GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,647
- 109,034
Wazungu hawa ambao last week wametupa mabilioni ya hela kuboresha sekta ya afya??? Au wapi hao??Chagua Lisu kwa manufaa ya wazungu.
Ninakuonya mapema tu 'Usithubutu' kutaka Kufanya 'Fujo' kwani kuna 'Kikosi' nimekiona kinafanya 'Mazoezi' ya 'Hatari' kukabiliana kabisa na nyie.Serikali ya vitisho mpaka vyombo vya habari hawatangazi habari za Lissu, Dawa ni moja tu road ndio suruhisho la Tanzania na Zanzibar. Hakuna haki inakuja kiulaini laini, Wacha tujiandae.
Mkuu navuta picha utajisikiaje yakitokea matokeo mabaya dhidi ya Lissu!!Si mnalazimisha kutawala eeh??? Sasa nakwambia Magufuli, Siro na Mabeyo hawaponi arrest warrant za ICC mwaka huu. Pemba usiku huu mmeshaua wawili. Wiki hii mtatuua wote Ila tumegoma kuwa makondoo wa Ccm. Imetosha
Nakwambiaje endapo itatokea Lissu sio Raisi basi jua Magufuli ni mtuhumiwa no 1 kwenye mahakama ya ICC na wakuu wake wa vyombo vya dola.Mkuu navuta picha utajisikiaje yakitokea matokeo mabaya dhidi ya Lissu!!
Isiweke moyo wako wote kwenye maamuzi yanayotegemea mtu mwingine.
Yaani Wewe 'Pimbi' usikie kuwa kuna 'Mauwaji' yametokea huko Pemba halafu Mimi nisisikie? Naona mmeshaanza 'Propaganda' zenu mapema tu.Si mnalazimisha kutawala eeh??? Sasa nakwambia Magufuli, Siro na Mabeyo hawaponi arrest warrant za ICC mwaka huu. Pemba usiku huu mmeshaua wawili. Wiki hii mtatuua wote Ila tumegoma kuwa makondoo wa Ccm. Imetosha
Sasa unajifananisha wewe channel ten na mimi CNN ( Be the first to know?)Yaani Wewe 'Pimbi' usikie kuwa kuna 'Mauwaji' yametokea huko Pemba halafu Mimi nisisikie? Naona mmeshaanza 'Propaganda' zenu mapema tu.
..Shekhe Ponda naye anamtaja Raisi mpya.Kaacha Kuvuta Bange / Bangi lini labda Mkuu?
Je, wametupa kwa 'Kuwalazimisha' au ni kwa 'Hiari' yao tu wenyewe hasa kwa 'Kuridhishwa' na 'Utendaji' wa 'Kutukuka' wa Rais Dk. John Magufuli?Wazungu hawa ambao last week wametupa mabilioni ya hela kuboresha sekta ya afya??? Au wapi hao??
Huyo jamaa anajikuta mjuaji sana,kumbe kilaza tu.Wakumpuuza tu.Sasa unajifananisha wewe channel ten na mimi CNN ( Be the first to know?)