ni shetani! Upo hapo? Mkuu nimependa ulivyojitahidi kuwasilisha point zako! Mimi napinga suala la kutupiana maneno machafu!
 
kama inakuharibu achana nayo na usisikilize kabisa kwani redio mbona zipo nyingi tu?achan na ujinga wao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom