Tusio na kazi tukutane hapa

Tusio na kazi tukutane hapa

Mimi na nafas za kaz (customer care ) but tatizo watu wa degree mnapokuwa mnaomba kaz mnatia huruma(hata ukimkatalia hii kaz haihitaji degree bali lugha nzur kwa wateja wanang’ang’aniza wanaweza) mkishapata yote mliyokuwa mnaahid mnasahau[emoji119] mbadilike kwa hilo ndg hata hizi ajira za kulipwa laki 2 laki tatu ni ajira pia si sawa na mnavyokuwa mmekaa mitaani hamna kazi
 
Mimi ni Medical Doctor 2months since nimemaliza my internship,vijiwe vyote Dar nimezunguka hadi viatu vimeisha ajira hamna.am so disappointed after all the hardworking and struggles, jamanii wenye dispensary,health centre,hospitals naombeni ajira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi na nafas za kaz (customer care ) but tatizo watu wa degree mnapokuwa mnaomba kaz mnatia huruma(hata ukimkatalia hii kaz haihitaji degree bali lugha nzur kwa wateja wanang’ang’aniza wanaweza) mkishapata yote mliyokuwa mnaahid mnasahau[emoji119] mbadilike kwa hilo ndg hata hizi ajira za kulipwa laki 2 laki tatu ni ajira pia si sawa na mnavyokuwa mmekaa mitaani hamna kazi

Uko sehemu gani mkuu

Mbona hujibu meseji huko pm au unatujaribu akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu huu uzi wangu niliuandika mwaka jana, ila mpaka sasa sijapata kazi yeyote, naombeni mnisaidie
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Naomba msaada wako ndugu yangu

Habarini za muda huu mpendwa

Pole na miangaiko ya hapa na pale, ya kuhakikisha tunajenga familia zetu vyema na taifa letu la Tanzania kwa ujumla.

Kwa wale wagonjwa/wanaouguza poleni sana na mwenyezi mungu mwigi la lekhema awape nguvu mpya na kuwaponya kabisa ili mrejee kwenye majukumu yenu ya awali.

Niende kwenye maada moja kwa moja

Ndugu yangu Mimi ni mtanzania mwenzako ninapitia wakati mgumu sana nahisi kuchanganyikiwa maana umri pia unasonga sana na sina chochote.

Kwanza kabisa nikili mbele zenu napenda sana kuja kuwa "Mfanya biashara" kwanini sikufanikiwa uko

Nilipomaliza Elimu yangu ya Diploma (diploma in computer science )

Nilipenda nipate mtaji ili nifanye biashara, kwanza kabisa ilinilazimu kutafuta kazi ili nipate mtaji na pa kuanzia...

niliangaika sana na kutafuta kazi yapata mwaka mzima pasipo kuambulia chochote...

Note: aliyenisomesha diploma ni ante yangu, pesa yake alipenda kuitoa kwa kunisomesha tuu na sio vinginevyo (ndio msimamo wake ulikuwa ivyo)...

Nilisha jaribu kumshawishi kwa namna moja ama nyingine anisaidie mtaji wa kiasi fulani ili baada ya mzunguko wa biashara nitairejesha pesa yake yote, alikataa alisema "kama unataka kuendelea na shule ntakulipia ada ila sio mambo ya biashara"

Baada ya kuona mambo si shwali ilinilazimu kurudi tena chuoni kwa ngazi ya "bachelor degree "

Nilisoma na kumaliza, alijitahidi kunilipia sehemu ya ada yangu yote... (mwenyezi mungu ambariki sana)

Ndugu yangu nimeangaika sana kutafuta sehemu ya kujishikiza pasipo mafanikio yeyote yale, kila siku nimekuwa mtu wa kuamini uwenda bahati yangu yaja....ila giza kwangu naona linanizonga sasa..

Ndugu yangu poleni kwa maelezo marefu sana hapo juu

Naombeni msaada wenu wa kazi yeyote halali nipo tayari kuifanya kwa ajili ya kuhakikisha kampuni/taasisi/au mtu binafsi, usika inakuwa na kufikia kilele cha mafanikio tarajiwa

Mungu awabariki sana nyote

Napatikana Mbezi ya kimara, Dar es salaam

Phone no: 0755836347

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kumbe tupo wengi. Hali ni mbaya mie sijapata ila angalau maisha yanaenda vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom