Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Radio ya kipuuuuuzi kama hiyo na vigazeti vya alhuda sijui, wanafanya uchochezi wa wazi lakini serikali inawangalia mwanaharisi na mwanachi kwamba ndiyo wachochezi. binafsi huwa sikilizi hawa jamaa , ni vigumu sana kuwaaelewa hasa mashehe. ******
 
Kiukweli hawa masheikh elimu yao ni ndogo sana; wanashindwa kuelewa kuwa waislamu hao hao wamewaoa wakristo na kuzaa watoto. Kiukweli ningewashauri warudi darasani. Maana elimu itawasaidiwa kuwapa mwanga wapi wapo na wanakokwenda ni wapi. Mimi kiukweli nimesikiliza mdahalo huo hadi nikapata kichefuchefu. Nasema mimi mwenyewe ni mwislamu safi sana lakini nawapa ujumbe nyie waislamu uchwara, vibaraka mnaotaka kutuletea vurugu mshindwe tena kwa jina la yesu nasema mshindwe na mlegee!!!!!!!!!!!!!!!hatugombani na wala mnachokitarajia hakitakuwa aslani. Nyie mlie tu!!!!!!!!!!!!!!!!!nyie masheikh uchwara mtueleze ni kibaraka wa nani? Aliyewatuma kuja kutuvuruga sisi watanzania tunaoishi kwa amani na upendo. Tena mkome kumuita rais wetu mujahidina; yeye ni rais wa wote hana udini tena msimpakazie. Kama njaa zenu zinawasumbua tafuteni njia nyingine ya kushiba lakini si kupitia kuvuruga amani ya watanzania. Hamtofanikiwa kabisaaa!!! Watanzania sio wapumbavu kama mnavyofikiria!!!
 
Mheshimiwa rais; nakuomba tena nakusihi sana viongozi wa dini wanaochochea vurugu wakemee hasa hao waliofanya mdahalo wa kupotosha. Nashauri wachukuliwe hatua kali. Ni vema kuzuia maradhi kuliko tusubiri kuyatibu. Hii ni hatari inanukia, si ya kufanyia mashara. Bila kudhibiti hali hii tutajuta baadae; hii mbegu inayopandwa ni hatari sana. Watanzania wote kwa ujumla tulikemee hili bila woga maana litatugharimu baadaye!!!!!!!!!!!
 
hivi unaanzaje kuifikiria radio imaan???
au hamjawai kusikia yanayoongewa kwenye mihadhara na masjid???
 
TUPEUSHAHIDI WA ASKOFU ALIYETUKANA UISLAM, No research no right to talk.

mkuu ... kuna vitu vingine bana watu wanataka tu chokochoko .... mimi sijawahi sikia redio yeyote ya dini kikristo inayotaja hata jina la dini nyingine ... mimi sijui kuna dhana gani unapomchukia kwa kuweka uchochezi kwa mtu wa dini nyingine .... unafaidika na nini na unapoteza nini dini nyingine ikiwepo .... sijawahi kuchangia kuhusu dini lakini inaleta karaha sana kwa haya mambo ya hate preaching
 
Tatizo la mtoa mada anafikiri kila shekh ni mwislamu wengine ni majini kwa mfano Shekh Yahaya ni pepo.
Source: Mzee Gwajima
 
Kikwete ameamua kukaa kimya dhidi ya propaganda za kiibilisi namna hii kwa sababu amelewa madaraka,
akapotoka ikulu tutamuuliza.
 
Kwa taarifa RADIO IMAAN inasikika nchi nzima kwa sasa, hivyo inawasikilizaji wengi. Pia wewe u-mtu wa ajabu, maaskofu wakisema, wakitukanä wakichochea ni sawa LAKINI MASHEHE WAKISEMA NI KOSA. Nami nasema maaskofu mnatupeleka kubaya. Msichanganye siasa na dini.

kaka elewa kinachozungumziwa kwanza...(RADIO IMAAN)
 
kusu raio iman kama huwezi kusikiliza uache kwani kuna radio nyingi zakusikiliza
 
Dini zingine hata uwe umesoma kiasi gani, ule mtazamo uliokaa ki-udini unakuwa hautoki.
 
