mkia
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 582
- 510
Pole sana, ukiona giza linazidi usihofu jua kwamba kuna karibia kupambazuka.Ndugu zangu huu uzi wangu niliuandika mwaka jana, ila mpaka sasa sijapata kazi yeyote, naombeni mnisaidie
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Naomba msaada wako ndugu yangu
Habarini za muda huu mpendwa
Pole na miangaiko ya hapa na pale, ya kuhakikisha tunajenga familia zetu vyema na taifa letu la Tanzania kwa ujumla.
Kwa wale wagonjwa/wanaouguza poleni sana na mwenyezi mungu mwigi la lekhema awape nguvu mpya na kuwaponya kabisa ili mrejee kwenye majukumu yenu ya awali.
Niende kwenye maada moja kwa moja
Ndugu yangu Mimi ni mtanzania mwenzako ninapitia wakati mgumu sana nahisi kuchanganyikiwa maana umri pia unasonga sana na sina chochote.
Kwanza kabisa nikili mbele zenu napenda sana kuja kuwa "Mfanya biashara" kwanini sikufanikiwa uko
Nilipomaliza Elimu yangu ya Diploma (diploma in computer science )
Nilipenda nipate mtaji ili nifanye biashara, kwanza kabisa ilinilazimu kutafuta kazi ili nipate mtaji na pa kuanzia...
niliangaika sana na kutafuta kazi yapata mwaka mzima pasipo kuambulia chochote...
Note: aliyenisomesha diploma ni ante yangu, pesa yake alipenda kuitoa kwa kunisomesha tuu na sio vinginevyo (ndio msimamo wake ulikuwa ivyo)...
Nilisha jaribu kumshawishi kwa namna moja ama nyingine anisaidie mtaji wa kiasi fulani ili baada ya mzunguko wa biashara nitairejesha pesa yake yote, alikataa alisema "kama unataka kuendelea na shule ntakulipia ada ila sio mambo ya biashara"
Baada ya kuona mambo si shwali ilinilazimu kurudi tena chuoni kwa ngazi ya "bachelor degree "
Nilisoma na kumaliza, alijitahidi kunilipia sehemu ya ada yangu yote... (mwenyezi mungu ambariki sana)
Ndugu yangu nimeangaika sana kutafuta sehemu ya kujishikiza pasipo mafanikio yeyote yale, kila siku nimekuwa mtu wa kuamini uwenda bahati yangu yaja....ila giza kwangu naona linanizonga sasa..
Ndugu yangu poleni kwa maelezo marefu sana hapo juu
Naombeni msaada wenu wa kazi yeyote halali nipo tayari kuifanya kwa ajili ya kuhakikisha kampuni/taasisi/au mtu binafsi, usika inakuwa na kufikia kilele cha mafanikio tarajiwa
Mungu awabariki sana nyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nichukue fursa hii kukuombea upate kazi unayohitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app