duh. nchimbi asicheze na waislam,wataambana mpaka ofisni kwake au ofisi za chadema mwezi mzima tushindwe kwenda kazini
myopia plus stereotype
duh. nchimbi asicheze na waislam,wataambana mpaka ofisni kwake au ofisi za chadema mwezi mzima tushindwe kwenda kazini
tayari ameandika barua kwa redio Iman na gazeti la ANNUR Kuacha uchochezi.
waislam sasa wanaredio 3, na vijarida 2. huku madhehebu mengine redio hazipungui 8 na majarida mingi tu. waislam walihangaika sana kufungua redio na sasa wamefanikwa kuwa na tatu.
Annur halikuanza kundika leo, kila anaesoma annur miaka 95 atashangaa kuona limerudi kidogo . kwani zamani ukilinunua ukimuona Polisi unalificha kwa kuogopa , tofauti na sasa msimamo wake . Mhanga mkuu wa maandishi wa Annur marehemu Nyerere Mwinyi na ,na hatimae Mh Mkapa . baba wa Taifa alikuwa na subira hakujibu mpaka kafariki.
Mkapa alikaa kimya mpaka leo kimya, hakulitishia kulifungia , sikuwahi kusikia gazeti hilo kuonywa au kufungiwa wakati wa awamu ya mwanzo wa utawala wa Jk kabla ya mapambano na dk slaa
Sasa vyombo hivyo habari hurusha habari kuhusu chadema kila siku. sio kuisifu bali kuiponda, kama vile ilivyokuwa wakiandikwa CCM na baadhi ya viongozi wetu tayari waziri amenukuliwa akisema hivi karibuni vyombo hivyo vya habari kufungiwa. ANNUR linajitambulisha kwenye Log yake kama msemaji wa waislam.
kawaida misimamo ya waislam nchini husababisha mifarakano na vyombo vyetu vya dola
jee mh Nchimbi anataka kuikoachadema kutozungumzwa au annur imevunja sheria?
Annur wanasema wamejitahidi kujitetea . lkn bado 0
huyu mhadhiri siku zote thread zake haziwi na kichwa wala miguu,amebase sana kwenye udini. mods kwa nini msiwe mnaacha kuzitoa threads zake? hazina tija. maana mambo anayoongelea mitaani humu katika maisha ya kawaida hayako kabisa. watu wote Christians and Muslims tunaishi na kushirikiana vzuri. namshangaa sana huyu mtu
muhadhiri tatizo lake msomi pia mdini. hapa ndipo mnapokwama.
Hivyo unavyovitaja vina umuhimu wake na vijarida na redio vina umuhimu wake. Kwa sasa tunaongelea hoja ya uhuru wa habari hivyo yaliyobora kwako una haki ya kuyaongelea na ya wenzio yatakupatisha tabu kwani maadam wameamuwa kuzungumzia posti yako haitowafanya waache.anzisheni redio na vijarida wakati wenzenu wanafungua na kuanzisha vituo vya afya, hospitali za rufaa, shule za sekondari na vyuo vikuu .....
wewe na yeye ni wale wale wajinga labda kama hiyo degree ni ile ya bure pale MuM [morogoro]..tena ya propagation...
na kama kupindua mngepndua zanzibar ambako mko wengi....lakini mmehongwa umakamu wa rais usiokuwa na deal wa kukamata wanawake waliovaa vimini na kutunza mateja...makamu wa rais zanzibar hana jukumu lingine...hata hana uwezo wa kukaimu rais akiondoka zaidi anakaimu makamu wa pili....na wamewaulia CUF huku bara...kwawapindueni kwanza hao ndio mfikirie huku iwe ccm au chadema ..fools.
tayari ameandika barua kwa redio Iman na gazeti la ANNUR Kuacha uchochezi.
waislam sasa wanaredio 3, na vijarida 2. huku madhehebu mengine redio hazipungui 8 na majarida mingi tu. waislam walihangaika sana kufungua redio na sasa wamefanikwa kuwa na tatu.
Annur halikuanza kundika leo, kila anaesoma annur miaka 95 atashangaa kuona limerudi kidogo . kwani zamani ukilinunua ukimuona Polisi unalificha kwa kuogopa , tofauti na sasa msimamo wake . Mhanga mkuu wa maandishi wa Annur marehemu Nyerere Mwinyi na ,na hatimae Mh Mkapa . baba wa Taifa alikuwa na subira hakujibu mpaka kafariki.
