Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Inategemea uhitaji wa elimu yako kwenye kituo husika. Kama umesomea uhasibu ila kituoni kwako wahasibu wapo, basi wewe unakuwa kwenye kazi za kawaida, ulinzi ikiwemo.

Ila hii inatokana hasa na askari aliyeajiriwa form 4 lakini yeye akajiendeleza binafsi. Sababu, wakati unajiendeleza, ofisi inawezekana kwa muda huo haina uhitaji, kwahiyo unamaliza degree basi utapiga kazi za ulinzi ila mshahara wako utapandishwa.

Ila kama umeajiriwa na degree moja kwa moja, maana yake, ofisi inawahitaji hivyo ukipangiwa kituo, unaenda kuitumikia degree yako. Kama umesomea mifugo, basi utakuwa unatibu farasi na mbwa. Kama Daktari, utaenda hospitali. Kama Engineer, utaenda kwenye garage au viwanda, kama IT, utaenda ofisi yako ya IT.
Umeiweka vizuri chifu
 
Wakuu tuanzisheni kampeni hakuna mtu kwenda upolisi wakuu....hii ni kazi ya fedheha na laana
 
  • Thanks
Reactions: apk
Hahhhaha hivi polisi mwenye degree analamba ngapi?
1.6+ million hii ni pamoja na posho zake pia huyu ni ana bachelor ya kawaida manake kama atakuwa na I.T au MD itakuwa zaidi ya hapo au kama atakuwa na kitengo pia itakuwa zaidi ya hapo
 
Mbona mnadanganya watu!? Ukiajiriwa kwa elimu yako either Diploma,Degree ya kitu flani....mkitoka mafunzoni kwenda mikoani au wengine HQ na kwenye vikosi mbalimbali kama Reli,Ufundi,Band wale wa mikoani kuna ambao wanapangwa wilayani na wengine kwa RPC...mkifika mkoani kuna utayari mnafanya tenaa baada ya kutoka TPS ila mkishamaliza huo utayari ndo kila mtu anapelekwa alikopangiwa na wale wa mkoani mara nyingi wanakuaga na elimu mfano Wahasibu,,Forensic,,,HR,,,etc mtapiga malindo na kuingia CRO kwa miezi kidgo ili kupata uzoefu wa hapo then baadae mnaenda kwenye Section zenu mlizopangwa nazo As hapo RPC....wanaobaki kupiga malindo daily ni hawa 4m4,na 6 iwe GD au Field force kwanza ni lazima ujue piaa hta force number zinatofautiana kwa 4m4 na 6 ukicompare na Degree..mtu aliyeajiriwa kwa elimu yake iwe Diploma flani au degree flani anaenda kufanya kazi kwa kile alichosomea directly kwa sababu hata mshahara anapokeaa kulingana na elimu yake aliyoajiriwa nayo.Kuhusu Cheo hiko ni baada ya miaka kadhaa sasa kulingana na upandishwaji.
Waliojiunga na Mafunzo mwaka huu 2025 wanamaliza Kozi lini? Maana miezi siku zinaenda Sana
 
1.6+ million hii ni pamoja na posho zake pia huyu ni ana bachelor ya kawaida manake kama atakuwa na I.T au MD itakuwa zaidi ya hapo au kama atakuwa na kitengo pia itakuwa zaidi ya hapo
Yaani posho na mshahara ndio 1.6m, hii ni posho ya extraduty ya ofisa wa tra
 
Back
Top Bottom