Kwa taarifa RADIO IMAAN inasikika nchi nzima kwa sasa, hivyo inawasikilizaji wengi. Pia wewe u-mtu wa ajabu, maaskofu wakisema, wakitukanä wakichochea ni sawa LAKINI MASHEHE WAKISEMA NI KOSA. Nami nasema maaskofu mnatupeleka kubaya. Msichanganye siasa na dini.

Usishabikie uchochezi wa kidini kwani madhara yake ni makubwa. Ila kinachonifurahisha ni kwamba waislamu wengi walioelimika wanapuuza sana ujinga wa radio hiyo.
 
kazi kweli kweli...sawa wakuu..kweli nimekubali kwamba uisilam si dini bali ni mfumo fulani wa maisha unaojihusisha na nguvu za giza...makao yake makuu yapo chini ya bahari
 
kwa taarifa radio imaan inasikika nchi nzima kwa sasa, hivyo inawasikilizaji wengi. Pia wewe u-mtu wa ajabu, maaskofu wakisema, wakitukanä wakichochea ni sawa lakini mashehe wakisema ni kosa. Nami nasema maaskofu mnatupeleka kubaya. Msichanganye siasa na dini.

kuna haja ya kupima mtindio wako wa ubongo
 
Kwa taarifa RADIO IMAAN inasikika nchi nzima kwa sasa, hivyo inawasikilizaji wengi. Pia wewe u-mtu wa ajabu, maaskofu wakisema, wakitukanä wakichochea ni sawa LAKINI MASHEHE WAKISEMA NI KOSA. Nami nasema maaskofu mnatupeleka kubaya. Msichanganye siasa na dini.



Kwa tamko lipi la maaskofu!?
Kila mmoja anatakiwa kuwa makini. mashehe kusema kuwa kwanini hospitali na shule za wakristu ni nyingi tujibu nini?? Je ni fedha za serikali? (Kodi yako)
Misaada ya fedha toka Uarabuni kujenga uislamu na maendeleo imesaidia nini?? IMEISHIA TUMBONI MWA MAFISADI MNAOWATETEA.
Safisheni nyumba yenu kwanza.

Tukilinganisha Radio Iman, Radio tumaini, Radio maria, Radio free water ni ipi radio chochezi?!! Unapofikia ukaunda chombo cha habari kwa nia ya kupambana na DINI au mfumo kweli uko vitani!!!
Nini zaidi kifanyike kusaidia uisalamu?? Mfumo uliopo angalia uongozi wote?? Rais amesaidiaje mfumo UISLAMU??

Je ni kwa njia ya kuwaambia kuwa WANANIPINGA KWA SABABU MIMI NI MUISLAMU NDIPO HOJA YA UFISADI ITAZIKWA?? HATA KIDOGO!! TAFAKARI CHUKUA HATUA ELIMISHA WENZAKO.
 
Tulumbane kwa hoja...matusi acheni wenzangu, hizi dini zote wameleta wageni za kwetu za kimila zikatukanwa tukaziacha. Usikasirike mwenzako akisema dini yako zero;;;;Mwambie kwanini dini yako bora. nasema hasa humu JF matusi noma leteni hoja zenu tujadili
 
waislami hawakusoma,mashekhe wengi hata vidudu hawjafika.ndiyo maana wanaongea upuuzi.ni hawajui na hwajui kama hawajui na wataendela kutokuja.
labda cha kuwashauri ni kuwa waongeze wake,wale familia na kunywa kahawa namajunguna kufuga majini.
 
Ndg zetu waislam acheni choko2, unajua kuna siku mtajuta? Haya......,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom