Tusio na kazi tukutane hapa

Tusio na kazi tukutane hapa

Mimi ni Medical Doctor 2months since nimemaliza my internship,vijiwe vyote Dar nimezunguka hadi viatu vimeisha ajira hamna.am so disappointed after all the hardworking and struggles, jamanii wenye dispensary,health centre,hospitals naombeni ajira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si wanasemaga nyie hamchukui round home. Usiwe na wasi wasi mambo ya ajira tuachie sisi wa Hkl tuliopenda vitu rahis rahisi
 
Hizo za watendajiView attachment 995306View attachment 995310View attachment 995309View attachment 995311
IMG-20190114-WA0006.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi na nafas za kaz (customer care ) but tatizo watu wa degree mnapokuwa mnaomba kaz mnatia huruma(hata ukimkatalia hii kaz haihitaji degree bali lugha nzur kwa wateja wanang’ang’aniza wanaweza) mkishapata yote mliyokuwa mnaahid mnasahau[emoji119] mbadilike kwa hilo ndg hata hizi ajira za kulipwa laki 2 laki tatu ni ajira pia si sawa na mnavyokuwa mmekaa mitaani hamna kazi
Nafasi bado ipo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni Medical Doctor 2months since nimemaliza my internship,vijiwe vyote Dar nimezunguka hadi viatu vimeisha ajira hamna.am so disappointed after all the hardworking and struggles, jamanii wenye dispensary,health centre,hospitals naombeni ajira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mwenzangu upo humu , tushtuane mkuu ukipata zali.
Hali bado tete
 
Hakuna hata member alirfanikiwa kupata kazi mpaka sasa? Deimn
 
Nafasi za ajira T.R.A
Vijana changamkieni chap chap mwendo wa kuruta!
Lakini kupata ni majaaliwa..😂😂
 
Habari wakuu
Niko Arusha bado sijafanikiwa kupata kazi Naombeni mnisaidie kama kuna mahali kuna nafasi tuambizane.
 
Back
Top Bottom