Mkapa alikaa kimya mpaka leo kimya, hakulitishia kulifungia , sikuwahi kusikia gazeti hilo kuonywa au kufungiwa wakati wa awamu ya mwanzo wa utawala wa Jk kabla ya mapambano na dk slaa
Sasa vyombo hivyo habari hurusha habari kuhusu chadema kila siku. sio kuisifu bali kuiponda, kama vile ilivyokuwa wakiandikwa CCM na baadhi ya viongozi wetu tayari waziri amenukuliwa akisema hivi karibuni vyombo hivyo vya habari kufungiwa. ANNUR linajitambulisha kwenye Log yake kama msemaji wa waislam.
kawaida misimamo ya waislam nchini husababisha mifarakano na vyombo vyetu vya dola
jee mh Nchimbi anataka kuikoachadema kutozungumzwa au annur imevunja sheria?
Annur wanasema wamejitahidi kujitetea . lkn bado 0
huyu mhadhiri siku zote thread zake haziwi na kichwa wala miguu,amebase sana kwenye udini. mods kwa nini msiwe mnaacha kuzitoa threads zake? hazina tija. maana mambo anayoongelea mitaani humu katika maisha ya kawaida hayako kabisa. watu wote Christians and Muslims tunaishi na kushirikiana vzuri. namshangaa sana huyu mtu
kijana mbona hujaeleweka hapa? kichwa cha habari umemtaja nchimbi then ndani ya habari unawataja marais, wataje mawaziri kama unawakumbuka nikuone mjanja , so hapa lawama mpeni jakaya mrisho na wala sio nchimbi, tumeelewana?tayari ameandika barua kwa redio Iman na gazeti la ANNUR Kuacha uchochezi.
waislam sasa wanaredio 3, na vijarida 2. huku madhehebu mengine redio hazipungui 8 na majarida mingi tu. waislam walihangaika sana kufungua redio na sasa wamefanikwa kuwa na tatu.
Annur halikuanza kundika leo, kila anaesoma annur miaka 95 atashangaa kuona limerudi kidogo . kwani zamani ukilinunua ukimuona Polisi unalificha kwa kuogopa , tofauti na sasa msimamo wake . Mhanga mkuu wa maandishi wa Annur marehemu Nyerere Mwinyi na ,na hatimae Mh Mkapa . baba wa Taifa alikuwa na subira hakujibu mpaka kafariki.
Mkapa alikaa kimya mpaka leo kimya, hakulitishia kulifungia , sikuwahi kusikia gazeti hilo kuonywa au kufungiwa wakati wa awamu ya mwanzo wa utawala wa Jk kabla ya mapambano na dk slaa
Sasa vyombo hivyo habari hurusha habari kuhusu chadema kila siku. sio kuisifu bali kuiponda, kama vile ilivyokuwa wakiandikwa CCM na baadhi ya viongozi wetu tayari waziri amenukuliwa akisema hivi karibuni vyombo hivyo vya habari kufungiwa. ANNUR linajitambulisha kwenye Log yake kama msemaji wa waislam.
kawaida misimamo ya waislam nchini husababisha mifarakano na vyombo vyetu vya dola
jee mh Nchimbi anataka kuikoachadema kutozungumzwa au annur imevunja sheria?
Annur wanasema wamejitahidi kujitetea . lkn bado 0
maneno mazito hayawewe na yeye ni wale wale wajinga labda kama hiyo degree ni ile ya bure pale MuM [morogoro]..tena ya propagation...
na kama kupindua mngepndua zanzibar ambako mko wengi....lakini mmehongwa umakamu wa rais usiokuwa na deal wa kukamata wanawake waliovaa vimini na kutunza mateja...makamu wa rais zanzibar hana jukumu lingine...hata hana uwezo wa kukaimu rais akiondoka zaidi anakaimu makamu wa pili....na wamewaulia CUF huku bara...kwawapindueni kwanza hao ndio mfikirie huku iwe ccm au chadema ..fools.
wakiristo wamenuna waislam waznz kuwa pamoja, mshazoea kupeleka polisi kupiga, sasa hampati.
nini faida ya zanzibar kwa tanganyika?