Luvanga1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,025
- 1,710
safii mkuu, sema hawa jamaa wanawapa watu wenye shahada nafasi ndogo ama wasiwape kabisa
Duh! Hapa umesem Ukweli, watu wanarudi Nyumbani kwao.Hakuna kipindi kigumu nimekutana nacho katika maisha kama maisha baada ya university hakika maumivu yake si ya kitoto
Inafika wakati unajisemea bora ningeishia lasaba Wenda ningekuwa mkulima mzuri wa viazi ,maharagwe na hata mahindi kwani ningekuwa ninauzoefu wa kutosha na changamoto nyingi ningekuwa nazikabili kwa uzoefu uliotukuka
Kweli maisha baada ya shule kwa graduates wenzangu Mungu atusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuaaply kazi mbalimbali zinazotangazwa serikalin na mashirika hata kama kazi ni chache omba hivyohvyo siku yako yajaNimemaliza human resource management tangu 2015 sijabahatika ajira
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure aiseeHakuna kipindi kigumu nimekutana nacho katika maisha kama maisha baada ya university hakika maumivu yake si ya kitoto
Inafika wakati unajisemea bora ningeishia lasaba Wenda ningekuwa mkulima mzuri wa viazi ,maharagwe na hata mahindi kwani ningekuwa ninauzoefu wa kutosha na changamoto nyingi ningekuwa nazikabili kwa uzoefu uliotukuka
Kweli maisha baada ya shule kwa graduates wenzangu Mungu atusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mimi mpaka sasa ninapoandika hapa nimesha fanya applications zaidi ya mia 7 zaidi, kuanzia mwaka jana mwezi wa 6 mpaka leo hii nimefanya 4.
Sijawai itwa ata kwenye interview tu
Nimeshawai mtafuta HR zaidi ya mmoja ajaribu kuangalia document zangu kama zina kasoro wote wananiambia kuwa zipo vizuri mno ata mpangilio tu unavutia
Nimeshachoka kufanya application na kukata tamaa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app