Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

mapenzi kweli hayana mwenyewe....watu wamefunguka mpaka huruma....japo hatuonani ila kuna kaa ukweli...polen watendwa....
 
Hahahahaa.. hana tofauti na kitunguu saumu eeeh

Yaani unamsikiliza huyo Vale?

Mwenzio anataka uachane na mimi ili abaki yeye tu.

Hakuna anayeweza kustahmili competition na saba mara sabini😀

Stuka.......
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikimmaliza ntakutajia sasa hivi subiri kwanza nimalizane nae.
Najitajaaaaaaaa
 
Ujikute tu ni ww
Hshaha
Ila na wewe una kihere hereeee . Mtoto wa kizigua hips hiha kama mcheza porno
Mtoto kaenda hewani ana chura ya haja kama kasusiwa.
Au anatoka tanga.

Huyu mi dawa yake nitamchapa na ulimi kule kunako.

Mama yoyooo lakini hujanimiss?
 
Wenye wapenzi hongereni mie niliye chitiwa sina hamu and I no longer believe in true love loh I know one day I will get someone who truly love me kwa moyo. Lord bring me someone special with true love and caring
You NO longer believe in true love, yet you pray to the Lord akuletee someone special with true love!

Duh!
 
Boss wangu mimi nawewe ni masingo. Hamna namna njoo tuu tudange Wote Valentine hii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umenichekesha sana. Moto ukipunguzwa hatarukaruka. Mfungukie tu
Anajua sasa. Sema analeta pozi zile za sitaki nataka. Na mie niko hoiii. Nahisi anaweza kuwa hata beb wangu kwa mahaba haya nlonayo juu yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…